Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi...
Na kwa safu ya uongozi na wagombea uongozi wake kwenye ngazi ya urais na umakamu wa Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar,
Ni wazi CCM madhubuti imejipanga vizuri mapema kabisa kwa makusudi ili kushinda nafasi hizo kwa kishindo kikuu Oct 2025.
CCM inaamnika,
CCM...
Wakuu salama,
Baada ya CHADEMA kupata mwenyekiti mpya watu wamekuwa na imani kuwa huenda chadema wataitoa madarakani CCM, lakini uhalisia ni kwamba kama wananchi hawatoungana kwa pamoja CCM haiwezi kubanduka pale ikulu.
Lissu mwenyewe amekiri licha ya kampeni ya 'No reforms no election'...
Kampeni ya "No Reform No Election" ya CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) ina malengo mazuri ya kudai mabadiliko ya kisiasa na uchaguzi huru.
Hata hivyo, ikiwa CCM (Chama Cha Mapinduzi) itashiriki uchaguzi wa 2025 bila kufanyia marekebisho mifumo ya uchaguzi, CHADEMA inaweza...
Kukosekana kwa chama kikuu cha upinzani kushiriki uchaguzi mkuu katika nchi kunaweza kuwa na athari kadhaa za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Hizi ni baadhi ya athari zinazoweza kutokea:
1. Kudhoofika kwa Demokrasia
Ushiriki wa vyama vya upinzani ni muhimu kwa kuhakikisha uwazi na uwajibikaji wa...
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma .
Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:-
1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na kipato kikubwa chamani .
2.Kupooza majeraha ya wafuasi wa Magufuli , Tundu lissu ni muhanga wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Soma, Pia: Lissu amjibu Wasira kuhusu Katiba Mpya...
Wakuu
Mwanasiasa mkongwe, Profesa Tibaijuka amemwambia mtangazaji wa Wasafi TV, Charles William kuwa hatakii mema baada ya kuulizwa kuhusu tathimini yake juu yake jinsi unavyokwenda.
Ukiangalia Ratiba kwa sasa imeshakua ngumu, Reform ni mchakato mkubwa unaohusisha mpaka Bunge,
Bunge limebakiza takribani miezi sita tu kuvunjwa, hizo sheria na katiba atarekebisha nani?
Mda umebaki kidogo sana hii kitu tumeshachelewa haiwezekani kabisa, hili vuguvugu ilipaswa lianze tangu...
My friends ladies, and gentlemen..
Ni wazi,
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan kutamfanya achaguliwe tena kwa kishindo, kumalizia ngwe yake ya pili muhimu sana ya...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo na zawadi ya Tsh. milioni 5, Mkazi wa Tegeta Jijini Dar es salaaam, John Malole ambaye aliwaokoa Watumishi wa TRA walioshambuliwa Tegeta Jijini Dar es salaam wakati wakitimiza wajibu wao baada ya kuhisiwa kuwa ni Watekaji.
Rais...
Naona mzee Wassira anatingisha mzinga wa nyuki kwa kuanza kuleta mipasho ya kitoto dhidi ya CHADEMA.
Ombi langu kwa Wassira na CCM, mmeshachokwa, achaneni na Chadema. Kwa mawe ya Lissu msikimbilie tena kutumia dola kama Hayati mzee Meko kipindi kile.
Sote tunajua baada ya Press ya Lissu ule...
Akizungumza na wananchama wa CCM mkoa wa Dodoma Wasira amesema kuwa CCM kushika dola na kuongoza ni lazima hii ni kutokana na idaid kubwa ya wananchama walio nao na ambao wanaendelea kujiandikisha. Hivyo wakati waapinzani wanaendelea kuchea ndevu wao wanazidi kujipanga kuendesha dola.
Kupata...
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.
Mbunge wa Mtera Livingstone...
Wananchi wakiwemo wazee, viongozi wa kiserikali na wnachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoani Tabora leo tarehe 22 Januari 2025 wamefanya matembezi ya Amani kuanzia Ofisi za CCM Mkoa hadi Viwanja vya CCM Wilaya ya Tabora kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya...
Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema!
Niwatakie siku njema!!
Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi.
======
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado hawajakata tamaa ya ushiriki na kushinda katika uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika mwaka huu...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya asilimia 34 ya idadi ya watu nchini, wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa kwenye siasa na...
Mara baada ya Twaha Mwaipaya aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu Chadema na aliyekuwa mwenezi wa Bavicha katika uongozi uliopita kuenguliwa katika kinyang'anyiro hiko wanachedema mbalimbali kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wameeleza hisia zao.
Kupata taarifa na matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.