Wakuu,
Askofu Mkuu Mstaafu wa Makanisa ya Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki, amehimiza wananchi kuendeleza umoja baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, na kuvitaka vyama vya upinzani kuendelea kujipanga ili kuongeza ushindani.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
Wakuu,
Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika mkutano na Wanahabari unafanyika kwenye viunga vya 'Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mji mpya...
Wakuu,
Imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea kata ya Ruaha, jimbo la Mikumi, mkoani Morogoro yenye vijiji vinne (4) na vitongoji 21 kushindwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo jana, Novemba 27.2024 badala yake kufanyika leo, Alhamisi Novemba 28.2024 ni kutokana na vurugu zilizoanzishwa...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama ilivyodhaniwa badala yake ilikuwa ni oparesheni kuwashughulikia wapinzani nchini
Rose...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wa X Zitto Kaandikwa haya;
Kijiji cha Kiranjeranje kilichopo jimbo la kilwa kusini mkoani lindi,ACT Imeshinda kijiji na msimamizi aliamua kuwa atatangaza. Polisi wakamuambia maagizo hayako hivyo, yeye akasema tunatangaza matokeo kwa mujibu wa sheria na siyo maagizo...
Wakuu,
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Uenyekiti wa kijiji kwenye vijiji vya Ligoma, Chikomo, Mbesa na Amani vilivyopo kwenye jimbo la Tunduru Kusini, mkoani Ruvuma.
Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa umefanyika jana tarehe 27 Novemba, 2024 Tanzania bara.
Kupata taarifa na...
Wakuu,
Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo la Nzega Vijijini na Bukhene, Mhandisi Modest Apolinary amekanusha kuhusu tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa wakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kituo cha kupigia kura kwenye Chuo cha Ualimu Ndala...
Wakuu,
Tumemaliza kupiga kura jana na matokeo yaanza kuingia jana ile ile kwenye baadhi ya maeneo.
Hali ikoje mtaani kwako? CHAMA gani kimeshinda?
PIA SOMA
- LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu,
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda nafasi zote 84 za Uenyekiti wa viijiji katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu uliofanyika jana Novemba 27, 2024.
Msimamizi wa uchaguzi huo ngazi ya halmashauri Khalid Mbwana amesema uchaguzi...
Wakuu,
Hii ni Arusha wananchi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waandamana kupinga matokeo wakidai haki yao jana usiku baada ya matokeo kutangazwa.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
Ulitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau.
Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi uchaguzi kwa kiwango cha kutisha umeharibika na watu kadhaa wameripotiwa kuuwawa.
Ni upole tuu wa vyama...
Wakuu,
Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega vijijini, wamekimbia na maboksi ya kupigia kura baada ya wagombea wao kuzidiwa kura kwenye uchaguzi waliokuwa wanausimamia.
Akizungumza na Mwananchi leo...
Wakuu,
Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale ambako wamemaliza wanapoendelea kuhesabu waendelee na pale ambako walishamaliza wataendelea kutangaza...
Wakuu,
Amesema Mchengerwa wakati anahojiwa na mwandishi wa TBC, kuwa kuna baadhi ya maeneo ambayo kumetoa sintofahamu mbalimbali, hasa maeneo ya Morogoro kuwa amewaambia watafanya uchaguzi kesho (Novemba 28, 2024) kwenye kata moja Ruaha ambako kulikuwa na changamoto kubwa upande wa karatasi...
Wakuu,
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida umeahirishwa baada ya mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuuawa kwa kupigwa risasi.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
Wakuu,
Kwahiyo waliacha matobo makusudi ili waje watuambie watafanya vizuri wakati mwingine, wakati wananchi watakaa na uozo huo kwa zaidi ya miaka 3?
Eti taifa letu changa, mfumo wa vyama vingi tumeanza juzi! Am so wandaz:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
===
Kupata taarifa na matukio ya...
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng'wilabuzu Ludigija, amewapongeza wananchi wa wilaya hiyo kwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa amani na utulivu, bila kuzusha fujo yoyote.
Aidha, ametoa wito kwa wananchi ambao wagombea wao wameshinda, kusherehekea kwa ustaarabu, ili...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya mtaa wa Majengo Mapya, Kata ya Buswelu...
Wakuu,
Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe!
====
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus Timbisimilwa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kanda ya Pwani leo Novemba 27, 2024 limetembelea vituo vya kupigia kura katika mitaa mbalimbali ya Kinondoni likiwa limeambatana na kaimu Mwenyekiti wa Baraza hilo Taifa, Sharifa Suleiman.
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.