Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.
Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa...
Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine.
Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba...
Ilikuwa ni alhamisi wiki iliyopita nikiwa Mbeya uyole niliona kitu cha kushangaza. Leo nawaletea hapa.
Siku hiyo nikiwa stend uyole mbeya nikisubiri gari za kwenda Dar maarufu "hakuna kulala" nikiwa sina hili wala lile ghafla mama wa makamo kwa muonekano ni msafiri pia akawa analalamika...
Njia panda kila siku wanavunja nazi.
Watu wanafuga majini na kurogana kila kona.
Jiji limejaa husda na hii sababu wana maisha magumu.
Uchawi upo kila mahala ila Dar umezidi.
Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli.
Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine...
Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi,
Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi,
Naona watu wamesimama pembezoni...
Simba kila wakati imekuwa ikisajili wachezaji wazuri sana. Tatizo kuna wachezaji pale Simba hawataki kukubali kuwa muda wao umeisha. Kwa hiyo SIMBA walifnyikie kazi. Mnaweza kuona PHIRI alichofanyiwa banda kapombe.
Wanasimba tuamke hawa wazee waliopo SIMBA bocco mkude mikataba ikiisha wasepe...
Wandugu hiki sio kitu kigeni kwa nchi zetu za kiafrika watu hutafuta utajiri kwa namna yoyote Ile muhimu wafanikishe mambo Yao!
Bila Shaka umewahi kusikia kuhusu kafara ya biashara au jini wa biashara ..ambapo mtu ili ammiliki huyu jini wa biashara ni lazima afanye kafara
Zipo kafara nyingi...
Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini.
Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report.
Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali.
DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka.
Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na vijiji vya jirani vyote kuhusu usakataji wangu wa kabumbu. Kule, kabumbu (ligi) linapigwa sana baada...
Anaandika, Robert Heriel
Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete!
Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za Kitanzania alafu Baada ya muda ukija kuangalia unakuta elfu hamsini. Huo ni Uongo Mkubwa utakaoaminiwa na...
Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia kiwanda chake cha Magari cha Kiira Motors LTD, Mwaka 2018 ilianza rasmi kuzalisha mabasi yanayotumia...
Nimekataa uwapo wa uchawi na wachawi kati yetu. Tulionao ni wababaishaji na watu tunaowatuhumu kwa kuwasengenyasengenya tu. Wachawi kiukweli hawapo na bado ninawatafuta. Ninataka wajitokeze na nimesema kama kuna anayewajua awataje, atuitie au atuoneshe
Nisikilizeni vijana na wasomaji wangu. Ni...
Wakuu kwema?
Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu
Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online
Na kama kuna wizi...
Kwema!
Sitemi cheche nyingi wala, ukiachilia mbali vigezo vingine vya kufanya biashara kama bidhaa nzuri, customer care etc, ila uchawi nambari one ni LOCATION Pekee. (Physics inasema Location matters provided other variable factors remain constant) 👈👈👈 Hiyo ndiyo Business Law.
Huwa nashangaa...
Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu.
Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana
Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa kificho au kwa uwazi kabisa.
Wamejenga mazoea ya kutumia watu wanaoitwa waganga wa kienyejj ili...
Hi,
Watu wengi hapa Tanzania wanapenda uchawi mambo ya kulogana na wanaamini ivyo na wengi washaliwa hela zao nyingi na waganga wa Dar hakuna mganga bali kuna waganga njaa ambao watatoa utabili wa uongo.
Mtu kama anataka kufanikiwa afwate au zingatia sana ushauri wa kinyota kuijua siku yako ya...
Kuna watu ni wabishi sana kwamba haya mambo hayapo lakini utawakuta kanisani ama msikitini wakijinadi wao ni wakristo/waislam. Niseme tu kwamba hapa ni ishara ya moja kwa moja wapo kwenye dini kama kushabikia timu za mpira na wala hawajui elimu ya dini yao.
Mbaya zaidi hawanaga imani, maji...
1. Mwanga..
2. Mshirikina
3. Mlogo(mchawi)
• Mwanga_ huyu anawanga usiku (uyu ni msumbufu ila ana lengo la kukuloga sema atakusumbua usiku utolala atakufanyia mauza uza.Mpaka utakoma.
• Mshirikina- Huyu mshirikina (anaenda kwa mganga kutafuta dawa ili afanikishe jambo lake kwa kufosi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.