Wakuu,
Ila CCM hakuna kama nyinyi duniani🤣🤣😂:
DC Abdallah anasema wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kumshukuru Rais Samia kwa kufanya maisha yao vyuoni kuwa bora, na hawa ni wanafunzi wote wote, kwakuwa ni wengi sana basi wamewakilishwa na wenzao wachache kwenye hilo Samia Uni Bonanza huko...
Wakuu,
Kumbe kuna kampeni ya kupata kura za wamasai na hamsemi :BearLaugh: :BearLaugh:!
====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ambekabidhi Baiskeli kwa Wakulima 40 wa Mfano kwa Zao la Pamba Halmashauri ya Ushetu, ambazo zitawawezesha kufuatilia mwenendo wa uzalishaji Pamba kwa Msimu huu wa kilimo 2024/2025.
Akizungumza wakati wa kukabidhi baiskeli hizo Cherehani...
Wakuu,
“Wewe ndiye unayekwenda kupiga kura, wewe ndiye unayesema siitaki CCM, ni wewe. Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili, itakuwa miujiza mitaa hii msishinde, itakuwa miujiza kura muzipoteze, itakuwa miujiza msiende kupiga kura, kwa maana miaka 5 migumu itakuja tena. Kwa hivyo mimi...
Wakuu
Akina mama wa CCM wapiga magoti ili kuwaombea kura wagombea wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakija kuomba kura mpaka wanatambaa, wakishazipata wanaanza kutupiga matukio, hata kuwasogelea huwezi, unasikia unajua mimi ni nani? Tutaona mengi wakati huu.
Kupata taarifa na matukio...
Wakuu,
Justification ya kuzuia baadhi ya mikutano ya kisiasa na kampeni za vyama fulani ileee inawekwa kwenye mstari!
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limevionya vyama vya siasa na kuvitaka kuepuka mikusanyiko isiyo halali katika kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika...
Wakuu,
Upinzani wakifanya hivi kwenye maeneo ambayo wagombea wa chama kimoja wapo wameenguliwa watafanikiwa kuwazidi CCM?
====
Naibu Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Ndugu Julius Massabo akimnadi Ndugu Maisiana Damasi; ambaye ni mgombea Uenyekiti kwa tiketi...
Wakuu,
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kwa sasa CCM kimepoteza mvuto kwa sababu kimeshindwa kufikia matarajio ya wananchi wa Tanzania na ushawishi wake umeshuka.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha wanashinda kwa kishindo.
CPA Makalla ameyasema...
Wakuu,
Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka matope.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Wakuu,
CCM na polisi, bila manyanyaso kwa wapinzani mnaweza kutoboa kweli?
=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024...
Wakuu,
Vijana hawa waelewa na wenye akili ndio akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na ChoiceVariable? :BearLaugh: :BearLaugh:
====
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki...
Wakuu,
Ila polisi, mnazidi tu kufanya CHADEMA wapate vichwa na kuwa maarufu. Sijui kwanini hamjifunzi, kila siku mnatumia mbinu zile zile!
=====
Pia soma: - LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku
Wakati Mbowe na wenzake...
Wakuu,
Kuna tafrija huko tumeandaliwa mapochopocho tukajirushe.
====
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zedekia Mathias, ameahidi kuandaa tafrija nyumbani kwake kusherehekea ushindi...
Wakuu,
Mpaka tar 27 mambo yatakuwa motooo!
====
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, ametoa wito kwa wakazi wa mtaa wa Kachoma, kata ya Makanyagio, jimbo la Mpanda Mjini, kuwanyima kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza katika...
Wakuu,
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa bonanza maalum lijulikanalo kama Dar es Salaam Standup Bonanza kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024.
Bonanza hilo limeandaliwa kwa...
"Tunajua mna tatizo kubwa la uhamiaji. Hata mimi walishawahi kunisumbua, wakaniambia mimi si raia wa nchi hii na kunitaka nipeleke vyeti vya babu yangu aliyemzaa babu yangu. Lengo lao lilikuwa kunisumbua tu, lakini chama changu cha ACT kilisimama nami mpaka mwisho. Hivyo kupitia ACT, hakuna raia...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro Joseph Haule imhh...
Wakuu,
Kuna vitu bila kujitoa akili huwezi kufanya :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: yaani kijana barobaro na akili zako unapita na kuhamasisha watu kuchagua ubwabwa!
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.