uchaguzi chadema

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. WOWOWO

    Pre GE2025 Kwa mtazamo wangu Mbowe na Lissu ni vita zaidi ya nje kuliko ya ndani. Ni mwendelezo wa Zitto na Maria Sarungi

    Miaka ya 2010 wakati Zitto Zuberi Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanaanza kujenga “picha ya kundi ndani ya Chadema” kwa lengo la kuchukua kiti cha Freeman Mbowe (FAM) CHADEMA, mambo kadhaa yalikuwa dhahiri na yanaweza kulinganishwa kwa kiwango kikubwa kwa mizania na mlinganisho na hali...
  2. Mganguzi

    Pre GE2025 2020 CHADEMA mlituaminisha Lissu anaweza kuongoza nchi leo, mnasema hafai kuongoza chama! Mlitaka kutuingiza chaka?

    Viongozi wakuu wa CHADEMA wanaonekana kutomuunga mkono Tundu Lissu kwa madai hatoshi na hana weledi wa kuongoza chama! Freeman Mbowe anaonyesha haamini kama akikiacha chama mikononi mwa Lissu hakitakuwa salama. Kama ni hivyo kwanini mlimuamini kugombea urais wa nchi? Mnasema hana hekima na...
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara na 'mgombea' wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu amewashukia wale wote wanaodai kuwa miongoni ya watu wanaomuunga mkono katika kinyang'anyiro cha kutafuta nafasi hiyo ni wale ambao mara...
  4. Cute Wife

    Pre GE2025 Hakuna ubishi tena baada ya press ya leo kuwa Mbowe ni CCM oyeee!

    Kwa hii sinema amefanya leo Mbowe hakuna ubishi tena kuwa yeye ni CCM. Kule CHADEMA yupo tu kuchangamsha genge. Hata kashkash anazopitia ni maigizo tu aonekane kumbe naye yumo. Kapita mule mule hadi matamko ya msahama kwa ambao hawamkosoa. Umetoka kusema kuna ummoja ila kila Lissu akifanya...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 Mbowe: Nimewasamehe wote walionitukana ni ushamba tu, lakini watambue msamaha una mwisho, wakiendelea tutafikishana pabaya

    Wakuuuu, Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi Akisema...
  6. Cute Wife

    Pre GE2025 Mbowe: Historia yangu inajieleza sihitaji kujinadi! Chama hakijajengwa na fedha za wizi

    Wakuu, Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi Mbowe kasema hana haja ya kujieleza historia yake inajieleza, na kuwa chama...
  7. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Iringa: Mbowe ni kama Fidel Castro na Che Guevara. Utake usitake tunaenda kukuchukulia fomu

    Wakuu, Nilidhani mambo ya uchawa yako CCM tu, kumbe hadi CHADEMA machawa wamejaa kibao na leo kwenye huu mkutano wao ndo nimeweza kuwa ============================================== Akizungumza wakati yupo kwenye mkutano wa "kumlazimisha" Mbowe agombee kwenye kinyang'anyiro cha Uenyekiti...
  8. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa: Ilikuwa ni kidogo Mbowe anyongwe. Hakuna mtu aliyefungwa mara nyingi kama Mbowe

    Wakuu, Akizungumza kwenye moja ya hoja zale kwanini Mbowe aendelee kuwepo, Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amesema kuwa ilikuwa ni kidogo tu Mbowe anyongwe iwapo ile kesi yake ya ugaidi ingesikilizwa ====================================== Hivi kati ya Mbowe na Lissu nani alikuwa on the verge ya...
  9. Cute Wife

    Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Iringa: Mbowe ni role model, asiogope mtu yeyote hata we nje ya nchi

    Wakuu, William Mungai mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amempamba Mbowe na kukubujisha wahudhuriaki kwa machozi kuwa Mbowe ni role model kwa wengi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi Na hii ni kutokana na kuwainspaya...
  10. Cute Wife

    Pre GE2025 BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe

    Mambo yanazidi kunoga huko jamani. BAWACHA Pwani wamesema watatoa Tsh. Milionin1.5 kumchangia Mbowe achukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA sababu wanaamini kwenye uwezo wake. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi Mbowe...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Freeman Mbowe alivyowasili tayari kwa tamko lake

    Mwenyekiti wa CHAFEMA, Freeman Mbowe akiwasili tayari kuzungumza na wanachama waliojitokeza nyumbani kwake leo Desemba 18.2024.
  12. S

    Pre GE2025 Mbowe acha utoto, wanachama wamekufuata nyumbani kwako ghafla lakini wamekuta hema, viti, soda na maji, acheni utani jamani

    Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti Yapo...
  13. J

    Pre GE2025 Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti

    Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼 == Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa...
  14. Erythrocyte

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa. Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi ==================================================== Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake...
  15. Waufukweni

    Pre GE2025 Makada Chadema wajitosa kumshawishi Mbowe atetee uenyekiti

    Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo. Hadi sasa Mbowe...
  16. Cute Wife

    Pre GE2025 Muliro azungumzia kauli ya Lissu kutaka kuumizwa na wasiyojulikana kisha kumsingizia Mbowe

    Wakuu, Ila Muliro😂😂 hapa wameshindwa tu kumuita mchochezi na mzua taharuki, si ndio haya mapuuzo yalipekea mtu akafanyiwa assassination attempt? Hii statement imenishangaza kwakweli, leo ndio anafahamu kuwa ni sehemu yao ya uhuru wa kujieleza ila wakitaka kuandamana kwa amani wabatendewa kama...
  17. Th3the

    Eti Leo CCM wanaihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti

    Hivi ni kwa nini CCM wanaumizwa na Lissu kuwa mwenyekiti? Wanahofu na nini? Ghafula wanaanza kuihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti, mara ooh hawezi...
  18. L

    Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa sijawahi kufikiria wala kuwazia wala kutizamia wala kuota wala kutarajia wala kuona Eti Lissu akichukua Fomu ya Kuomba Kuongoza CHADEMA kama Mwenyekiti wake Taifa. huu ni utani ,huu ni Mzaha anaoufanya Lissu kwa sababu hana uwezo huo wa kuongoza...
  19. Waufukweni

    John Mnyika ajibu tuhuma za Tundu Lissu kuhusu rushwa, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama "Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Watu wanamtaka Tundu Lissu kwa sababu hamung'unyi maneno na haogopi kusema na kukemea ubaya bila kujali aliyeufanya

    Habari za jumapili! Lisu ni wale watu wasiouogopa ukweli. Watu hao huitwa Jasiri wa asili. Lisu hata akikosea yeye haoni tabu ukimchana makavu na hata yeye kujichana makavu kuwa amekosea. Huo tunaita Uwajibikaji. Sio rahisi kukemea maovu ambayo hufanywa hata na maboss zako. Sio rahisi. Ni...
Back
Top Bottom