uchaguzi ivory coast 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ashinda tena Urais kwa awamu ya nne kwa 89.77%

    Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ameshinda kwa kishindo muhula wake wa nne kufuatia matokeo ya awali yaliyotangazwa Jumatatu — ushindi uliokuwa umetarajiwa baada ya wapinzani wake wakuu kuondolewa kwenye kinyang’anyiro kwa sababu ya kutokidhi vigezo. Soma pia UCHAGUZI MKUU IVORY COAST...
  2. R

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI MKUU IVORY COAST: Ghasia ya Maandamano, ukandamizwaji wa Upinzani na Utawala wa Muda mrefu

    Ivory Coast ilifanya uchaguzi wa urais Oktoba 25,2025, uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu lakini pia kwa hofu kutokana na misukosuko ya kisiasa iliyoikumba nchi hiyo wiki kadhaa kabla ya kupiga kura. Uchaguzi huu ulikuwa wa kumchagua rais wa Jamhuri ya Ivory Coast, nafasi ya juu kabisa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…