Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jijini la Dodoma ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Frederick Sagamiko amesema vurugu zilizoibuka katika kituo cha kupigia kura cha Site 1, mtaa wa Mlimwa, Jijini Dodoma kati ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki.
ACT Kura 528
CCM Kura 417
Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha Nkoasenga.
PIA SOMA
- LGE2024 - Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa...
Wakuu,
Huu uchaguzi ni balaa!
======
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida.
Kupata...
Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kwa matukio matatu tofauti likiwemo la vijana wawili ambao ni makada wa CHADEMA kukamatwa wakiwa na karatasi 181 za kupigia kura.
Kamanda wa Polisi Kamishina Msaidizi wa polisi DCP Wilbroad Mutafungwa, amesema majira ya saa moja na nusu...
Wakuu,
Maake hapo kwanza ncheke!
===
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la...
TAARIFA KWA UMMA
Tumeendelea kupokea matukio hujuma kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Utekaji, ukamataji kinyume cha sheria, kura feki, na kusumbuliwa kwa mawakala.
===
TAARIFA KWA UMMA
Kwa sasa zoezi la upigaji kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na...
Wakati Novemba 27, 2024 ikiwa ni zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, mkoani Kigoma tangu asubuhi kumeshuhudiwa malalamiko ya uwepo wa kura feki licha ya wimbi la wananchi kuonekana kujitokeza kupiga kura.
Hali hii imeshuhudiwa katika maeneo ya Mwandiga, ya...
Watu wenye ulemavu wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wameiomba serikali kuwawekea mazingira wezeshi ya kupiga kura kwa kuwawekea karatasi zenye maandishi ya nukta nundu yatakayowawezesha kupiga kura bila kusaidiwa na mtu yeyote.
Wamesema kutokana na zoezi la upigaji kura kuwa la siri kwa mtu...
Kata ya Nkoaranga Kijiji cha Nshupu tumeshinda kitongoji kimoja tayari na wakala wa ccm amekimbia na kura zilizopigwa tayari tumeamishia nguvu na jeshi la Polisi wamekuja na tayari matokeo yamebandikwa.
Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka Huu Umekuwa na Mwamko Mkubwa Akisisitiza kuwa hiyo ni Ishara ya Kuimarika kwa Demokrasia Nchini.
Akizungumza katika Kituo cha Kupiga Kura Ilongero Nyalandu Amesema Amejionea Hali ya Utulivu na...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amepongeza mwenendo wa upigaji kura katika mkoa huo, akieleza kuwa mchakato huo umekwenda vizuri licha ya baadhi ya changamoto zilizojitokeza. Serukamba amesema changamoto hizo zimeshughulikiwa haraka ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa huru na haki...
Wakuu,
Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili?
Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida, Jesca Kishoa, leo Novemba 27, 2024, ametimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Maziliga, Nduguti, wilayani Mkalama, Singida, alikozaliwa.
Baada ya kupiga kura, Kishoa amesema, "Leo nimetumia...
Wakuu,
Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha baadhi ya wananchi kushindwa kushiriki katika upigaji kura.
Akizungumza katika kituo cha kupigia...
Wakuu,
Oneni huyu mpuuzi!
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda...
Wakuu Matokeo ya Uchaguzi yameanza,
Zitto kabwe kupitia Ukurasa wake rasmi wa X amepost matokeo haya:
---
PIA SOMA
- LGE2024 - Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza mshindi kabla ya Uchaguzi akihitimisha kampeni
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba ameshiriki kupiga kura ya kuchagua Viongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji katika kituo cha Kwevizelu Kata ya Mahezangulu Mkoani Tanga leo Novemba 27,2024.
PIA SOMA
- LGE2024 - January Makamba: CCM tunajivunia na sera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.