Maisha ya bindamu yamebakia kuwa siri na kama ilivyo matendo ya kibinadamu mengine hufanywa kwenye ulimwengu ambao sisi binadamu wengine hatuuwezi kuona kwa macho ya kawaida ila wapo baadhi ambao wanaidiwa na majini pamoja na wengine nguvu zao za asili walizobarikiwa.
UCHAWI ni imani ya...
Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Hakuna asiependa pesa (Hapo sasa nimekuwa semaji la binadamu wote), na kama yupo basi ana raha sana. Tutakubaliana pia, hakuna asiependa njia za mkato (shortcuts) za kurahisisha mambo. Njia mojawapo ya mkato ni kutumia uchawi kupata kile unachokitaka.... nimekua katika jamii ambayo inaamini ili...
Hello JF
Hii habari imenichekesha sana
----
Waziri wa Maji, Jumaa_Aweso ameeleza kupitia alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji Vijijini moja ya kituko alichokutana nacho kwenye kijiji kimoja alipomuuliza mkandarasi sababu ya maji kutokuwepo kwenye kijiji hicho licha ya kujengwa tank...
1. Kwa Simba SC anaziacha Alama 3
2. Kwa Namungo FC anaziacha Alama 3
3. Kwa Azam FC anaziacha Alama 3
4. Kwa Mbeya City FC anaziacha Alama 2
5. Kwa Biashara United FC anaziacha Alama 2
6. Kwa Coastal Union FC anaziacha Alama 2
7. Kwa Polisi Tanzania anaziacha Alama 2
Na katika ASFC dhidi...
Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora.
Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana...
Katika maisha ya biashara na Ujasiriamali hakuna kitu kizuri kama ukiwa na uhakika wa wateja kila siku, kuna furaha flani amaizing sana isiyoweza simulika.
Mtu ana simu ya ofisi ipo busy kila wakati,wateja wanapga kuuliza bidhaa zimefika au zipo au lah,raha sana ukiwa mfanyabiashara halafu...
Ndugu zangu mshawahi kujiuliza kwanini uchawi hautumiki kwenye uwanja wa medani (vitani), nadhani kuna vitu vingi tumeshuhudia vya kichawi ambavyo ki uhalisia au ki fikra za kawaida tu vinaweza kuwekwa kwenye vita na vikafanya kazi..
Lakini cha ajabu Uchawi hautumiki kabisaaa ani tena nasikia...
Habari za usiku huu wana jamvi. Kama bandiko linavyojieleza, Uchawi upo na matukio ya kichawi baadhi yetu tumekuwa tukiyashuhudia.
Swali langi je, kuna uganga wa kweli katika kutibu uchawi?
Au kumnyoosha anae kutendea visivyo?
Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana.
Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali.
Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini.
Leo hii...
Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi
Sifa
Awe mwanamke
Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza)
Awe ndani ya Dar es Salaam
Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+
Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi
Hit my inbox
Wazungu ni watu wabaya sana, kumbe tambiko ni ibada kama nyingine na mnyama anayechinjwa anatolewa sadaka na analiwa na wote.
Tambiko lilianza kwa kumuweka ng'ombe kwenye matawi ya mti wa Ululambuli, kisha akachinjwa. Alipochinjwa akachunwa ngozi, akatolewa nyama za kifuani, zikatengenezwa...
Sina nia ya kudanganya chochote ila kupitia kisa changu cha ukweli kilichonikuta mimi mwenyewe jaribu kuzijua nyendo na tabia za mwanao asije kuharibika ama kuharibiwa.
Nilianza elimu ya msingi miaka ya 80 katikati ila nilianza kwa kuchelewa kwani kijiji chetu na vijiji jirani havikuwa na...
This article doesn’t mean to spoil any country or nation put to prove the existence of witch craft in African.
According to research,there are 55 countries in Africa but not all could be found with witchcraft.
We must know that the Witchcraft in Africa countries is different from that in other...
Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao.
Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze...
Habarini za humu JF,
Mimi ni kijana wa umri miaka 27. Ninafanya kazi katika company flani hivi. Nataka niulize je hii ni dalili ya kuwa mchawi au lah?
Kutokana na katabia ka kuona wivu maendele ya watu naumia moyoni na ninakuwa na mawazo pia. Leo kuna mtu ninafanya nae kazi kaniambia anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.