Na THABIT HAMIDU, ZANZIBAR
Bahati Issa Suleiman 51, Mkaazi wa Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja alikuwa mgombea wa nafasi ya Udiwani wadi ya Bungi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Bahati ambae pia ni mwanaharakati wa kupinga vitendo vya udhalilishaji na ukatili...