Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini.
Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba kutumia ndumba. Tufike mahali tuache mpira uchezwe, hizi kamati za ufundi hazitusaidii kwa lolote...
Habari ndugu zangu Mimi si mwandishi mzuri Ila naamini itasomeka tu. Kama kichwa cha habari hapo juu kisemavyo, Kiuhalisia kabisa hapo mwanzo ilikua ni jambo la kawaida sana kusikia mzee fulani anatisha sio wa kumpinga au kumchokoza leo mambo haya yamegeuka tena yamekua na madhara makubwa...
Sijataja mtu lakini nataka niwaambie kuwa, ukiachilia mbali uchawi wa vile vizee vyenu, mmekuwa mkibebwa sana na waamuzi na mmetumia sana pesa kuathiri wapinzani wenu nje ya uwanja.
Sasa nijuacho kwenye mechi za kimataifa maamuzi huwa thabiti na mtalalamika sana kwa jinsi mlivyozoea kubebwa...
Wanasheria nchini wamegawanyika kuhusu ulazima wa Tanzania kuendelea kuwa na sheria ya uchawi au la. Wakati wengine wakidai sheria hiyo haihitajiki katika zama hizi za sayansi na teknolojia, wengine wametaka iendelee kuwepo ili kudhibiti imani za kishirikina na kupunguza madhara yake. Katika...
Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina!
Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao.
Sasa hivi kuna majanga makuu matatu,
Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
Huu ni moja ya uchawi hatari sana, ni uchawi unaofanywa kwa malengo maalum na kwa muda maalum, kipapai ni kuzubaishwa au kuangamizwa na kudhurika kimwili na kiakili, kuna kipapai cha kumfanya hakimu kupindisha hukumu, kwa kifupi haya ni matukio ya kupumbaza akili na kuja kushtuka baadae mambo...
Siku zote uchawi hauwaminiki uwepo wake au nguvu yake ispokuwa kwa wale waliodhurika nao.
Mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo hadi kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana...
Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari walikuwa wanalitumia hapa Dar. Imagine mwenyewe.
Haya mambo nilidhani yapo Tanzania 🇹🇿 tu na nchi zetu, kumbe ni dunia nzima.
Watu hawataki ufanikiwe kwa namna yoyote, watakuroga kwa maneno yao ya kichawi.
Hata kama sio mchawi, ukisema tu, tutaona kama utafanikiwa, moja kwa moja unakuwa umeingia kwenye kundi la wachawi.
Nilikua nasikiliza wimbo wa Utaonaje by Billnass, nasikia humo ndani anatuhamasisha wasikilizaji wake kwa kusema
"Ukitaka kuroga nenda Pangani."
nimeishi Korogwe kwa Maji Marefu nimejionea uchawi wa kila aina. Ila kwa sasa Inaonekana huko pangani Tanga kuna mambo mazito.
Copy to Mshana Jr BIN...
Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Igunga, Ally Hemed amesema moja kati ya changamoto kubwa iliyojitokeza Wilayani humo kwa baadhi ya maeneo ni Makarani wa Sensa kukutana na vitendo vya kishirikina ambapo walipokuwa wakienda kwenye makazi au nyumba wanakutana na miti au vichaka badala...
Kwemah ndugu zangu?
Moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwanafunzi wa chuo Dodoma, muda kidogo kama miezi 4 iliyopita niliamia katika nyumba moja baada ya kushauriwa na mama mmoja mkazi wa eneo hilo aliyekuwa anasimamia hiyo nyumba ingawa siyo yake, nilikuwa pia namtumia katika kujenga hiyo...
Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo.
Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni jamaa mmoja wa shinyanga alikua akitoa ushuhuda , wa jinsi alivyomtumikia shetani kama mganga wa...
Kwa majina naitwa ramadhani selemani ramadhani ni kijana wa kitanzania. Leo nimependa kuzungumzia maswala ya imani ya kishirikina na uchawi zinavyo athiri maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Katika mchi kuna makabila mbalimbali zaidi ya 150 kila kabila lina utamaduni wake na imani zake. Katika...
Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi...
Jambo la 11:11 na maana yake
Je, mara nyingi unaona nambari 11:11 kwenye saa za kielektroniki, anwani au sehemu zingine na kujisikia furaha?
Wakati mwingine tunaona nambari zinazorudiwa au mfuatano wa nambari na kufikiria kuwa zina maana maalum kwetu.
Mawazo yangu juu ya mada hii katika...
Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri
Sasa ajaribu kinyago yoyote kumloga kama kombora halijamrudia apoooze mwili kabisa
Hatari sana unaambiwa the story goes back...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.