Uchaguzi is a joint initiative spearheaded by Ushahidi in 2010 to monitor the Kenyan constitutional referendum. Ushahidi collaborated with the Hivos Foundation, the Constitution and Reform Education Consortium (CRECO), INFONET, and the Canadian International Development Agency (CIDA) to develop an ICT platform, which enables citizens, the civil society, election observers, law enforcement agencies and humanitarian response agencies to monitor election incidents of significance using any technology at their disposal.
The initiative has since successfully been implemented in the 2010 Tanzanian general elections, the 2011 Zambian general elections and in the 2013 Kenyan general elections.
Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) limeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 13, 2026, likisema hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo.
Katika taarifa yao ya kichungaji yenye kichwa “Peace sown by...
Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi na kupata muhula wa pili wa miaka mitano, baada ya kupata asilimia 61.4 ya kura dhidi ya asilimia 38 alizopata mpinzani wake mkuu, Brian Mundubile. Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemtangaza...
Wanapeleka wizi wa kura kwenye taifa la Kikristo, Wanatumia mbinu za Tanzania.👇
"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia si Tanzania, Zambia si Tanzania… Hii ni Zambia. Wale wanaofikiri wanaweza kuingiza katika nchi hii...
Mgombea Urais wa Upinzani, Brian Mundubile kutokea chama cha National Reconciliation Party for Unity and Prosperity’s (NRPUP), amesema kuwa chama tawala cha Rais anayemaliza muda wake, hakiwezi kupata ushindi, huku akisisitiza kuwa Zambia haiwezi kuwa kama Tanzania, akiwataka watanzania...
Zambia imesitisha zoezi la kuhesabu kura kote nchini leo Ijumaa kufuatia ripoti za vurugu katika baadhi ya maeneo. Afisa mkuu wa uchaguzi Brown Kasaro amesema "Ghasia hizo zinawalenga wafanyakazi wa uchaguzi, na katika baadhi ya matukio zimesababisha wizi wa karatasi za kura kwenye masanduku ya...
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Zambia (ECZ), kesho Agosti 13, Wananchi Milioni 8, 786, 300 wa Zambia wanatarajia kushiriki katika moja ya haki yao muhimu zaidi katika demokrasia, haki ya kuwachagua viongozi wao watakaowakilisha katika Bunge na Rais wa nchi, watakaodumu kwa muhula wa miaka...
Wazambia wanatarajiwa kupiga kura August 13 katika uchaguzi mkuu wa urais unaotajwa kuwa kipimo kikubwa cha mageuzi ya kiuchumi ya serikali iliyopo madarakani dhidi ya ugumu wa maisha unaowakabili raia wa kawaida.
Rais Hakainde Hichilema (UPND), aliyeingia madarakani mwaka 2021 na kusifiwa na...