uchaguzi serikali mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    LGE2024 Kasesela: Mkishinda Uchaguzi msitamani wake za watu

    Wakuu, Wenyeviti na wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini wametakiwa kuacha tabia zisizofaa ikiwemo ulevi, tamaa za wake za watu na matumizi mabaya ya madaraka baada ya kupata ridhaa. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Ruvuma: Mgombea wa ACT akamatwa kwa tuhuma za uchochezi

    Wakuu, Mjumbe wa kamati ya uongozi ya chama cha ACT Wazalendo jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, ambaye pia ni mgombea wa uenyekiti wa chama hicho kwenye kitongoji cha Maholela, Mohamed Kapopo amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi. Kupata taarifa na...
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 Gambo atoa Milioni 2 kulipia kodi ya chama cha bodaboda, awanunulia pia TV wafuatilie matukio duniani

    Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Kampeni ya Usafi Arusha: Makonda aingia mtaani kushiriki usafi kwa kuzoa taka na kudeki barabara

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
  5. Cute Wife

    LGE2024 UVCCM Kagera Faris Buruhani: Viongozi wa dini wahimizeni waumini kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameungana na Waislamu wa wilaya ya Missenyi na Mkoa wa Kagera kwa ujumla katika Maulid ya Bwana Mtume Mohammad [s.a.w] iliyosomwa katika Kata ya Kyaka wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Zitto: Vijana msiruhusu wasiokuwa wakazi kupiga kura Mwandiga

    Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka vijana wa Mwandiga, mkoani Kigoma kuhakikisha wanapiga doria katika eneo lao siku ya uchaguzi ili kuzuia mtu yeyote asiyekuwa mkazi wa eneo hilo kupiga kura. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Kagera: Polisi wapokea magari mapya 5 kuhakikisha uchaguzi serikali za mitaa unafanyika kwa amani

    Wakuu, Ukifanya nywiii fastaaa unaenda kufinywa! Jeshi la polisi mkoani Kagera kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, mwaka huu limepokea magari mapya matano ili kuongeza nguvu na kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa Amani katika maeneo yote. Akiongea na waandishi wa habari mjini...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Iringa: UVCCM Glory Chambo awaangukia wananchi kwa magoti kuomba wawachague Wenyeviti wa CCM

    Wakuu, Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM kutokea Mkoa wa Iringa Cde. Glory Chambo amewaangukia Wanamagulilwa kuomba wawachague Wenyeviti Wanaotokana na Chama cha Mapinduzi siku ya Uchaguzi Serikali za Mitaa tarehe 27 Novemba 2024. Chambo amesema CCM ina haki ya kupewa muhula mwingine wa...
  9. Cute Wife

    LGE2024 DC Rombo: Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki, 4R zitatumika

    Wakuu, “Uchaguzi huu utakuwa huru, Utakuwa na Haki”. Haya ni maneno ya Uhakikisho yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mwl. Raymond Mwangwala wakati akiongoza matembezi ya taratibu ‘Jogging’ kwa Wananchi, Watumishi wa Umma na Taasisi mbalimbali zilizopo Wilayani humo...
  10. Erythrocyte

    LGE2024 Mdude atolewa Songwe na kupelekwa Mbeya kwa mahojiano zaidi

    Angalieni wenyewe namna Polisi wanavyohangaika na mtu ambaye wala hana silaha yoyote Halafu rudisheni kumbukumbu ya namna walishughulikia ajali ya ghorofa Kariakoo. --- Wakati Jeshi la Polisi mkoani Songwe likimaliza mahojiano na kada wa Chadema, Mdude Nyagali, mwanaharakati huyo anapelekwa...
  11. Cute Wife

    Njombe: Waziri Ndumbaro atumia soka kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Waziri Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 kwani uchaguzi huo ni muhimu kwa kuwa unawezesha kupatikana viongozi wa ngazi za chini kabisa katika muundo wa uongozi hapa nchini Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Katavi: Jeshi la Polisi lawaasa Waandishi wa Habari kuepuka kuandika habari za kichochezi kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Lungo hilo la kuwanyamazisha waandishi wa habari kipindi hiki cha uchaguzi. Habari za Uchochezi ni zipi? ===== Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limefanya kikao kazi na Waandishi wa Habari na kuwataka kujiepusha kuandika, kuripoti habari za uchochezi hususani kipindi hiki cha kuelekea...
  13. M

    Pre GE2025 Ukatili wa Kijinsia wakati wa uchaguzi unachangia kuzima ndoto za Wanawake kuwa viongozi Zanzibar

    "Niliishiwa na nguvu, baada ya kutolewa katika chumba cha kupigia kura, wakati Mimi nilikuwa ni mgombea halali wa uwakikishi Jimbo la Malindi Mwaka 2020," anasema Khadija. Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, alitolewa katika chumba cha kupigia kura, na kuvumilia ukatili wa Kijinsia, wa...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Mjumbe Kamati Kuu CCM Arusha: CHADEMA wana sumu mimi nina maziwa

    Wakuu, Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema leo Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM akiwa katika viwanja vya kilombero. Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa...
  15. Cute Wife

    LGE2024 Mtwara: UVCCM Kaskazini Pemba alala chini kuwaombea kura CCM Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhandisi Ali Suleiman Ali ameendelea kuchanja mbuga nyumba kwa nyumba mitaani...
  16. Cute Wife

    Pre GE2025 Lindi: CHADEMA yazungumza kukamatwa kwa Steven Membe

    Wakuu, Taarifa za kukamatwa na kisha kushikiliwa kwa Steven Membe ambaye pia ni mtia nia wa kuwania Ubunge wa jimbo la Mtama, Lindi kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujao (2025) zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii hatua ambayo iliibua maswali na sintofahamu huku kukiwa na hisia...
  17. sifi leo

    LGE2024 Hivi Zanzibari nako kuna Uchaguzi Serikali za Mitaa? Kweli CUF haina mgombea hata mmoja mwaka 2024?

    Mimi nimtanganyika Zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila ninauliza Huko Nako mpaka Kizimkazi Kuna uchaguzi wa Serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi? Kupata taarifa zote za kimkoa kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 Spika Tulia ashiriki ibada ya madhabahu ya sauti ya uponyaji. Mkienda na kwa waganga pia mturushie na picha!

    Wakuu, Huu ndio muda wa kujipendekeza kwa kila mtu mradi wapate kura, safari hii mkienda na kwa waganga mtupigie pia na picha. Msiwafiche fiche wakati tunajua na huko mnafika, kweli uongozi mtamu :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:. ==== Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha

    Wakuu, Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Ado Shaibu: Hatuibiwi kura safari hii. Wasitubipu, tuna bando la mwaka

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga, kapilipili kanazidi kukolea. CCM wakiongonzwa na UVCCM Kagera wanawazoom tu 🌚 🌚 ===== "Sisi tumevumilia sana kuibiwa, 2020 tumeibiwa, na safari hii wamejaribu 'kutubipu' tukawapigia, wengine huko walipo wanajipanga eti wajaribu kutuibia tena, ninawaambia simu...
Back
Top Bottom