uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 UVCCM - Temeke yawakumbuka wenye uhitaji kuadhimisha miaka 48 ya CCM

    Umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Temeke umesema utaendelea kuishi kwa vitendo malengo ya kuasisiwa kwa Chama Chama Mapinduzi CCM kwa kuwajali watu wote kwani Chama hicho ndio kimbilio la wanyonge Wakizungumza wakati wa Matembezi maalumu yaliyokwenda sambamba na kutoa msaada wa vitu...
  2. Pang Fung Mi

    Pre GE2025 Hivi kweli CCM imefikia hatua ya kupigiwa debe na kutwaliwa na Machawa kama Gari ya Chai Maharage enzi hizo Seriously?

    Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba? Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbunge Issa awaambia CCM hamuwezi kupata kura Konde, 'labda mje mtupige bakora, Sera zenu mbovu'

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu. Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  4. Mr passion

    Pre GE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

    Nadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya magharibi inawatoa kwenye mfumo wenu na kiasi madhara yake ujitokeza hadharani. Rudini kwenye maisha...
  5. Miss Zomboko

    Pre GE2025 Haki ya kupiga kura haishii kwenye tendo la kupiga kura

    Haki ya kupiga kura ni mojawapo ya haki za msingi za kiraia inayowapa raia uwezo wa kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wao na kushiriki katika maamuzi ya serikali. Haki hii ni muhimu katika kuhakikisha usawa, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika utawala...
  6. M

    Pre GE2025 Rai yangu kwa CHADEMA kuelekea uchaguzi wa mwaka huu 2025

    Binafsi nadhani CHADEMA wajiandae kwa uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Kinachotakiwa ni wao kubadilika na kufanya kazi kubwa ya kubadilisha mindset za Watanzania. Kuendelea kulalamika kwamba tunaibiwa kura wakati hakuna hatua tunazochukua haijakaa vizuri hata kidogo. Mimi naamini, kama...
  7. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Mpaka sasa ni CCM pekee ndiyo iliyojiaandaa kikamilifu kwa uchaguzi mkuu wa kihistoria Oktoba 2025

    Wakati vyama vingine vya kisiasa viko usingizini na vingine vikibabaika na mjadala wa kuunganisha nguvu ama laa, Chama Cha Mapinduzi CCM tayari kimeshakamilisha maandalizi muhimu ya ndani kuhusu uchaguzi huo wa oct.2025. Ni suala la muda tu wa kisheria na kikatiba ndio unasubiriwa. Na hii ni...
  8. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi: Ukijiandikisha mara 2 ili kupiga kura, adhabu ni jela kuanzia miezi 6

    Wanabodi, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, amesisitiza kuwa kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo cha angalau miezi sita, kisichozidi miaka miwili, au vyote kwa pamoja. Ameyasema haya wakati wa mkutano na wadau wa...
  9. Hamduni

    Pre GE2025 Dkt. Samia ni turufu ya CCM kwa Watanzania uchaguzi mkuu 2025

    𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗥𝗨𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗔𝗚𝗨𝗭𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 2025 Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa kipekee ambaye amebeba matumaini makubwa ya Watanzania. Utendaji kazi wake umejikita katika kuimarisha uchumi, kuleta maendeleo, na kuhakikisha mshikamano wa kitaifa. Kama mwanamke wa kwanza...
  10. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa CCM Morogoro awapiga biti kali wagombea walioanza kampeni kabla ya muda uliopangwa

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Joseph Masunga amekemea vikali tabia inayofanywa na baadhi ya viongozi kufanya kampeni za chini chini kabla ya wakati kwani ni kinyume na Sheria za uchaguzi. "Tunaelekea kwenye Uchaguzi ambao utafanyika Oktoba mwaka huu zipo tetesi kwamba kuna watu wanapita...
  11. S

    Pre GE2025 Lissu na Heche wanaweza kutengenezewa kesi na kuwekwa ndani mpaka uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 upite

    Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa kelele zitakuwa nyingi sana. Kwa sasa, watakuwa wanawawinda kwenye matamshi au vinginevyo mradi tu...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Musukuma amjia juu John Heche kwa kumsema Wasira ni mzee

    Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa sababu bado wapo naye na yeye ni chuma cha CCM. Soma: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine...
  13. K

    Pre GE2025 Lissu asema tofauti ya mabango Kenya na Tanzania ni kubwa, akidai Tanzania matangazo yote ni ya Mama, hakuna biashara ya kiuchumi

    Tundu Lissu akizungumza na BBC Swahili kuelekea Uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa uliofanyika Januari 21, kuhusu mabango na tofauti ya Kenya na Tanzania! ukweli mtupu akidai, "Somo kubwa la Kenya ni wamefikaje hapo walipo, ukisafiri kutoka Nairobi kuja Arusha...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 Baadhi ya wanachuo wapinga hoja ya Tundu Lissu, ya "No Reform No Election", wasema sio kisemeo cha Taifa

    Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa...
  15. Waufukweni

    Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

    Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi. Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa...
  16. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Faris Buruhani Aongoza Bonanza la Mtani wa Jadi, SIMBA vs YANGA Kata ya Nyakibimbili

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani, ameongoza BONANZA la mpira wa miguu kati ya timu za mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga iliyochezwa katika uwanja wa shule ya Msingi Lyamahoro, katika kata ya Nyakibimbili. Ndugu Faris, amelitumia Bonanza hilo kuwashukuru wananchi...
  17. Waufukweni

    Pre GE2025 Musiba: CCM walikusanya wasanii Dodoma bila faida na CHADEMA haikuzimwa

    Wakuu Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 Katibu CCM, Iringa: Wenezi acheni kuwa Machawa na kubeba Mabegi ya Wagombea

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Sure Mwasanguti, amewataka wenezi wa chama hicho kuzingatia kanuni na miongozo ya CCM na kutokujihusisha na masuala ya kuwa machawa wa wagombea na kubeba mikoba yao kabla ya muda wa kikanuni. Mwasanguti ameyasema hayo katika semina...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Musiba: Kuna watu CCM hawajakubali Rais Samia kugombea Kiti cha Urais 2025

    Cyprian Musiba akizungumzia uteuzi wa wagombea CCM na ujio wa Tundu Lissu unavyoshawishi watu wa CCM kuhamia CHADEMA. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki? "Ndani ya CCM kuna watu hawajakubali Rais Samia...
  20. Waufukweni

    Pre GE2025 Cyprian Musiba: Polepole, Bashiru warudishwe kupambana na CHADEMA ya Lissu

    Cyprian Musiba amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwarudisha wanachama wake wenye nguvu ambao wanaweza kupambana na ajenda zitakazokuwa zinaibuliwa na wapinzani kutokana na ingizo la uongozi mpya wa CHADEMA ukiongozwa na Tundu Lissu. Soma, Pia: Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu...
Back
Top Bottom