uchaguzi serikali mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    LGE2024 Wananchi Dodoma walishwa maneno kuisifia TAMISEMI, huyu mama kashindwa hata kumeza alicholishwa!

    Wakuu, Nadhani niliweka uzi jana kama si juzi kuhusu kiupepo hiki cha wananchi kuhojiwa wakisifia OR TAMISEMI kusimamia vizuri mchakato wa wagombea kuchukua fomu na mpaka tamko la muda kuongezwa. Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa ya moto, kama ndani kwa moto, nje wataweza kweli kuzima moto? Watatoboa kweli November 27? === CHADEMA kimejitokeza hadharani kukanusha vikali tuhuma zinazohusishwa nacho, hasa kuhusu madai ya rushwa na ufisadi yanayoelekezwa kwa baadhi ya viongozi wake na...
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 TBT: Mgombea CCM akijinadi kwa point matata ili achaguliwe na wananchi Uchaguzi 2015. Je, tunatarajia haya hayatajitokeza kwenye chaguzi zijazo?

    Wakuu, Baada ya kuangalia huku na huko nimegundua hii video ni kutoka Uchaguzi wa 2015, hizi ahadi ni kama zile za 'Ndio Mzee' kwenye wimbo wa Prof. Jay.😂😂 Kwa kiwango cha uchawa kilichoongezeka na wagombea ambao hawana sifa wala ujuzi kusimamia nafasi hizo kupewa nafasi ya kugombea...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

    Wakuu, Hawa ndio wahuni waliotajwa kupachikwa CHADEMA kufanya hujuma Uchaguzi Serikali za Mitaa! Kaka anapayuka kwelikweli kumbe sio siyo mgombea aloyekutana na kashkash za kukatwa majina🤣🤣😂😂 sasa analalamika kuonewa wapi? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Angalia video hapo ucheke na wewe.
  5. Cute Wife

    LGE2024 TAMISEMI yawanoa Waandishi wa Habari Mtandaoni (Online TV) kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuhakikisha hawatoi taarifa kwa upendeleo

    Wakuu, Inashangaza pale unakuta kichwa cha habari kutoka online TV kinakuwa kama kaandika Lucas Mwashambwa, nilikutana nayo juzi wakati nataka nichukue risiti wakawa wamefuta bana. Kwa jinsi ilivyoweka wallah ule mwandiko ulikuwa wa Lucas Mwashambwa. ====== Wizara ya Ofisi ya Rais, Tawala...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Kindononi: Mbunge Abbas akabidhi feni kwaajili ya ukumbi wa mikutano, agharamia na ufungaji wa feni hizo

    Wakuu, Ukisikia vituko majimboni ndio hivi :BearLaugh: :BearLaugh: , mwenyewe yuko proud hapo kwenye picha hana hata haya:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: ==== Mbunge wa Kinondoni Mhe. Tarimba Abbas, akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM Kata ya Magomeni Bw. Mohamed Mwinyi, Mafeni sita kwa ajili...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Mara waridhishwa na mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa, waomba mamlaka ziendelee kufanya kazi nzuri ili haki ipatikane kwa kila mgombea

    Wakuu, Hawa wanamvua nguo Nchimbi aliyesema demokrasia yetu bado changa na hivyo OR TAMISEMI ilegeze kamba kidogo! Watu maefurahia zoezi yeye anataka waonekane wanoko! ==== Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa mkoani Mara wameeleza kuridhishwa na mchakato wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Mtwara: Wagombea 350 waenguliwa kutona na sababu mbalimbali licha ya elimu kutolewa kwa makundi yote juu ya ujazaji wa fomu

    Wakuu, Kama vile imekuwa mashindano kuangalia wapi wataengua waombea wengi kuliko wenzao! ===== Jumla ya wagombea 350 wa nafasi mbali mbali za uogozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kati ya 4,282 ya waliochukua fomu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara. Hayo yamebainishwa...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Hai: Wagombea CHADEMA wadai kujaziwa fomu kuwa walemavu

    Wakuu, Huu uchaguzi kiboko! ==== Baadhi ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti katika vijiji vya Uswaa, Mamba na Kiselu katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamelalamika kuenguliwa majina yao huku baadhi yao wakidai fomu zao zimeongezewa maneno na alama, wengine fomu zikionesha kuwa...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!

    Wakuu, Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala? ===== Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni wilayani Arumeru kupitia mwenyekiti wake, kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao. PIA SOMA - LGE2024 -...
  11. Cute Wife

    LGE2024 Arusha: TLP walia na wagombea wake kuenguliwa, wakata rufaa

    Wakuu, Kilio ni kile kile kwa wapinzani, balaa sana, huku kuna watu wamepongeza TAMISEMI kwa kufanya zoezi vizuri!:BearLaugh: ==== Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mkoa wa Arusha kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao waliowasimamisha kwenye nafasi za uenyekiti katika mitaa mbalimbali...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 INEC watoa elimu kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ili kuliweka tayari Jeshi la Polisi wakati wa mchakato wa Uchaguzi

    Wakuu, Mambo yanazidi kuiva.. ==== Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, Novemba, 2024 imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi...
  13. Cute Wife

    Pre GE2025 Kahama: TAKUKURU waonya Chawa wanaotumika kugawa fedha na zawadi ili wagombea wao wachaguliwe

    Wakuu, Kwahiyo lile gari alilotoa Rais Samia kupitia Makonda kwa yule shehe Arusha, TAKUKURU.... au basi! ==== Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka huu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Kahama imesema itachukua hatua za...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Lissu: CHADEMA tunahitaji kurudi nyuma na kujipanga upya, kwenda mbele kwenye mazingira haya ni kujihahakishia anguko

    Wakuu, Wakati akijibu swali la mwandishi kwenye mkutano wake na waandishi Singida; (Uchaguzi umekwisha wanatakiwa wajipange upya, je, wanaimba mwimbo mmoja) Tundu Lissu amesema; ====== "Mimi napenda kuamini tunaimba wimbo mmoja, kama hatuimbi wimbo mmoja basi tutakuwa na hali mbaya sana...
  15. Cute Wife

    Pre GE2025 Waziri Abdallah Ulega: Mkuranga hatumdai Rais Samia chochote, hii ni sababu moja wapo ya CCM kushinda chaguzi zijazo kwa kishindo kikubwa

    Ni mwendo wa kuwa chawa tu mpaka uhakikishe kambo yako imefungwa vizuri kwenye mtu uanze kula! ==== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 “Kwa namna ya...
  16. Cute Wife

    Pre GE2025 Mkutano wa Tundu Lissu na Waandishi wa Habari Singida Novemba 12, 2024

    https://www.youtube.com/live/2CiAzcAM92M?si=ipoSlBpKzwhZhvkQ Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari muda wote kuanzia sasa. Fuatilia updates kadiri zitakavyojitokeza. Wakati anazungumza na waandishi wa habari Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na...
  17. Cute Wife

    Pre GE2025 Rais wa Wanafunzi UDSM: Wanafunzi wa Vyuo tutamchagua Samia

    Wakuu, Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya. ===== Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Dodoma: CHADEMA yaapa kuwarejesha wagombea walioenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, ameahidi kupambana kuhakikisha wagombea wa chama hicho walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wanarejeshwa, akisisitiza kwamba watafanya hivyo bila woga hata kama hawatapendelewa na mamlaka...
  19. Mindyou

    LGE2024 Amos Makalla: Malalamiko yanayotolewa na vyama vya siasa kuhusu kuwekewa mapingamizi kwa wagombea ni upotoshaji!

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani, Amos Makalla amejitokeza hivi karibuni na kusema kuwa vyama vya upinzani vinafanya upotoshaji Makalla amesema kuwa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa zimejaa upotoshaji kwani hata...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Makalla: CCM tumeweka mapingamizi, tunaamini haki itatendeka

    Wakuu, Ni mwendo wa maigizo tu mpaka kieleweke. ===== Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani Chama kinaamini haki itatendeka kwa...
Back
Top Bottom