uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Pre GE2025 Manyara: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA MANYARA Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la Serikali tarehe 2 Agosti, 2002 baada ya kugawanywa kwa Mkoa wa Arusha ambao kabla na wakati wa kipindi cha...
  2. Roving Journalist

    Pre GE2025 Pwani: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. RAMANI YA MKOA WA PWANI HISTORIA ZA MKOA WA PWANI Mkoa wa Pwani...
  3. J

    SI KWELI CHADEMA wataka kila anayetaka kugombea nafasi ya uongozi Serikali za Mitaa achangie Tsh. 400,000

    Na Mwita Mwija Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ameeleza kuwa kutokana na uhaba wa fedha, kwa sasa wagombea wote ngazo za mitaa, vijiji na vitongoji lazima wachangie kukiwezesha chama shilingi Laki nne (400,000) hii itasaidia uwezeshaji katika usimamizi wa chaguzi hizo kwa kuweka mawakala...
  4. R

    Pre GE2025 Nani anafaa kuwa kampeni meneja wa Mgombea Urais wa CCM 2025?

    Siasa za hoja ufanywa na wana mikakati ambao wanaweza wasiwe wanasiasa ila wanafahamu vyema siasa. Siasa za hoja zinahitaji sana kampeni meneja ambaye ni neutral na mwenye malengo ya Taifa kuliko mwenye maono ya chama. Kampeni meneja mwenye maono na asiyefungamana na upande wowote anaweza...
  5. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Dkt Nchimbi awahakikishia wananchi wa Tinde kuongezewa kituo cha Afya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya maeneo yenye uhitaji wa Kituo cha Afya kiwe kimejengwa ili kurahisisha huduma kwa jamii. "Kuna...
  6. S

    Pre GE2025 Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano

    Tatizo ni kwamba siku zote vyama vya upinzani vimeingia katika uchaguzi mkuu bila kuwa na agenda kuu ambayo inawapa changamoto kubwa CCM. Utakuta upinzani wanakuja na slogan kama ubwawa kwa kila mtu, nitawajaza mapesa nk, sera au ilani nyepesi zisizowafanya wananchi wafikirie kuwapa kura badala...
  7. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Waziri Lukuvi atembea ofisi za ACT Wazalendo; Asema chaguzi zitakazofanyika wakati wa utawala wa Rais Samia zitakuwa zenye heshima, huru na haki

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ndg. William Lukuvi akiwa ameambatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mtungi leo 07/10/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo na kupokelewa na Kiongozi wa Chama Ndg. dorothy Semu aliyeambatana na Katibu Mkuu...
  8. Mindyou

    LGE2024 Mwanachama huyu wa CHADEMA afichua mbinu mpya wanayotumia CCM kupora uchaguzi ujao wa serikali za mitaa!

    Joto la Uchaguzi wa Serikali za mitaa linazidi kuwa kali na hii ni baada ya mwanachama mmoja wa CHADEMA kufichua mbinu mpya wanayotumia CCM kuiba na kupora uchaguzi. Kwenye kikao na baadhi ya viongozi wa TAKUKURU, mwananchi huyo amedokeza kuwa CCM tayari imeshaanza kampeni na kwamba kwa sasa...
  9. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mjini Magharibi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Mkoa wa Mjini Magharibi ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania na unapatikana ndani ya Kisiwa cha Unguja. Mkoa huu una wilaya tatu ambazo ni Mjini, Unguja Magharibi A na Unguja Magharibi B. Mkoa huu una wakazi takriban 893,169 kulingana na sensa ya mwaka 2022. Jimbo la Pangawe linaongoza kwa...
  10. Chagu wa Malunde

    Uhusiano wa India na CCM wazidi kuimarika. CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kuimarisha diplomasia .

  11. R

    Pre GE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia huenda kuna watu wanatumbuliwa hivi karibuni; vita ya uchaguzi ni kubwa kuliko tunavyodhani

    Vita ya uchaguzi ni kubwa sana ndani na nje ya CCM . Upo uwezekano wenye nguvu na wanaotaka madaraka wanatumia mbinu nyingi kupata uungwaji mkono. Hasira ya Mhe. Rais siyo ndogo na si yakipuuzwa. Kuna wanadamu wamesambaza sumu au baadhi mchana wapo CCM usiku wanafadhili mipango ya uchaguzi...
  12. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kusini Pemba: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake. Mkoa una wilaya mbili tu, ambazo ni Mkoani na Chake Chake Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022 idadi...
  13. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kaskazini Pemba: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kaskazini Pemba ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania, unapatikana Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba, huko Zanzibar. Mkoa wa Kaskazini Pemba una Halmashauri mbili (2) na majimbo ya uchaguzi tisa (9) ambapo Jimbo la Kojani linaongoza kwa kuwa na watu...
  14. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kusini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Mkoa wa Kusini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambao unapatikana Kusini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar. Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, mkoa huu amba una jumla ya wakazi 195,873 kati ya hao wanaume ni 98,367 na wanawake ni 130,506 huku kaya zikiwa takriban 47,010...
  15. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kaskazini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kaskazini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambayo unapatikana Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar. Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, mkoa huu una jumla ya wakazi 257,290 kati ya hao wanaume ni 126,341 na wanawake ni...
  16. K

    Pre GE2025 Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mambo vipi wadau? Kwa jinsi hali ilivyo ya mambo na matukio tunayoendelea kushuhudia hivi katika jamii ni dhahiri kuwa serikali inapaswa kuchukua hatua na tahadhari kubwa kuelekea Uchaguzi wa 2025 la sivyo tunaweza kushuhudia uvunjivu wa amani ambao hatujawahi kuhushuhudia hapo kabla...
  17. Superbug

    Je, dhana kujitoa atika jambo unalofaidika nalo ndiyo msingi wa Haki? Hoja ya CCM kusimamia Uchaguzi Ikiwa ni Mnufaika

    Kuna ile dhana ya kiuongozi ambapo mtu anajitoa au ana declare interest kwenye jambo linalomhusu ili kusiwe na upendeleo nitatoa mifano ifuatayo. 1. MAHAKAMA Majaji huwa wanajitoa kwenye kesi aidha zinazowahusu au ambazo wao ni washtakiwa. 2. NECTA Baraza la mitihani huwa haliruhusu mwalimu...
  18. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Kama taifa, zawadi pekee ya kumpa Rais Samia kwa kazi nzuri ya maendeleo ni ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu 2025 ikiwa atagombea

    Record yake katikati kuchochea maendeleo endelevu kwenye maisha ya waTanzania, iko wazi na bayana sana, mathalani kwenye huduma ya maji ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma bora za afya mijini na vijijini, huduma bora za usafirishaji wa relini, majini, ardhini na angani, huduma bora katika elimu...
  19. J

    Pre GE2025 Sugu apumua, Lucas Mwashambwa hatagombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aamua kumwachia Dr Tulia aendelee kuleta Maendeleo!

    Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini. Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia. Hata hivyo Lucas amesema yeye hana...
  20. Kabende Msakila

    Pre GE2025 Usajili WanaCCM kielekitroniki mfumo huu ni mzuri sana

    Mfumo huu ni mzuri sana sababu chama kinafahamu idadi ya wanaCCM kitaifa - Mkoa - wilaya na Kata waliko wanachama. Hata hivyo, ningekuwa na madaraka ktk CCM mfumo wa usajili unapaswa kuwa active muda wote - haupaswi kufungwa - usajili unatakiwa kuendelea mpaka mwakani May kabla ya kura za...
Back
Top Bottom