uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Ungependa zoezi la Upigaji Kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 lifanyikaje?

    Wakuu, Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais. Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka kufikia leo ungependa zoezi la uchaguzi lifanyikaje ili kuongeza uwajibikaji, utawala bora pamoja na...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema video inayosambaa ikimuonyesha akisema kuna mbinu nyingi za CCM kushinda uchaguzi ikiwamo zisizo halali imepotoshwa na hakuwa na maana iliyotafsiriwa na watu wengi. Kauli ya Nape kuhusu bao la mkono soma: Nape: CCM...
  3. K

    Pre GE2025 Vijana wasichague viongozi kwa mihemko ya kivyama au chuki, bali kwa uwajibikaji na sera bora zinazotimizika

    Kumekuwa na mashindano mengi ya mpira hasa mpira wa miguu kwenye majimbo na kata mbali mbali nchini. Kwa jicho la kawaida ni jambo zuri lakini kama ukijiuliza ni kwanini ije kipindi hichi na sio miaka miwili au tatu iliyopita tena ikija na ahadi nyingi na fedha nyingi basi utagundua ni siasa...
  4. T

    Pre GE2025 Tuwekee kero za mtaani kwako zinazokufanya uichukie CCM na usiipe kura chaguzi zinazokuja

    Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu. Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mwanza: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwanza ni moja ya mikoa muhimu nchini Tanzania, ukiwa...
  6. Roving Journalist

    Pre GE2025 Singida: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000. Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida...
  7. Roving Journalist

    Pre GE2025 Simiyu: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Simiyu ni mojawapo ya mikoa ya Tanzania, ulioko...
  8. J

    Pre GE2025 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani? Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
  9. Roving Journalist

    Pre GE2025 Dodoma: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310. Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na pia ni makao makuu ya serikali, ambapo bunge na ofisi nyingi za kitaifa zipo. Idadi ya...
  10. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mara uko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, una historia...
  11. Roving Journalist

    Pre GE2025 Shinyanga: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Shinyanga uko Kanda ya Ziwa katika Tanzania na ni...
  12. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kigoma: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Kigoma ni mkoa uliopo magharibi mwa Tanzania, ukipakana na...
  13. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tabora: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa huu una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa mikoa mikubwa zaidi nchini Tanzania. SOMA PIA Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote...
  14. Not_James_bond

    Pre GE2025 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025: Kupungua kwa Mwamko wa Kisiasa Miongoni mwa Wananchi wa Tanzania

    Kwa maoni yangu binafsi ninavyoona, Uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unapokaribia, hali ya kisiasa nchini Tanzania inazidi kuwa na changamoto. Ninavyo ona ni kama vile Wananchi wameonekana kupoteza mwamko wa kisiasa, na imani yao kwa vyama vya siasa na viongozi wao...
  15. Tlaatlaah

    Kama Taifa nashauri tukubaliane kwa kauli moja kwamba majadiliano ya katiba mpya yaanze rasmi baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Kutokana majukumu ya maandalizi mazito ya kazi za kikatiba kitaifa, kwa mfano ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini nzima, pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025.. Mambo haya muhimu kwa taifa, yanahitaji muda mwingi wa kutosha kijipanga na kuyaandaa, yanahitaji umakini, utulivu, uangalifu...
  16. Cute Wife

    Pre GE2025 Kwa kuangalia historia na matendo ya Mbunge wako unadhani 2025 anaweza kutoboa?

    Wakuu mko vyede? Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio wanapiga picha na watu wa hali ya chini, sasa hivi ndio wanajifanya wanajua sana kutetea haki za...
  17. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu Lissu, Makonda, Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi

    2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi . CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola . CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
  18. Tlaatlaah

    Unashauri 2025 Mbunge wa jimbo gani ajizuie kugombea tena kiti hicho kuepuka fedheha ya kushindwa?

    Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana hawatakua na nafasi nzuri na ya uhakika kuchaguliwa tena katika awamu nyingine kwenye uchaguzi...
  19. J

    Pre GE2025 RC Makonda aitahadharisha CCM; "Msitulaumu wakati wa Uchaguzi mambo yakiwa Mabaya, tupeni Ushirikiano sasa"

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Viongozi wa CCM kuzunguka kona zote na kuwaletea Taarifa za Viongozi wabovu na wezi Ili wawashughulikie kungali Mapema " Msije kutulaumu wakati wa Uchaguzi mambo yakiwa Mabaya" ameonya Makonda Mwenyekiti wa CCM Komredi Sabaya amemuhakikishia...
  20. peno hasegawa

    Pre GE2025 Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

    Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
Back
Top Bottom