Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025 ndugu Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae...
Wakuu,
Panazidi kuchangamka huko,
Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya.
Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
“DP tutashiriki uchaguzi na sasa tumeshatoa kalenda na tutakuwa na Mkutano Mkuu wetu tarehe 10/6/2025 na tutaufanya Morogoro. Maana hata Mkutano Mkuu wa uchaguzi mwaka juzi tuliufanya Mogororo,” Katibu Mkuu wa Chama cha DP, Abdul Mluya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Habari Wana JF kama kichwa kinavyosema :
Kutokana na sera mbalimbali za CDM kugonga mwamba jamaa bado hawajakata tamaa.
Je? Nini kipo nyuma ya pazia.
Muunganiko wa chama Cha walimu wasio na ajira ambae kiongozi wao alipunguzwa makali nimoja ya mbinu wanayotumia kutaka kutaka kushika Dola...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sekretarieti ya Mkoa Wa Kagera Ikiongozwa na Katibu Wa Chama cha Mapinduzi Ccm Mkoa Wa Kagera Imeanza Ziara ya Kukutana Na Wazee Wa Wilaya Zote zilizopo Mkoani Kagera Kwa Lengo
Akiongea na baadhi ya Wazee Wa Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera Katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Ccm Zilizopo...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi Mkuu wa hapo mwezi Oktoba basi kaburi lake lipige kura na hiyo kura apewe Saashisha Mafuwe mbunge wa...
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, imekuwa ikikabiliwa na changamoto za uchaguzi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za udanganyifu wa uchaguzi (electoral fraud). Hali hii inachangia kutokuwepo kwa imani miongoni mwa wapiga kura na inaweza kuhatarisha demokrasia ya nchi.
Chanzo cha...
Bila Nguvu ya Dola na Mfumo, Watu Wengi wangejitokeza kupiga kura, na Kwa Jinsi mambo yalivyo, like Box la kupigia kula lingepewa Heshima inayo stahili.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Baraza la Vijana la Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Kagera limewataka Vijana mkoani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba Mwaka huu 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025 hadi tarehe 26 Machi, 2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa...
No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.
Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
ccm
chadema
kidiplomasia
kubwa
kutoshiriki
mkuu
pigo
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
serikali
serikali ya ccm
suluhu
uchaguziuchaguzimkuuuchaguzimkuu2025
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutoa malalamiko yao kuhusu hali ya haki katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama.
Malalamiko haya yanakuja wakati ambapo chama hicho kinajiandaa kwa uchaguzi ambao unatarajiwa kuwa na changamoto...
Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume hiyo. Kumbuka kwamba Rais anayeteua viongozi na watendaji wa tume pia ni kiongozi wa chama mojawapo...
Tuwachambue kwa hoja thabiti na uwezo wao.
Nani anafaa kukuongoza wewe kama mtanzania kwa miaka mitano ijayo?
Mh. Raisi Samia Suluhu Hassan ameshapitishwa kama mgombea rasmi wa nafasi ya Uraisi kupitia Chama cha mapinduzi - CCM na Mh. Tundu Antiphas Mughwai Lissu anatarajiwa kuwa mgombea wa...
Pamoja na kuvurunda na kuendesha uwekezaji kienyeji na kutokuwa na mpango unaoeleweka vizuri wa PPPP, siasa unazofanya kumpamba mama zitakufanya upate cheo kikubwa baada ya uchaguzi wa mwezi October lakini watanzania watabaki wameambulia hewa tupu.
Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa yanayoweza kuashiria mustakabali mpya wa taifa. Katika uchambuzi huu, tunaangazia hali ya kisiasa ya...
Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake...
DOROTHY Semu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ametea Kamati ya Kuunda ilani ya chama hicho ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Kiongozi huyo ameyatangaza majina hayo leo tarehe 6 Februali 2025.
Kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti, Emmanuel Lazarus Mvula na Katibu wa Kamati ni Idrisa...