Friends ladies and gentlemen,
Inasekekana kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti Chadema taifa, aliandaa mapema sana, hotuba mbili muhimu na za maana sana. Moja ya kushinda uchaguzi, na nyingine ni ya kushindwa uchaguzi.
Sasa inadaiwa na mnyetishaji wa karibu na timu ya mgombea huyo kwamba, ile...
Katika vitu vilivyonishangaza, ni Mbowe kukosa msimamo wa kueleweka. Leo akiomba kura mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu amezungumzia habari za kuingia katika uchaguzi ujao wa 2025.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu...
Mgombea nafasi makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema kutokana na hali ya kisiasa ya sasa ya nchini inahitaji watu wagumu kuziongoza ili kuleta mabadiliko.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Heche...
Mgombea wa Mkamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Hafidh Ali Salehe amedai vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hicho na hawakufanya kitu, hivyo wazee wana uchungu nacho.
Msingi wa Salehe kusema hayo ni alipoulizwa swali na mjumbe kuhusu umri wake kuwa mkubwa na kama ataweza kuongoza...
Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili
Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki
118 - Kaskazini
91 kati
69 pwani
Viktoria 81...
Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au...
My friends, ladies and gentlemen!
Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.
Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka...
Bado Tupo!
Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao.
Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake ilikuwa ICU. Chenga nyiiingi kwa Lisu Mpaka kamchenga Kipa.
Alafu mwishoni kabisa ati anatoa Pass kwa...
TAARIFA KWA UMMA
UPATIKANAJI WA HUDUMA YA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM
Jumanne, 21 Januari 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kwamba hali ya upatikanaji wa huduma ya umeme katika Mkoa qa Dar es Salaam ni nzuri kwa ujumla licha ya kuwa na maboresho mbalimbali ya...
LISSU STUKA!
Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu, wajumbe wajisomee wenyewe.
Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Wakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni...
Wakuu,
Kama mnavyojua leo ndo ile siku ya Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA na saa chache kabla ya Uchaguzi huo kuanza Jeshi La Polisi limetoa msimamo wake
Akizungumza na Samuel Sasali, Kamanda Muliro amesema kuwa wamejipanga kutoa ulinzi katika eneo la Mlimani CIity na kwamba...
Sidhani kama Wajumbe wa CHADEMA wanalifahamu hili?
Tanzania ilipofikia sasa, hasa kutokana na changamoto za rushwa na uongozi mbaya unaogharimu maisha ya wananchi masikini kila kukicha, ni jambo moja tu linaloweza kutubadilishia hali hii na kuhakikisha uwepo wa Tanzania imara yenye maendeleo ya...
Ee Mungu mwenye uwezo wote, tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu na shukrani kwa nafasi ya kuwa sehemu ya mchakato wa kidemokrasia ndani ya chama cha Chadema.
Mwenyezi Mungu mwenye rehema na neema,
Tunakuja mbele zako leo tukiwa na mioyo ya shukrani kwa fursa hii ya kuchagua viongozi wa CHADEMA...
Mimi nikiwa mtumishi wa Mungu ninawatakia kila la heri CHADEMA katika uchaguzi wao wa viongozi wa ngazi za juu wa leo tarehe 21/01/2025. Ninawatakia uchaguzi wenye amani, huru na haki katika kuwapata viongozi hao.
"chama legelege huzaa serikali legelege"
Mungu ibariki Tanzania, ibariki...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho, kunyimwa vitambulisho.
Soma Pia: Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho...
Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho !
Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni.
Swali. Kama Lissu anaendeshwa hivi na Lema. Mwenyekiti ataumudu?
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), Lema ameonesha kushangazwa na mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wake unaotarajiwa kufanyika kesho, Jumanne, Januari 21, 2025.
"Unazuia impression ya wanachama wako kuja katika maeneo ya uchaguzi mkuu ndani ya chama? Hadi unaweka...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu salini kwa Mungu wetu ili mtuletee Mwenyekiti anayefaa hata kama mmepewa pesa.
Hiyo si hoja Muogopeni Mungu wa Mbiguni. Hofu ya Mungu iwaongoze kesho. Usiku mwema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.