Habari Wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni.
Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya...
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.
Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha...
I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu.
Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni.
Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo...
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu A.M. Lissu amesema kuwa ana hofu kubwa juu ya mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika juma lijalo.
Lissu ameyasema hayo katika kipindi cha runinga cha Crown Media kijulikanacho kama Kasri la Kikeke kilichoongozwa na...
Nimejaribu tu kuwaza, hizi sarakasi za Mbowe na Lissu pamoja na team zao, sio mpango kazi wa ndani kuchukua attention kutoka kwa wananchi?, kwa yanayoendelea sio rahisi.
Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti
Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa
Mtu yeyote mwenye hela hata za mihadarati au kibaraka wa watu waovu wanaweza wakapewa Kwa sababu ya kuwa...
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
Kuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani.
Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona body language yake, inazungumza kuwa endqpo Lissu atashinda kuna uwezekano mkubwa wa kurudi CHADEMA...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa kuhakikisha wanamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa chama hicho.
Wamedai kuwa Mwenyekiti wa sasa...
==
Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu,
Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema...
Yani mpaka rahaaa
Tundu Lissu anamwaga dhahaabu, Dk silaaaa anaharibuuu kabisaa
Kulee Lemaa anashtua taifa na wake zao 19 WA wakubwaaa
Yaani natamani kuonana uchaguzi inajirudia kila Mwaka
Naamini. KUNA Siri nyingi sana watuu wamezivumilia ndani ya chama sasa wameamua kumwaga ya moyoni...
Sijui katiba inasemaje imenshtuaa
Leo wakati Odemba WA Star tv anahoji aliuliza swali WAKILI na baadhi ya wanachama kwenye mdahalo
Vipi Mbowe MH akishindwa Itakuwaje?
MMOJA akajibu atabaki kuwa MJUMBE WA kamati kuu
Alipoulizwa vipi kuhusu Tundu Lissu akishindwa akajibiwa atabaki kuwa...
Historians wanalijua hili.
The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU.
Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.
Kwa hotuba hii ya John Pambalu:
Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
"Pesa kitu gani?"
Kwamba, pesa makaratasi!
Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
Kwa sasa nchi ilipofika bila KATIBA MPYA, ni tunapoteza muda.
Huu sio wakati wa kuongoza nchi kwa busara za wazee ambao wengi wao ni marehemu.
Ni muda sahihi wa REFORM ya katiba na katika hili hatuhitaji busara bali katiba mpya !
Mtu pekee atakaeweza kusimamia mapambano ya Katiba mpya ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?
Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi...
Sababu zetu ni zile zile.
1. Hatujui kwanini unagombea awamu hii. Huna ilani wala vipaumbele! Tutakupima vipi?
2. Umeishiwa mbinu na hilo linaonekana waziwazi kwenye muelekeo wa wanachama.
3. Huna tena ushawishi ukilinganisha na wengine.
4. Una harufu ya kuhongwa na CCM. Unaonekana pasipo...
Kamati Kuu ya CHADEMA kupitia ofisi ya Katibu Mkuu imetangaza Majina ya watu wanaoaminika sana miongoni mwa wengi, ambao wameteuliwa kusimamia Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Kumbuka kwamba hawa waliochaguliwa ni watu ambao uadilifu wao hautiliwi mashaka na yeyote...
Katika hali isiyotarajiwa waandishi wa habari na wadau wengine wanaotajwa kutohusika moja kwa moja na uchaguzi, wameondoshwa kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kwa sasa wanaostahili kubali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.