Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe Jumaa Aweso akipiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kijiji chake cha Sakura kwaKibuyu Kata ya Kipumbwi jimboni Pangani Mkoa wa Tanga.
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kimetangaza kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 unaoendelea sasa, kutokana na kile walichodai kuwa fomu za mawakala wao zimebadilishwa vituo hatua iliyopelekea mawakala hao kushindwa kuingia kwenye vyumba...
HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Mama Salma Rashid kikwete amewaongoza wananchi wa Jimbo hilo kushiriki zoezi la upigaji wa Kura kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Mama Salma ameshiriki zoezi hilo Katika kituo cha kupiga Kura cha Makasini kijiji cha Ruvu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwasaidia wapiga kura kusoma orodha ya majina vizuri ili wote waliojiandikisha wapate fursa ya kupiga kura.
Mchengerwa amesema...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoani Arusha Simon Ngilisho amesema kuwa zoezi Upigaji kura limeanza vizuri lakini bado kuna changamoto kubwa ya utafutaji majina
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha zoezi la upigaji kura Mwenyekiti huyo amesema kuwa majina ya...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe leo Novemba 27, 2024 amepiga kura katika Kituo cha Mfoni Kitongoji cha Muro Kijiji cha Nshara kilichopo Kata Mchame Kaskazini Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa.
Kupata...
MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ameongoza wakazi wa mkoa huo kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa.
Kunenge amekuwa kati ya wananchi waliopiga kura katika kituo cha mkoani A ambao walifika na kupanga foleni kabla ya muda wa kuanza kupiga kura saa mbili asubuhi.
Nipashe...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wananchi wa Chamwino kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi wao ambao watawasaidia katika kuwaletea maendeleo.
Waziri Ndejembi ameyaeleza hayo leo Jumatano Novemba 27, 204 mara baada ya kushiriki zoezi la...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nimepokea TAARIFA kutoka sehemu zote takribani Kanda ya Kaskazini...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo la Kilimani, jijini Dodoma, tarehe 27 Novemba, 2024.
PIA SOMA
- LGE2024 -...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Juma Khatibu amekanusha madai yanayochapishwa kupitia Video Clip inayosambaa Mitandao ya Kijamii kuhusu baadhi ya Vituo vya kupiga kura kuendesha zoezi hilo kinyume na Utaratibu.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amepiga kura katika kituo cha Gharani Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Mchangani.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, ni miongoni mwa wakazi waliojitokeza kupiga kura katika Mtaa wa Tonya Jijini Mbeya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi.
Kupata taarifa na matukio ya...
Wakuu,
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa baada ya Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam kulalamika kadhia wanayoipata kwa kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa tayari wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wameanza...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amepiga...
Wakuu,
Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), leo Novemba 27, 2024, ameungana na wananchi wa jimbo lake katika zoezi la kupiga kura kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji.
Kupata taarifa na matukio ya...
Salam,
Wakati zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa likiwa linaendelea, kumeshuhudiwa vurugu katika kituo cha Shule ya Msingi Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji hali iliyopelekea Jeshi la polisi kufika na kutuliza ghasia hiyo.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe kimeeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya vitendo visivyofaa kwenye zoezi la uchaguzi ulioanza mapema leo, Jumatano Novemba 27.2024 ikiwemo baadhi ya wagombea wao kutokuta majina kwenye vituo vyao na kuongezwa...
Wakuu,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Manzese Mtaa wa Kilimani, Manispaa ya Ubungo Dar Es Salaam.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.