Salaam Wakuu,
Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa nafasi za ubunge ni asilimia 9.5, wabunge wa viti maalumu ni asilimia 29, hivyo kufanya jumla ya wabunge wanawake kuwa 142 kati ya 393.
Vilevile, ripoti ya Tume...
Hivi karibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa Mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya TAMISEMI, alisema jumla ya watanzania 31,282,331 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, ambao ni sawa na asilimia 94.83 ya...
Wanaume wanaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kuwaunga mkono wanawake wanaotaka kujihusisha na siasa.
Kwa mfano, wanaweza kuanza kwa kuwatia moyo na kuwa na mtazamo chanya kuhusu uwezo wao wa kuongoza.
Pia, wanaweza kuwa mabalozi wa mabadiliko kwa kuhimiza jamii ikubali na kuona...
Wakuu,
Naombeni mawazo yenu hapa tukikumbuka kuwa kushiriki siasa siyo tu haki ya kila mtu, lakini pia ni fursa ya pekee ya wanawake kuchangia kwenye maamuzi ya nchi, yanayoathiri maisha ya kila mmoja wetu.
Kwa muda mrefu sana, sauti za wanawake zimekuwa zikikandamizwa au kupuuzwa, lakini...
Wakuu jioni inaenda njema?
Ni kwamba safari hii hawana mpango wa kukamatwa wakiwa wanabox ya kura, mbinu hii ishasemwa sana na wao wenyewe, wakirudia tena saivi wameona upepo umeshabadilika, mambo yatakuwa magumu wakitumia mbinu ile ile.
Wamejifunza na wame-adapt, wamekuja na njia nyingine...
MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na...
Kwa muda mrefu wamekuwepo watu wanaoamini uongozi unahitaji nguvu za misuli na kutokana na misuli ya mwanamke kuwa dhaifu kuliko ya mwanamume sio busara kukabidhi uongozi kwa mwanamke.
Watu hawa hawaelewi kwamba uongozi ni kuonyesha watu njia nzuri, bali wapo wengine wanaoweza kuwapeleka...
Ushiriki wa wanawake katika siasa kuanzia wakiwa wadogo ni hatua muhimu kuelekea kuleta usawa wa kijinsia katika uongozi na maamuzi.
Wanawake wanapohimizwa kujiingiza katika siasa tangu wakiwa na umri mdogo, wanaanza kujenga uelewa na uzoefu wa uongozi mapema, jambo linalowaandaa kuwa viongozi...
Wakuu,
Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!
Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni
Mwanza
Sensa 1.95 Milioni –...
Wakuu,
Hizi ni rushwa kuwashawishi wananchi wafanye wafanye maamuzi, iwe kwa pesa au visheti vyote ni rushwa. Kwanini vinaachwa kuendelea kufanyika? TAKUKURU mnafanya nini?
===
Mkuu wa mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezunguka kwenye baadhi ya vijiwe vya Kahawa katika manispaa ya Bukoba...
Na Thabit Madai,Zanzibar
UONGOZI ni ushawishi, dhana na taaluma inayompa mtu madaraka ya kuongoza ili kuleta maendeleo katika eneo ambalo anataka kuliongozi, Juhudi za wanawake kuwa viongozi Zanzibar bado kitendawili kutokana kuwa wanawake hao wanakabiliana na changamoto nyingi kama...
Wakuu,
Waziri Mchengerwa ametoa taarifa ya uandikishaji ambapo taarifa hiyo imetolewa kimkoa kwa ujumla pamoja na asilimia walizofikisha.
Kama mmepata taarifa za kila mkoa, ina maana taarifa kwenye ngazi ya kata na mitaa pia taarifa hizo zipo, kwanini tunapewa kwa ujumla na si kwa kata na...
Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji...
Bahati Issa Suleimani, mwenye umri wa miaka 51 , mwenye watoto 6 alithubutu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo ya katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika mwaka 1995, na Mwenyekiti wa Umoja Wanawake Tanzania mnamo mwaka 2017.
“Katika mwaka 2020 niligombea nafasi ya udiwani...
Wakuu,
Vijana na wanawake msituangushe uchaguzi huu, ruacge kulalamika, tuingie kwenye uongozi na kuleta mabadadiliko tunayoyataka.
Hata kama wazee mifuko imetuna, kama tukisimama imara na kuchagua viongozi waliobora rushwa haitapata nafasi ya kuamua kiongozi bora, malalamiko tuyaache kwenye...
Bwana Kheri James amesema kote walikopita wilani humo mawakala wa vyama vya siasa hawakuwa na manung'uniko yoyote, wamerdhika kabisa na jinsi zoezi linavyoenda.
Sasa kule Chunga na Dar mnakwama wapi kufanya zoezi hili liende kistaarabu kama wenzenu wa Iringa?
=====
Ikiwa imebaki siku moja...
Wakuu,
Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa wastani, na kwamba umeongezeka kidogo baada ya hamasa kuongezwa akiongeza kuwa ni...
Wakuu,
Tumefikia huku, watu tumekuwa wazito kushiriki kwenye shughuli za uchaguzi na siasa kwa ujumla mpaka ka hela kahusike!
===
Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi ameahidi kutoa zawadi kwa vijiji vitatu...
Wakuu,
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa uwanja wa mkapa katika mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa Oktoba 19, 2024.
Vyama vyote vikiamua kuchukua mabango yao kama hivi kuhamasisha mambo ya kisiasa tutafika kweli?
Mshawafanya Watanzania waichukie taifa stars kwaujinga huu, sasa mnataka mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.