Habari wadau poleni sana na msiba wa jemedari Hayati Magufuli.
Leo nimeamua kuwaletea simulizi ya kweli inayoitwa "jinsi teseka miaka mingi na kunusurika kufa baada ya kurogezewa uchawi wa bundi".
Kwanza niwaombe samahani kwa mwandiko mbaya maana simulizi hii ninapoanza kuiandika inaweza...
SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio...
MAMA USINIFUNDISHE UCHAWI.
SEHEMU YA KWANZA
“Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Kibaoni, na kijiji cha Maharaka. Anga yote ilikuwa imetanda kuashiria mvua saa yoyote inanyesha. Hali ya hewa si shwari baridi lilikuwa kali kupita maelezo. Ardhi baada ya muda ukali wa jua...
Huu ndo Uchawi Mkubwa wa Simba. Duniani hamna Siri. Mpira ni mchezo wa wazi unachezwa kwenye Mwanga. Tumeona kilichotokea. Hapa Simba wamemchukua kimazingara Messi na kumpa ngozi na nywele nyeusi. Wakambadilisha na jina. Huu uchezaji si wa kawaida kwa huyu bwana mdogo.
Mpira wety unaelekea...
Mambo vipi wana Jf. Natumai wote mko poa.
Moja kwa moja kwenye mada. Kwenye pitapita zangu kama mnavonijua mimi ndugu yenu nimekutana na jambo moja geni sana kwenye masikio yangu.
Hivi mshawahi kusikia kuhusu uchawi wa kutumia bendera? Yani bendera hizi hizi mfano ya 🇹🇿 Mostly zinazotundikwa...
HEDGES WITCH
Wachawi wa Hedge, au Hedges kwa kifupi, ni Wachawi ambao hufanya uchawi bila kuwa na elimu rasmi katika shule za Kichawi labda kwa lugha rahisi tuseme wachawi wa kienyeji
Kwa sehemu za nje(nchi za mbele au nchi ambazo kuna shule maalumu za uchawi aina hii ya uchawi wa hedges...
" Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison...
Wakuu; Jumapii ya leo imenoga
Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto...
Vitabu shuleni tuliaminishww kuwa Kinjekitile alifanya vile ili kuwapa wanajeshi moyo wa kupigana. Mi natilia shaka hili jambo. Limepotoshwa tu kumfichia aibu yule mzee. Kwa jinsi tunavyoamini ushirikina naona kuwa Kinjekitile aliamini dawa yake itafanya kazi.
Hadi leo watu wanajikinga kwa...
Habari zenu wakuu.
Moja kwa moja naomba niende moja moja kwenye mada.
Naomba kuuliza hivi wazungu nao hurogana katika small scale yani man to man? Diasporas naomba mtusaidie hili.
Habari zao za Ushirikiana tunazozile kubwa kubwa kama Freemason, Blue Order nk.
Maana kinachoonekana nikuwa...
Habari,
Aise mimi kuna mahali nafanya kazi ila sasa kuna mtu nafanya nae kazi ananiambia we kaa hivyo hivyo usihangaike. Sasa huyo anaenimbia hivyo ni mtu alikuwa kitengo kingine akahamishwa akapelekwa kingine chenye nafuu kidogo
Halafu sasa ananiambia kashapewa barua ya kuongezewa mshahara...
Muwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea,
Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Aliedhuriwa na haya mambo kumbishia ni sawa na...
04.11.2020, Saa nne usiku:
Kwani uchaguzi si umeisha?
Kwani ushindi wa ‘kishindo’ si tayari?
Kwani ‘watu wengi’ si wanawakubali?
Kwani maandamano si yameshadhibitiwa kwa nguvu kubwa?
Sasa nini sababu ya kuendelea kuminya minya mitandao ya kijamii na ‘kutupimia kwenye vijiko’?
Hivi wanajua...
Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana.
1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi kumuuliza akasema huwa anaiuza.
2.Mwingine anasema eti radi ikipiga sehemu huwa inataga yai . Basi...
Nimeskia huu msemo kwenye mwimbo wa professa j...
Zali la mentally, rejea ukauskilize...
Sasa nataka nijue je huu msemo (uchawi hauendi kwa mentally) unamaanisha nini?
Cc Mshana Jr
Yani jamaa anakuroga usahau au uwe unahairisha kila ukitaka kuchukua hatua.
Nilikutana na mganga flani akawa ananipa story yaani hata kama mtu anakesi ya kuua anaweza kumfanya hata Mahakama au ndugu wanaomshtaki wasifuatilie kesi.
Nimesikia kuna maeneo pwani ukilima Shamba ukikaribia kuvuna...
Katika masuala ambayo uchawi una ishi na kutawala basi ni suala la mapenzi. Asilimia kubwa ya watu wanao enda kwa waganga, huenda huko kwa sababu ya mapenzi au kwa sababu ya mambo yanayo sababishwa na mapenzi.
Uchawi wa mapenzi upo wa aina nyingi sana. Nikisema nianze kutaja na kuelezea kwa...
PROPAGANDA ZA UCHAWI NA USHIRIKINA.
Na, Robert Heriel
Je, uliwahi kuuona uchawi kwa macho?
Je, uliwahi kupatwa na uchawi? Ulijuaje huo ni uchawi?
Je, uliwahi kumuona ndugu yako au jirani aliyelogwa?
Je, ulijuaje amelogwa?
Je, uliwahi kusikia habari za uchawi?
Je, ulijuaje huo ni uchawi pale...
Nimeamini uchawi wa mahusiano ni pesa.
Yaani ukiwa nazo, utabembelezwa kama mtoto mchanga; ila ukiishiwa usishangae mpenzi wako kukuita majina ya ajabu ajabu kama vile, wee mbuzi, mbwa, paka n.k
Tutafute vyanzo vya pesa wakuu, tule mema ya dunia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.