uchaguzi mkuu 025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Morogoro: Askari na Majeshi mbalimbali wafanya mazoezi barabarani. Huu muendelezo unaashiria nini?

    Wakuu naona hizi taarifa zimekuwa nyingi sana haswa kipindi hiki. Je ni mkakati wa kuwatisha wananchi? ama lengo la kinachotafutwa ni nini haswa? Pia soma GE2025 - Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Katavi vyashiriki mazoezi ya pamoja GE2025 - Majeshi nchini waendelea na mazoezi ya pamoja...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au mbona sielewi?

    Unajua kuna jambo silielewi. Haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana kila sehemu hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu Ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee Naomba tueleweshane kwa watu kama sisi tusio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…