uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Video: Innocent Bashungwa naye atinga mtaani kula kwenye mgahawa pamoja na wananchi. Tunamshukuru Rais Samia!

    Wakuu, Kuonesha kwamba yeye ni kiongozi humble na ambaye ana maisha sawa na wananchi, Bashungwa ametinga mtaani na kwenda kula kwenye mgahawa mmoja maarufu Nimpongeze Bashungwa kwa kwenda kula na wananchi wa hali ya chini, maana watanzania wote tunajua hapo ndio sehemu yake anayoenda kula kila...
  2. Lord denning

    Pre GE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

    Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na...
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Baba Levo atangaza kuzunguka nchi nzima kukagua miradi ya Samia kwenye kampeni ya "Mama Hana Deni". CCM ndo mmeishiwa kiasi hiki?

    Wakuu, Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao. Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia. Ni Baba Levo huyu huyu ambaye...
  4. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Ado Shaibu: Mzee Wasira ameletwa kuhamisha ajenda za msingi badala yake tujadili hoja zake za kitoto, tumpuuze

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya. Akizungumza Februari 10, 2025 wilayani Mkuranga mkoani Pwani, alipokuwa akihitimisha ziara yake katika mkoa wa...
  5. Mindyou

    Pre GE2025 Wasanii wa Injili wakiongozwa na Mwamposa wajipanga kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia!

    Wakuu, Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya. Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi. Hizi ni dalili za chama ambacho kipo ni decline. CCM mbinu kama hizi hazitawasaidia, badala ya kutafuta think tanks na...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

    Wakuu, Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
  7. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Chaumma inaweza kupata kura nyingi zaidi za urais kuliko chama kingine chochote cha upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

    Kasumba ya kushughulikiana na kukomoana hususan ndani ya vyama vya upinzani nchini itaendelea hadi kwenye sanduku la kura za jumla uchaguzi mkuu wa October 2025. Kuna wagombea watakomolewa na wafuasi wa vyama vyao, hawatapigiwa kura kwasasababu tu ya midomo yao, makelele yao, hila zao...
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
  9. Mindyou

    Pre GE2025 Wafadhili (Donors) wakatae kuipa Tanzania misaada kama hakutakuwa na mdahalo wa wazi nafasi ya Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Kama ambavyo tuliona mdahalo wa CHADEMA mwezi Januari, nadhani kama watanzania tunahitaji pia kuona wagombea wa Urais wakichuana kwenye mdahalo kipindi cha kampeni. Tumechoka kuona scripted speeches. Tunataka kuona watu watakaochuana kwenye Urais wakiwa on stage wakitetea hoja zao...
  10. ESCORT 1

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?

    Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha. Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa Jiji kubwa la Arusha kukosa stendi bora na ya kisasa kama mikoa mingine. Kupata taarifa na matukio...
  11. Mindyou

    Pre GE2025 Tanga: Afisa Mwandikishaji Handeni ataka waandikishaji wasaidizi kutunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha

    Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Handeni Mjini Maryam Ukwaju amewataka waandikishaji wasaidizi,kuhakikisha wanatunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha kwenye Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Ukwaju amesema hayo wakati akifungua Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi ngazi ya...
  12. Mindyou

    Pre GE2025 CHADEMA Nyamagana: Hakutakuwa na Uchaguzi bila maboresho

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amos Ntobi, amesisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kufanyika kwa uchaguzi wowote wa kitaifa ikiwa hakutakuwepo na maboresho na marekebisho katika mifumo ya uchaguzi. Akizungumza na Jambo TV kuhusu kauli ya...
  13. Mindyou

    Pre GE2025 Huyu D Voice alianza vizuri tu ila Wasafi washampeleka kwenye uchawa. Yaani Rais kuwa photogenic kidogo tu watu washaingia studio!

    Wakuu, Yaani Rais kupiga picha tu, chawa washaingia studio kutengeneza nyimbo out of that picture. Huyu D Voice ndio alikuwa the last standing artist hapo Wasafi bila viashiria vya chawa ila naona nae kashakuwa chawa wa mama. Yaani Rais kuwa photogenic kidogo tu watu mshaingia studio kutunga...
  14. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti Tume Huru ya Uchaguzi: Hudumieni vizuri wateja wenu, kwa upole na waelekezeni kwe unyenyekevu

    Wakuu, Akiwa anaongea kabla ya mafunzo kwa waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki huko Tanga, Mwenyekiti wa Tume Huru ya UchaguziJaji Rufaa Jacobs Mwambegele amewahasa waendesha vifaa hivyo kuwahudumia ka upole na umyemyekevu wakati zoezi hilo likiendelea
  15. Mindyou

    Pre GE2025 Picha: Washiriki wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki Tanga wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo

    Wakuu, Ukishaanza kuona picha kama hizi ujue kabisa Uchaguzi umekaribia. Hawa ni moja watu watakaoenda kuamua nani ataenda kuwa diwani, Mbunge au Rais wako. Wasiende tu kurudia yale mambo tuliyoayaona kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa =============================================...
  16. T

    Pre GE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  17. A

    Christian Bwaya kuhusu mipango ya muda mrefu na muda mfupi ya wabunge

    Akijibu hoja ya ukomo bungeni, Christian Bwaya ameandika: "Wabunge wengi wana mipango ya muda mrefu kaka. Tuwaelewe.Miaka mitano ya mwanzo —kulipa madeni makubwa ya uchaguzi. Miaka mitano ya pili —kufanya uwekezaji mkubwa ili kuwa na nguvu ya kichumi. Kuingia rasmi kwenye tabaka tukufu.Miaka...
  18. T

    Pre GE2025 Tanga: Mjumbe wa kamati kuu UWT-Taifa achangia bati 40 kwa familia ya watoto yatima

    Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri. Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini...
  19. Mindyou

    Pre GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza kufanya uboreshaji wa daftari mkoani Tanga kuanzia Februari 13, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, leo Februari 07, 2025, amekagua mafunzo ya maafisa waandikishaji wasaidizi kutoka Jiji la Tanga na Wilaya ya Muheza, akibaini maandalizi yao kwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mafunzo hayo ni...
  20. Mindyou

    Pre GE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM: CHADEMA waendelee na "No Reform No Election", sisi tunaendelea kujenga nchi

    Wakuu, Mjumbe wa Kamati kuu ya Taifa CCM, Charles Mwakipesile amesema kauli ya Chadema ya "No reform no Election" ni kauli ya kisiasa na kauli hiyo hawawezi kuipa nguvu kwani wao ni Chama kinachofata Katiba.
Back
Top Bottom