uchaguzi serikali mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    LGE2024 Makalla: Ushindi wa CCM umechangiwa na migogoro ya wapinzani, CCM imeonesha Demokrasia

    Wakuu, Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee? ==== Katika mkutano wake leo Novemba 29, 2024 Amos Makalla ametoa sababu mbalimbali zilizofanya CCM kupata ushindi mnono...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Taasisi ya FOTO: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa na Huru na Haki

    Wakuu, Haya tuendelee na unafiki! ===== Taasisi ya Focus on Tanzania (FOTO) imesema imeridhishwa na mchakato wote wa uchaguzi kwa namna ulivyoendesha kwa mujibu wa utafiti waliofanya na kuthibitisha kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2024 umekuwa wa huru na haki. Kauli hiyo...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Balozi Mjenga apongeza zoezi la Uchaguzi kuendeshwa kwa Amani

    Wakuu, Ngoja tuone hayo matamko ya CHADEMA na CCM yatakuja na kitu gani! ==== Rais na Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika (CIP-AFRICA), Mheshimiwa Balozi Omar Mjenga, amepongeza jinsi zoezi la uchaguzi mdogo limeendeshwa kwa utulivu na amani. Katika mazungumzo yake...
  4. Roving Journalist

    LGE2024 Special Thread: Maoni ya Wananchi na Taasisi juu ya Mwenendo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya matokeo kutangazwa

    Wakuu, Uzi huu ni maalum kwaajili ya maoni ya Waangalizi wa Uchaguzi pamoja ma Wananchi juu mwenendo mzima wa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya Matokeo kutangazwa. Kupata taarifa zote za matukio ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  5. Cute Wife

    LGE2024 Waangalizi Uchaguzi TPCF: Sheria na Kanuni zilizingatiwa kipindi chote cha Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari? ===== Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
  6. Cute Wife

    LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

    Wakuu, Matokeo ya jumla ya uchaguzi kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Uandikishaji wa Wapiga Kura Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331 walijiandikisha, baada ya mapingamizi wananchi waliojiandikisha walikuwa Milioni 31,255,303 Kupiga...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Njombe: Wagombea wapongezwa kwa utulivu wakati wa uchaguzi

    Wakuu, Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Makambako ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi Keneth Haule, amewapongeza wagombea wote walioshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa jana November 27, kwa kuonesha utulivu. Haule ameeleza hayo leo November 28, mara akiwa katika zoezi la...
  8. P

    LGE2024 Kigoma: Polisi wafanya uchunguzi wa tukio la mtu aliyekamatwa na kura feki zilizokuwa zimeshapigwa

    Wakuu, Niseme tu kwamba nashangazwa na wingi wa matakamko ya polisi siku mbili hizi, yaani ni bandika bandua! PIA SOMA - LGE2024 - Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati
  9. Suley2019

    LGE2024 Mwenyekiti Kijitonyama: Uchaguzi ulikuwa huru na haki

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Steven Jovin amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 ulikuwa huru na wa haki na hakukuwa na shida yoyote. Akizungumza mara baada ya kuapishwa kwa wenyeviti wateule 106 wa Manispaa ya...
  10. Suley2019

    LGE2024 Simiyu: Upigaji kura wasifiwa kwa kwenda kwa amani na utulivu

    Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Simiyu, wakiongozwa na Kaimu Shekh Issa Kwezi, wameeleza kuridhishwa na zoezi la upigaji kura lililofanyika jana Novemba 27, 2024. Shekh Kwezi amesema kuwa ulinzi na usalama viliimarishwa, na wapiga kura walienda vituoni kupiga kura kwa utulivu bila...
  11. Cute Wife

    LGE2024 Lindi: CCM na CUF wafungana Matokeo ya Uchaguzi Liwale, Uchaguzi kurudiwa

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa habari. Katika taarifa yake, Sekambo ameleza kuwa halmashauri ya Liwale inajumla ya vijiji 76 na...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Morogoro: Wananchi Ruaha wapiga kura baada ya zoezi hilo kuahirishwa jana Novemba 27, 2024, wahofia wingi wa polisi

    Wakuu, Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na wananchi kuhofia uwepo wa askari wengi katika vituo hivyo vya kupigia kura. Kupata taarifa na...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Songwe: Jeshi la Polisi linawashikilia Gidion Siame na Fiston Haonga wa CHADEMA kwa kosa la kujeruhi

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia Gidion Kefasi Siame (34) Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Momba na Fiston Alinoti Haonga (57) ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Jimbo la Momba CHADEMA wote Wakazi wa Kijiji cha Nakawale...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Mkurugenzi Mtendaji wa FAOPA: Uchaguzi huu umefana, zoezi limefanyika kwa amani, tuipongeze mamlaka

    Wakuu, Kwahiyo wamewapanga hawa waangalizi ili kujustify udhalimu wao! Mwakani hali itakuwa mbaya! ===== Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la FAOPA, Mtwara (Wadau wa masuala ya Demokrasia na Utawala Bora), Baltazar Komba amezungumzia mwenendo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 akisema...
  15. Cute Wife

    LGE2024 CHAUMMA yapata ushindi wa kiti 1 kati ya viti 181 Mbeya na kuwa chama pekee cha upinzani kilichopata ushindi mkoani humo

    Wakuu, CHADEMA, ACT hola? Wagombea walienguliwa wote au nini kimetokea? CHAUMA upinzani anashinda anamshukuru Rais Samia kwa kushinda? CCM safari hii mmetisher!:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimefanikiwa kupata ushindi katika nafasi ya...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Babati: Wagombea wa CHADEMA hawakuondolewa kwa uonevu, mtu hawezi kuwa wakala na mgombea kwa wakati mmoja

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi

    Wakuu, Kuna vitu mpaka aibu unaona wewe! Useless kabisa! Baadhi ya viongozi wa dini nchini wamesema kuwa wamebaini viashiri vya uwepo wa namba za simu za nje ya nchi zikihamasisha taarifa potofu kwa lengo la kuwagawa Watanzania, huku wakidai kuwa kuna watu ambao hawaitakii mema Tanzania...
  18. Suley2019

    LGE2024 Dar es Salaam: Vyama 14 vya Siasa vyadai kuridhishwa na matokeo ya Uchaguzi

    VYAMA 14 vya siasa vimesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana ulikuwa huru na haki. Aidha vyama hivyo vimeipongeza serikali chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kwa maandalizi mazuri tangu mwanzo wa kupata wagombea, kampeni na upigaji kura. Vyama hivyo vimetoa tamko hilo mapema...
  19. P

    LGE2024 Polisi: Taarifa za kukamatwa, kuvunjwa mkono wagombea wa CHADEMA zimetengenezwa na kuongezwa chumvi

    Wakuu, Polisi safari hii ni boko baada ya boko! Siku hizi mbili yametoka matamko naona karibu ziko zote toka nianze kufolo page za polisi TZ. ===== TAARIFA KWA UMMA Zipo taarifa kwenye Mitandao ya Kijamii na Vyombo vingine inayoonyesha kutolewa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Katavi, Roda...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Askofu Ruwa'ichi: Hatuwezi kukaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu, ni jukumu letu kutoa matamko

    Wakuu, Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦‍♂️🤦‍♂️ ==== Ni kweli kama maaskofu wa tanzania tumetoa matamko mengi, na hilo siyo jambo ambalo tunalifanya kwa kukurupuka, ni jambo ambalo...
Back
Top Bottom