Wachawi wanaporoga sio lazima wakutumie majini ama mapepo.
Wanaweza kukuloga kwa laana za kichawi, ama kukulisha uchafu nk
Je, ni kwa wakati gani wachawi wanalazimika kutumia majini kumloga mtu?
Kwanini watumie jini na sio uchawi wa kawaida?
cc Mshana Jr
Rakims
Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya.
Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo.
TUKIO LA KWANZA (1):
Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki...
Do you believe In Witchcraft? Share you Experiences
Wasalaam,
Years ago in life movements, huko Songea katika harakati za msaka tonge, kama ilivyo silka ya Mwanaume kula kwa kutafuta Japo hata Tunda huliwa kimasihara lakini hutafutwa.
Binafsi yangu sijawahi kukumbana na Kioja chochote wala...
Habarini wakuu,
Mada tajwa hapo juu inajieleza.
Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa.
Pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi...
Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia kusonga mbele, tunajenga chuki, uadui na moyo wa kulipiza kisasi kwa kuwadhania wengine ndio vyanzo vya...
CODE ZA UCHAWI NA MIUJIZA, FAHAMU HAYA MACHACHE.
Na, Robert Heriel.
uchawi ni nguvu za Giza zinazotenda kinyume na akili ya mwanadamu.
Miujiza ni nguvu za Nuru zinazotenda kinyume na akili ya mwanadamu.
Ili Jambo liitwe uchawi au muujiza lazima liende kinyume na akili ya mwanadamu, liende...
Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao.
Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao hayafanyi kazi.
Ila kwa kukosa mikakati sahihi, watapigwa mapema asubuhi na kuaga mashindano.
Habari JF.
Kwenye jamii zetu kuna changamoto nyingi sana ikiwemo uchawi . Kama vitabu Vingi vitakatifu vinavyosema uchawi upo.
Direct kwenye mada nakumbuka way back nipo form 3 , huku kijijini kwetu nilikuwa naumwa sana kiasi ambacho nilikuwa siwezi kusoma kabisa.
Hali hii iliendelea kwa muda...
Huwa nacheka sana baadhi ya watu wakipinga kwa nguvu zote kuwa hakuna uchawi. Hawa hawajatembea wakajionea kwa macho yao na kushuhudia live kabisa, SIO KUSIMULIWA.
Last week kuna picha ilitrend mitandaoni ikionesha gari la Landcruiser pickup likiwa limekita pua juu ya paa la nyumba ya udongo na...
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?
Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika...
Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba Wachezaji wa Kaizer Chiefs FC Usiku hawakulala Mbezi Beach bali wamelala Ubalozini Kwao na kule Hotelini Mbezi Beach wamebaki wale wasiocheza leo.
Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba kuna aliyekuwa Kiongozi Mmoja wa Simba SC (sasa yupo Yanga SC) kwa...
Muda unasonga sana magoli yanakaribia kujaa kikapu.Wengi wanasema Kaizer waliloga kwao hivyo Simba lazima walipize kwa Mkapa.Msemaji wao ameenda mbali zaidi na kusema kesho mtu anakula mkono as is atacheza. Baada ya kipigo kikali wanasimba wote na viongozi wao wameelekeza nguvu zao kwa masangoma...
Kuna Watu niliambiwa kuwa wakilitaka lao wanajua kulipata kwa 'Kuroga' vibaya tena kwa 'Kufuru' kabisa nikawa siamini, ila kwa nilichokiona na Kukisikia kuna Mtu aliwacheka Watu Kidharau akiwa ' Benchini ' huenda Kesho akanuna na hata Kulia hadi Kuzimia na hata Kufa pia.
Wewe zitengwe Milioni...
Dunia ina mambo Mengi sana na mengine usiyoyajua
Nikiwa Maeneo hayo ya kilombero Niliwahi kuona uchawi ambao sitasahau.
Kuna kijana mmoja aliombwa aangue nazi kutoka kwenye mnanzi wa mzee fulani, Jamaa akavaa kamba miguuni akapanda akashusha nazi za kutosha.
Wakati anaendelea na hararakati...
Humu mitandaoni watu wanapigwa sana. Kuna madalali humu wamejaa shuhuda za kutunga na zinavutia sana!
Kama kungekuwa na huu ushirikina wa kumfanya mtu akulipe mahakama kusingefurika kesi za madai. Ama mahakama zetu zingekuwa na afueni kubwa sana.
Sikiliza nikwambie kuna uchawi moderate tu tena...
Wakuu, hii ni habari ya kweli kabisa. Hivi majuzi niienda mji fulani nikakutana na kisa cha ajabu sana. Baada ya kufika katika mji huo mwenyeji wangu alinipokea na kunikaribisha kwake. Baada ya kufika kwake nikatambua kuwa anaishi katika vyumba viwili katika nyumba ya kupanga.
Tulipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.