The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.
Wakuu,
Tunaendelea kumywa mtori tukifiatilia hili kwa karibu. Bado ni mbinu ya kuichanganya CCM??
====
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Masaga Kaloli, amesema anaamini bado Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe ana nguvu za kukitumikia chama hicho.
Akizungumza na...
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga wakati tunaelekea 2025.
===
Siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu atangaze nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa katika mchakato wa ndani wa uchaguzi unaoendelea leo, Ijumaa...
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa ‘Mama Ongea na Mwanao,’ Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, amempongeza Tundu Lissu kwa kutangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA, akisisitiza kuwa ni haki yake kikatiba mradi anazingatia miko na katiba ya chama.
Kupitia ujumbe aliouandika...
Basi huyu Mzee Mbowe huenda ana Mungu sana au ni mchawi sana au CHADEMA kwa sasa imezidiwa na machawa na uchawa.
Kwaakili za kawaida hivi inawezekanaje mtu aongoze taasisi kwa miaka zaidi ya ishirini (20 ) na bado watu Wanaendelea kuwa na imani nae hata baada ya kuonesha matokeo hasi?
Hawa...
Mwanachama wa CHADEMA au Mtu mwingine yoyote anayeona ajabu, au anayechukizwa au kukwazwa na nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chama chetu atakuwa ama hajui au amesahau au hataki kuenzi na kuendeleza urithi tulioachiwa na Wazee wetu Edwin Mtei na Bob Makani wa kuachiana madaraka ya...
Tetesi za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kugombea uenyekiti wa chama hicho zikiendelea kusambaa, maoni mseto yameibuka miongoni mwa wanachama.
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Makambako, Begron Kyando, amesema ni wakati wa Freeman Mbowe kuachia nafasi hiyo baada ya kuongoza kwa muda...
Wakuu Salaam
Nimekutana na Taarifa kuokea Akaunti ya Mtandao wa X ukiwa na Post inayppnekana kuwa ni ya Robert Amsteram (Mwanasheria wa Tundu Lissu) akitoa maoni kuwa kwa sasa CHADEMA inatakiwa imruhusu Lissu kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa chama:
je kuna kuna ukweli hapa?
Heshima kwenu wanaJF .
Uzi huu tachukiza wengi, ambao hawajawahi naleta thread za namna hii.
Jumapili iliyopita kabla ya Jumapili ya jana, ulifanyika uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini mjini Masasi.
Ni uchaguzi ambao uligubikwa na rushwa kutoka nje ya CHADEMA.
Wapiga kura waliuuza kura zao...
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.
Toa Maoni yako
---
Kwa sapoti hii na dalili hii...
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.
Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba
Tangazo lake hili hapa
Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?
Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama...
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi...
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
Makamu Mwenyekiti wa sasa wa Chadema ni Tundu Lissu, ambaye kama ataitaka tena nafasi hiyo basi atalazimika kupambana na Wenje na wengine watakaojitokeza.
Tunatoa wito kwa Wanachama wengi zaidi kujitokeza kuwania nafasi za Juu...
Katika hali isiyotarajiwa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam kupitia Chadema Mstahiki Isaya Mwita amebwagwa vibaya sana katika Uchagizi wa Chama hicho Wilayani Kigamboni. Meya huyo anashutumiwa na Wanachadema kwamba alikitelekeza chama hicho tangu aliposhika umeya. Matokeo ya Uchaguzi huo...
Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii
---
Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki tunachoelekea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi Mkuu 2025...
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana...
aondoke
ashindwa uchaguzichadema
chaguzi
hatufai
mbowe
mchungaji msigwa
mpaka
msigwa
ndani
nyanda za juu
rushwa
sugu na msigwa
uchaguziuchaguzichademauchaguzi wa ndani
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika.
Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri
Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu...
Update.
Matokeo yalitangazwa usiku. Wenje alitangazwa mshindi. Hali ilivyokuwa tazama hapa
https://www.youtube.com/live/mVv2HX9_cSM?si=epq5lcKJWCW9ZQPC
...........
UPDATE: Saa 4:04PM
Breaking News:
John Pambalu na timu ya watu wengine kama saba hivi wametoka katika ukumbi wa mkutano na...
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.
Dickson Lucas Matata
Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.