Unamshauri nini au una maoni gani juu ya mtu yoyote anayekusudia kugombea nafasi yoyote ya uongozi nchini kufuatia uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na Serikali kuu?
Unamshauri nini azingatie na nini asijekirudia ambacho ulikiona kwa wagombea wengine kwenye chaguzi za nyuma?
Mwaka huu wa 2024...
Kuna chama kilishaanza kampeni isiyo rasmi ya uchaguzi Mkuu 2025, huhitaji kuwaza kujua kuwa hii ni kampeni ya kum-"brand" mgombea wao na kujibrand wao wenyewe ili majina yao yatajwe kila siku na watu lakini pia wakumbukwe kuwa wapo kama walisahaulika.
Kubwa zaidi ni kumuuza kwa lazima mgombea...
Wakuu,
Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.
Yaani ni hekaheka, patashika nguo...
Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa!
----
Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
chawa
kijana
kuelekea
kujifunza
mgombea
mgombea urais
mkuu
nchini
rais
senegal
tanzania
uchaguziuchaguzimkuuuchaguzimkuu2025
upinzani
urais
ushindi
vijana
Pongezi za dhati na za kipekee ziende Kwa viongozi wetu wakuu wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi AbdulRahman Kinana na Waziri mkuu wa JMT Mhe. Kassim Majaliwa Kwa kuwa wapambanaji hodari wa kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025
Pongezi hizi Kwa viongozi hao ni...
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere...
Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza...
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika.
(b) Mwaka...
Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana.
Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa...
HUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.
(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto...
Ni wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao (2025) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na...
Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana Imani na CCM na sera zake, bali itatokea Kwa sababu ya watanzania kukosa mwamko wa kisiasa...
Rais Hussein Mwinyi amekuwa ni mgeni rasmi katika Mkutano wa Kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025
Katika ushiriki wake, Rais mwinyi amezindua mpango wa kukuza mjadala ya vyama vingi na kuongeza...
Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025
Mkutano huu ni wa siku mbili, kusoma yaliyojiri siku ya kwanza bofya viunga hivi
1. Mkutano wa Kitaifa wa wadau wa Demokrasia: AveMaria...
Habari za jumapili wana ukumbi.
Katika kumalizia mapumziko ya mwisho wa juma,nimekaa sebulen kwangu,nikakumbuka uchaguzi wa mwaka 2015.
Mchakato ulianza na kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura,enzi hizo naishi mbezi Luis, nakumbuka nilikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa...
ZANZIBAR
KATIKA kuhakikisha ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi unaongezeka, wanawake wenye ndoto za kugombea uongozi wameshauriwa kuanza kujifunza kutoka kwa wanawake wanasiasa waliowatangulia ili kuongeza ujasiri na uthubutu wa kukabiliana na vikwazo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025...
Mjadala umeibuka kuhusu tabia ya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kulia kila anapopata changamoto za utatuzi wa kero zake za kibunge, ambapo baadhi ya wanasaikolojia na wataalamu wa sayansi ya siasa; wakitilia shaka mtindo huo.
Hata hivyo, akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 10, 2023...
Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM.
Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana,
Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
Umewahi kujiuliza kwanini vyama vya siasa hupoteza mvuto au kufa kabisa na vinaibuka vyama vingine ambavyo huchukua nafasi hiyo na kuwa na nguvu ambayo haukuwahi kufikiwa?
Yawezekana sio mara nyingi jambo kama hili kutokea katika uwanja wa siasa ya vyama vingi duaniani lakini inawezekana kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.