Ndugu zangu habarini za Alhamisi.
Ninaleta wazo kwenu kwenye uchaguzi wa 2025.
Tukumbuke kuwa kwa sasa vilio vingi ni mambo ya TOZO kila uchwao, haya yametokea kutokana na ubutu wa Bunge letu hasa kutokana na kuwa wabunge tupu wa CCM ambao wamekuwa wanashindwa kuibana Serikali hasa katika...
MAONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
Watu wajiepushe na kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo,Mwaka 2015 ilikuwa CCM vs UKAWA usijeshangaa...
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.
Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Ninapendekeza ili kuruhusu haki kutendeka kwenye matokeo ya kuhesabu kura katika chaguzi za nchi yetu, serikali ipeleke Bungeni kwa hati ya dharura kuomba mabadiliko ya sheria ili kuondoa jukumu la kuhesabu kura toka NEC na kuhamishia jukumu hilo NECTA na majukumu mengine ya uchaguzi hadi...
Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi.
Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya...
Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke...
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo.
Ila sasa sijui nchi...
Kwanza hakuamini (kwa unyofu wa moyo wake na upendo kwa kiongozi wake) kuwa mtangulizi wake hayupo tena na yeye sasa ana wajibu sio tu wa kutangaza msiba wake bali pia kuchukua nafasi yake. Hayakuwa maigizo alipochelewa kutoa taarifa ya msiba wala maigizo akiwa na macho mazito akiapa kuwa Rais...
Kwa heshima na taadhima mama yetu wa Taifa, mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama napenda kwanza kukusalimu "Kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Ama baada ya salam napenda kutumia nafasi hii kama mtanzania na raia mwema wa nchi yako pendwa ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.