Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo.
Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji.
Vyama vyote viwili vinashabiiana...
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.
Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.
Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.
Wednesday, ubarikiwe sana!
Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde.
Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
Mzee Fredrick T. Sumaye na Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe waligombea Uenyekiti wa Kanda zao za Mashariki na Kusini. Kule Kanda ya Mashariki, Mzee Sumaye akiwa mgombea pekee wa Uenyekiti, alipata kura nyingi za HAPANA na hivyo kushindwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Kanda ya Mashariki...
Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019.
Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani.
Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76.
Kulingana na taratibu za chama hicho...
WanaJF,
Nchi iko katika heka heka kubwa kutokana na chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuendelea kufanya uchaguzi wake katika ngazi ya Kanda.
Kwa idadi kubwa Watanzania wanafuatilia kwa karibu sana uchaguzi huu pengine kuliko ule uchaguzi wa serikali za mitaa uluosusiwa na upinzani.
Kwa...
Sikupata kujua kama Chadema ni maarufu na muhimu kiasi hiki kuanzia ngazi ya chini hadi pale Chaguzi za viongozi wa kanda zilipoanza.
Ni ajabu kuwa chaguzi hizo zimefuatiliwa kwa ukaribu sana na nchi nzima, hasa ccm imeonyesha kuwa inaangalia kwa ukaribu sana kuliko hata Chadema wenyewe.
Nina...
Mwenyekiti aliyekuwa anamaliza muda wake Mh Msigwa ambaye pia ni Mbunge wa Iringa Mjini , ametetea nafasi yake kwa kumuangusha mpinzani wake Wakili Msomi Boniface Mwambukusi .
Mh Msigwa amepata kura 66 ambazo ni sawa na 62.3 % ya kura zote , wapiga kura walikuwa 108 , ambapo Mwambukusi...
Esther Matiko 44
John Heche 38
Hongera Mwana mama Esther Matiko
Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!
Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.
Naamini ni kiongozi mkubwa ajaye.
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini nchini Tanzania, Lazaro Nyalandu amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati baada ya kupata kura 60 kati ya 86 zilizopigwa.
Waziri huyo wa zamani wa Maliasili na Utalii ameshinda kwa asilimia 66.8 katika uchaguzi huo uliofanyika mjini Dodoma na...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
Hii ni aibu yetu sote
Yanayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yanasikitisha.
Pamoja na wabunge kadhaa wa Chama hicho kuparurana na kutukanana hadharani kisa suala la Mbowe kugombea tena Uenyekiti, sasa hali ya Mbunge wa Chama hicho Cecil Mwambe aliyetangaza kuchukua...
Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama
1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa.
2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea...
Unaambiwa siasa za awamu hii ni zile siasa ngumu kabisa , ni siasa za vitendo zaidi badala ya maneno , ni siasa za jasho na damu .
Wanatakiwa Vijana shupavu wasioogopa kuuawa .
Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu.
Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale...
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.
Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.
Source...
Uchaguzi wa ndani CHADEMA
Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe.
Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25.
Anasema katika kikao...
Mwanzo mwanzoni niseme wazi kuwa mimi si na sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA au chama kingine chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Hilo linatosha kutoa maoni yangu huru kuhusu siasa za nchi yangu kwakuwa nazifuatilia.
CHADEMA wanapaswa kufanya uchaguzi mkuu wa kichama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.