Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo.
Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya siasa za kiharakati kwa kutumia utopian politics!, badala ya kufanya siasa za kimikakati, matokeo...