uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
  2. T

    Pre GE2025 Wanachedema walia na yanayofanyika ndani ya Chadema, wadai hayatofautiani na yaliyofanywa na TAMISEMI kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mara baada ya Twaha Mwaipaya aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu Chadema na aliyekuwa mwenezi wa Bavicha katika uongozi uliopita kuenguliwa katika kinyang'anyiro hiko wanachedema mbalimbali kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wameeleza hisia zao. Kupata taarifa na matukio...
  3. Tetesi: Kambi ya Lissu ikiongozwa na Lema na genge lake yajipanga kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa baada ya kugundua kushindwa vibaya

    Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki, Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
  4. Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  5. T

    Uchaguzi kwa sasa duniani ni sanaa ya wana usalama wa Tz tuna shangaa nini?

    Najuwa wengi wamesha chafuka mavumbi najuwa wengi watapiga bia nyingi majumbani mwao nakulala maana kile kimetokea kule dodoma kimewavuruga woote. Sitaki saana kuwandika ila wakati wote intelligence huwanda sanaa na michezo ya sarakasi kuwavuruga kuanzia watawala na watawaliwa. Yes ni michezo...
  6. Unadhani ni kwanini Godbless Lema na wanaomuunga mkono tundu lisu wana hali ya kuchanganyikiwa na kuweweseka kuelekea uchaguzi wa chadema jan.21.2025?

    Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa...
  7. Pre GE2025 Taarifa za Kiintelijensia ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Za ndani kabisa imefichuka kuwa Kuna Kila Dalili ya makundi matatu yenye nguvu kuungana na kupinga mwenyekiti aliyepo madarakani kugombea URAIS tena 2025. Lengo lao ni kuvunja matabaka na tofauti zao na kumsimamisha mtu mmoja ambaye ni mgeni ndani ya chama. Na hili Ili litokee wameandaa watu...
  8. ASKOFU Mwamakula atia neno kuhusu kuchaguliwa kwa Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa. Inawezekana kabisa kuwa Wasira atakuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kushika nafasi ya juu ndani...
  9. C

    Walichokifanya CCM Mkutano Mkuu ni uchaguzi, Uteuzi au kuthibitisha Uteuzi? Hivi hiki kilichofanyika

    Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ? Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini? Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
  10. F

    CHADEMA katika Uchaguzi wao huu wa ndani hasa ktk ngazi ya Taifa kimedhihirisha hakifundi Viongozi!

    Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha. Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za...
  11. Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA

    Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba, mwenyekiti wa chama hicho, yamekuwa pigo kubwa kwa Tundu Lissu na...
  12. Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  13. Nani aliwaleta polisi katika uchaguzi wa BAWACHA

    Miaka yote tumwona na kusikia CHADEMA ikipiga kelele dhidi ya serikali kutumia polisi kwenye chaguzi mbalimbali za Taifa letu. Fafanuzi mbalimbali kutoka kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA namna chaguzi za kitaifa zinavyovurugwa na jeshi hili lililojaa makamanda wasio na utu yaani wajaa laana...
  14. Napendekeza Nape na Makamba waongezwe kwenye timu ya wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA

    Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura. CHADEMA...
  15. B

    Ukweli mchungu, "Nchi nzima itasimama leo kufuatilia Mdahalo, uchaguzi mkuu Chadema." Hasubiri mtu kusimuliwa!

    Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu: Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao. Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
  16. Pre GE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  17. F

    Nimefurahishwa sana na Uchaguzi wa BAWACHA Taifa

    Nimefurahishwa sana na uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha. Kwa kweli unaonyesha ukomavu wa Baraza hilo maana wagombea wote wanastahili hiyo nafasi. Baada ya uchafuzi unaoendelea katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hawa wakina mama wanaleta matumaini. Amandla...
  18. D

    Kuna jambo silielewi uchaguzi huu wa CHADEMA

    Haki ya Kugombea imetolewa kwa Kila aliye na nia. Nafasi ya uenyekiti kwa mfano, Kila aliyeweka nia amepewa fomu na atagombea kutafuta kura za wanachama. Sasa hili shinikizo la Mbowe jitoe, Mbowe hutoshi, Mbowe hutakiwi, Mbowe muachie Fulani LINATOKA WAPI? Kama wote wamegombea, na maamuzi ni...
  19. Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa. Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu mpaka kufikia hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 Ambapo hadi mwaka 2024 Eneo la umwagiliaji...
  20. Iwapo Lissu atashinda Uchaguzi, Makao Makuu ya CHADEMA yatahamishiwa Ubelgiji?

    Utangulizi Katika kipindi ambacho Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi, mawazo na hisia mbalimbali zinatawala miongoni mwa wafuasi wa vyama vya siasa. Miongoni mwa wagombea wanaotajwa kuwa na nafasi kubwa ya kushinda ni Freeman Mbowe na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…