Wakuu,
Drama zinaendelea mpaka siku ya uchaguzi!
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Kunnenge wakiwa kwenye foleni ya kwenda kupiga...
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amewataka watendaji wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kuacha kukikumbatia chama cha CCM kwani ni chama ambacho kimeshindwa kuwalinda watendaji wa manispaa na watendaji wa kata hivyo katika uchaguzi wa Novemba 27, wasiingize mguu wao uwanjani...
Kada wa chama cha mapinduzi CCM Bwana Abdallah kambaya Amesema chama hicho kinajenga hoja kwa misingi ya Sera Katika kuwahudumia wananchi wake
Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na wananchi wa kijiji cha mtumbikile kata ya kilangala huko manispaa ya Lindi wakati wa mkutano wa kufunga kampeni...
Wakuu,
Mwigulu amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Singida kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
Wakuu,
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Arusha Ndg. John Kayombo amesema mvutano uliopo miongoni mwao na Wanachama na Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Arusha, unatokana na makosa ya kiutendaji yaliyofanywa na Chama hicho kwa kuandikisha mawakala...
Wakuu,
Hiyo siyo kawaida kwamba CCM wanajiamini sana na kuamini mawakala wao kuwa mambo yataenda vizuri. Kuja jambo linapangwa;
1. Mapolisi kuwa standby wapinzani wakifanya nywi kitatembezwa kipigo cha mbwa koko, halafu waje kusema wapinzani walileta vurugu wakati wameshindwa zoezi limeenda...
Mwenyekiti wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini Godbless Lema pamoja na wanachama wa chama hicho wamefika katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Arusha baada ya mawakala wao kuapishwa na kuto kupewa Fomu licha ya kuwa siku ya uchaguzi ni kesho.
Akizungumza wakati...
Wakuu,
Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika...
Wakuu,
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM ili iwe rahisi wananchi kupata maendeleo.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
Aliyekuwa mgombea wa Mtaa wa Viwandani kata ya Unga LTD Jijini Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano Novemba 27, 2024, Julius Shedrack amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuguswa na mwenendo wa...
Wakuu,
Ndio maana Nyerere alikataa makabila makubwa kushika nafasi ya Urais, kuanza kutuimbia vilugha na kubaguana tu!
=====
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Geita kujitokeza wa wingi kesho na kuchagua wagombea wa CCM.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
Wakuu,
Huu ni ukorofi kabisa, CCM kama inapumulia mashine vile afu wanajaribu kutanua mapafu :BearLaugh:
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Wakuu,
Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini Tanzania, jijini Arusha kumekuwa na malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa, hususan CHADEMA
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa...
Wakuu,
Siku ya leo wakati wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM amegusia kuhusiana tabia ya baadhi ya wagombea kutumia matusi kuwasilisha hoja akimuita mgombea huyo Mwehu na Kichaa!
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali...
Wakuu,
Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:
Watanzania wanasema katika mikutano kasi ya maendeleo iliyopatikana katika miaka hii 4 hawajawahi kukutana nayo...
Wakuu,
Watanzania wanavipima vyama kwa haki kila inapofika uchaguzi nani katika hawa anaweza kutuongoza vizuri, na ndio maana marafiki zangu katika vyama vya upinzani napenda kuwashauri mara kwa mara kwamba punguzeni kugombana gombana, watanzania wakiona mnagombana gombana wanawadharau...
Wakuu,
https://www.youtube.com/live/1BGbDsl2-Vw?si=VNit5q0r1ZwBNF1J
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ndugu Wananchi...
Wakuu,
https://www.youtube.com/live/qJT6TyKWZeo?si=5cw59AnMyAIstTsK
CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani wakiwa takriban 30,000, hii inamaanisha CCM inaenda kupigiwa kura ya ndio na hapana katika asilimia 61%...
WAKATI vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji vikihitimisha kampeni zake leo, kupisha uchaguzi wa viongozi hao Novemba 27, wananchi wa kwa Sadala, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameeleza kufurahishwa kwao na namna walivyojengewa uwezo na ujasiri wa...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema wamejipanga kudumisha amani na utulivu kesho katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, huku likitahadharisha wanaotaka kuuvuruga.
Misime amesema hayo leo Jumanne Novemba 26, 2024 kupitia video fupi iliyopakiwa katika mitandao ya kijamii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.