Aliyekuwa Mbunge kwa tiketi ya CCM (2010 - 2015) Hasnain Murji awahimiza wananchi Mtwara kushiriki kwa kujiandikisha katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
Hasnain aliyasema hayo mara baada ya kujiandikisha Oktoba 18, 2024 katika mtaa wa Shangani West, ambapo aliwasihi wananchi na hasa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kuacha malalamiko yanayohusiana na uandikishwaji wa wanafunzi wenye umri wa miaka 18 katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kauli hiyo ameitoa alipokuwa...
Wanawake kwenye Nafasi za Uongozi ni mada muhimu inayozungumzia umuhimu wa kuwapa wanawake fursa zaidi katika uongozi na kuondoa vikwazo wanavyokumbana navyo. Jambo hili linaweza kufanikiwa kwa;
Kuondoa Vikwazo vya Kijinsia:
Wanawake wanakutana na changamoto kama vile ubaguzi wa kijinsia na...
Wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kuingia katika uongozi
Na Thuwaiba habibu
Sheha wa michamvi Khadija hassani haji amewaomba wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kushiriki katika uongozi
Ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na muandishi wa habari hizi huko michamvi mkoa wa kusini...
Ushiriki wa wanawake katika uongozi si tu suala la haki na usawa bali pia huboresha ubora wa utawala wenyewe kwa kuimarisha utofauti, kukuza usawa, na kushughulikia mahitaji ya raia wote.
Wanawake wanaposhika nyadhifa za uongozi, wanakuwa mfano wa kuigwa na wasichana na wanawake vijana...
Rushwa ya ngono ni matumizi mbaya ya madaraka ili kujinufaisha kingono visivyohalali au pasipokuwa na makubaliano ya pande zote mbili.
Kwa mujibu sheria ya kuzuia Rushwa na Uhujumi Uchumi Zanzibar nambari 5 ya mwaka 2023 kifungu cha 52 kimekataza rushwa ya ngono kwa kumtaka mtu mwengine afanye...
Ikiwa zimebakia siku chache kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Dk Ananilea Nkya amasema kuwa zipo changamoto mbalimbali ambazo upelekea Wanawake kushindwa kuwania na kuchaguliwa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ametolea mfano...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Oktoba 15, 2024 Manispaa ya Songea ameendelea na zoezi la kuhamasisha wananchi wa manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika vituo vya uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura wa uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.
Katika...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewaelekeza wasimamizi wa uchaguzi katika mamlaka za serikali za Mitaa kuendelea kuhamasisha na kuweka mabango yanayoelekeza vituo vya kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo mkoani...
Wakuu salam,
Nimeanizisha uzi huu maalum kwaajili ya kuweka link ya post zote zinazoongelea rafu na kasoro kabla na mpaka siku ya uchaguzi wenyewe wa serikali za mitaa, iwe rahisi kupata kasoro hizi kwa pamoja kila mtu atakapozihitaji.
Nitakuwa na-update kadri yatakavyokuwa yanawekwa JF...
Na THABIT HAMIDU, ZANZIBAR
Bahati Issa Suleiman 51, Mkaazi wa Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja alikuwa mgombea wa nafasi ya Udiwani wadi ya Bungi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Bahati ambae pia ni mwanaharakati wa kupinga vitendo vya udhalilishaji na ukatili...
Wakuu salam,
Leo nilipanga kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, na kweli nimefanya hivyo.
Ukienda kujiandikisha unakuta mwandikishaji yuko na daftari ambako unaulizwa jina na umri pekee kisha unasaini, na mtu huyo atakwambia majina yatabandikwa uje kuhakiki, na...
Leo kwa vile ilikuwa jumapili nilikuwa na muda nikaamua kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Nilichokiona kama ningedadisi kabla ningerudi zangu nyumbani maana huu ni ujinga na uwenda wazimu. Yaani mtu unataja jina lako na tarehe ya kuzaliwa na unasaini basi umemaliza na...
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuwa serikali za Mitaa ni muhimu na ndiyo sauti ya wananchi hivyo tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
Bila kujali itikadi zetu hili ni jambo muhimu sana Kwa taifa letu kwa ujumla.
Pia soma: Kuelekea 2025 - LGE2024 -...
Wanazingua hawa, hii ilitokea jana na kuripotiwa kupitia ukurasa wa Boniface Jacob (Boniyai).
---
Ustaarabu siyo tabia ya CCM
Hawa ni Watoto wa shule Wamekutwa wanaandikishwa katika daftari kinyume cha sheria, kituo cha EMET mtaa wa Luguruni, kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba leo tarehe...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja
=====
"Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali...
Wakuu,
Jiwe limerushwa gizani, wakuu mjitokeze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na baadaye uchaguzi mkuu, vyote ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
======
Tumeongozwa na Rais Samia Kwenda kujiandikisha ikiwa ni siku ya kwanza yah atua ya mwanzo ya wananchi kushiriki kwenye...
Wakuu, mambo yanazidi kunoga, kwani hawa ambao tunaenda na wanatudai hizi hela za 'copy' si ni wenyewe hawa hawa CCM? Au anaongelea watu gani? Maana wao ndio walipita kwa 99% bila kupingwa!
===
"Mgombea ni lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali kinachomuwezesha kuishi na...
Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa?
Ni hawana uwezo, hawaaminiki wala kuthaminika ndani ya vyama vyao, hawana mipango madhubuti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.