Uchaguzi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kwa nafasi ya Mwenyekiti unatarajiwa kurudiwa baada ya wagombea wote kushindwa kufikia asilimia 50 ya kura zilizopigwa.
Kulingana na kanuni za uchaguzi wa chama hicho, wagombea wawili wa juu watachuana tena katika duru ya pili ili kumpata...
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu...
Heshima kwenu wanajamvi,
Baada ya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti Mheshimiwa Lissu atakuwa mwanachama wa kawaida kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Lissu atatakuwa kuhudhuria vikao vya Tawi na si vinginevyo.
Mapovu ruksa lakini ukweli utabakia ukweli Lissu hana nafasi ya kushinda.
Kampeni...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Didoma, ametoa tahadhari kwa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kuacha kulalamika pindi mmoja wao atakapochaguliwa kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 21, 2025.
Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura.
CHADEMA...
Wengi watachafukwa sana dhidi ya mchakato wa uchaguzi utakavyokua unaendeshwa, na zaidi sana watavurugwa zaidi na matokeo ya uchaguzi huo ambao ni wazi utagubigwa na vurugu, fujo na songombingo za kabokamchizi kama zote.
Baadhi ya viongozi waaandamizi wa CHADEMA Taifa watapokelewa kesho kwenye...
Wakuu Chama Kikuu cha Upinzani kinaendelea Kupoteza Credibility yake Na Reputation yake kiliyo ijenga Kwa zaidi ya Miaka 30, Just within three months tumeshuhudia Mambo ya Ovyo sana yakisemwa juu ya Chama Hichi ambacho Tuliamini wakati fulani Kinaweza Kushika Hatamu za Uongozi nchi Hii,
Kwa...
Kwa taarifa ya katibu mkuu wa CHADEMA, ni wazi kuwa Press ya leo ya ndugu Wenje ililenga kulaghai wanachama na wajumbe kwa lengo la kujipatia kura.
Je, alitumwa na nani kufanya hivyo? Je, amewafanya wajumbe kuwa wajinga kiasi hicho? Kwa taarifa ya Mh. Mnyika ni wazi kuwa hata mambo mengine...
Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa.
Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu.
Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje kaamua kutumia Uongo mwingi akidhani anafanya damage.
Msigwa na wengine walofukuzwa Kwa Hila...
Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya.
======
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika...
Wajumbe wa CHADEMA tafadhilini tunataka mchague Mtanzania sio diaspora wiki yuko Tanzania miezi 6 yuko Ubelgiji kura apewe Mbowe
Mbowe muda wote yuko Tanzania madhila yote yake
Itendeeni haki nchi yenu na Chadema
Lisu ana tabia tu ya kuja kipindi cha chaguzi na hizo chaguzi lazima ziwe...
Msithubutu kabisa kumchagua Freeman Aikael Mbowe kwani mtakuwa mmetangaza hadharani ushirika wenu na ccm kwa njia moja au nyingine.
Freeman Aikael Mbowe anapaswa kupingwa kila mahali na watu wote wenye mapenzi mema na uhai wa demokrasia ya kweli nchini.
Freeman Mbowe hata lugha zake tu zina...
Siasa za Bongo ni ngumu sana, Moja ya watu ambao Mh Mbowe aliwapenda sana ni Mh Lema hata kimpakia kwenye Elikopita kwenye ziara mbali mbali za kukijenga chama.
Mh Mbowe kwa mapenzi yake alikuwa akimwanda Lema kwa kumjulisha mara kwa mara yakuwa amechoka anaitaji kupumzika lakini lakini Lema...
Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau
1. Wanataka waendelee kuiba kura
2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini
3. Wanaogopa ushindani
4. Hawataki katiba mpya
5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo...
Imekuaje vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havirushi habari za viongozi wakubwa wa CHADEMA sasa ghafla vimekuwa havikauki kuwahoji viongozi waandamazi wa CHADEMA na havikosekani katika press conferences za Lissu, Mbowe, Mnyika, Lema na viongozi wengine wengi wa CHADEMA?!
Miezi kadhaa hapo...
FREEMAN AIKAEL MBOWE
(Borntown)
Ana huruma kiasi,anasikiliza shida za wanachama wake,ila hapendi mtu mwerevu kupita kiasi,yaani usivuke mipaka.mtaji wake ni wanachama Waandamizi yaani aliowasaidia shida mbalimbali hawa anaamini watamvusha na wao wamemuhakikishia hilo
Anajisikia vibaya kuiacha...
Salamu kwako Mzee wangu Freeman Mbowe a.k.a FAM.
Ni Matumaini yangu u heri wa Afya.
Dhumuni la Waraka huu ni kukuelezea Yafuatayo / bucketed
1. Inawezekana kabisa una Ushawishi Mkubwa ndani ya Kamati Kuu ya CHADEMA hence wakakupigia Kura nyingi na kuwa Mwenyekiti.
2. CHADEMA kilishavuka stage...
Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na...
Bado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya mambo haya umekamilika.
Hofu kubwa imetanda kwenye kambi yake na wanasheria wamejipanga vilivyo...
Mimi siyo mwanasiasa!
Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO!
Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu!
Ndipo nikakumbuka moja utafti wangu nilioufanya kipindi niko nachunga ng'ombe huko Hanang...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.