uchaguzi serikali mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Mnyika aitupia lawama TAMISEMI, adai ni Mpango wa CCM na TAMISEMI kutohamasisha Uandikishaji wa Wapiga Kura

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao...
  2. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
  3. Mindyou

    LGE2024 Arusha: Mrisho Gambo amuahidi Rais Samia kulinda mitaa kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa ili kutengeneza jeshi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kama Jeshi la kumtetea Samia kwenye uchaguzi mkuu. Soma pia: Ruvuma...
  4. Lady Whistledown

    LGE2024 Kwa Wanawake: Una mipango ya kugombea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu? Kwanini?

    Wanawake wa Tanzania, je, umejipanga kugombea nafasi yoyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu ujao? Ni sababu zipi zinakuchochea kugombea au zinakuzuia? Ni kweli Wanawake wanaogopa kujihusisha na Siasa au kugombea nafasi za Uchaguzi? Kwa muda mrefu, kumekuwepo na mtazamo...
  5. B

    LGE2024 Wananchi wahimizwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Tarime mji

    26 September 2024 WANANCHI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 TARIME MJI Posted on: September 26th, 2024 Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mji Tarime Bi Gimbana E Ntavyo amewaomba viongozi mbalimbali na asasi za kiraia kuwahimiza wananchi...
  6. J

    Ulijifunza nini katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014/2019? Unatarajia nini katika uchaguzi wa 2024?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2024, je, utashiriki katika Kupiga Kura? Kama ndiyo/hapana kwanini? JamiiForums inakukaribisha kushiriki katika Mjadala utakaohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, utakaofanyika kupitia XSpaces, leo Agosti 22, 2024...
  7. K

    Pre GE2025 Mbona CHADEMA hawajipangi ngazi za chini (grass root) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024. Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
  8. Suley2019

    Pre GE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe...
  9. Roving Journalist

    LGE2024 Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika, mpaka kufikia kwenye matokeo ya uchaguzi huo. ==== Mwaka huu 2024 Tanzania Bara...
  10. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Chatanda afungua semina ya viongozi wa UWT mkoani Shinyanga, ahimiza wanawake kuwania nafasi za uongozi

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Ndg. Mary Chatanda akiwa ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa, tarehe 01 Julai, 2024 amefungua Mafunzo ya usambazaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya watu na Makazi ya Mwaka 2022 Kwa viongozi na watendaji wa Makundi maalum...
  11. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Chatanda awataka Wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi katika maeneo yao

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Wanawake nchini kuendelea kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi katika Maeneo yao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu mwakani 2025. Akizungumza katika Semina ya mafunzo kwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Jenista Mhagama: Tuhamasishe wananchi waipigie kura CCM, tutengeneze wapiga kura kwa kuhakikisha wanasajiliwa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama ametoa wito viongozi kuhakikisha wanawapatia wenyeviti wa Mashina wa Chama cha Mapinduzi taarifa muhimu za utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ili waweze kuzielezea vyema kwa Wananchi. Waziri Mhagama ametoa kauli hiyo...
Back
Top Bottom