uchawi

  1. FRANCIS DA DON

    Ni mwaka wa tano sasa, sijwahi kusikia wala kuona mtu anaumwa malaria, uchawi gani huu?

    Miaka ya 2015 kurudi nyuma, binafsi ilikuwa haipiti mwaka sijumwa malaria, na haipiti wiki lazima nisikie habari za mtu wangu wa karibu au rafiki au jirani au ndugu wa mbali kaumwa malaria. Lakini toka 2015 kuja mbele hali imekuwa ya miujiza kabisa, sisikii wala kuona mtu anaumwa, si mimi wala...
  2. LIKUD

    Ni uchawi ama hisia! Mahusiano kati ya baba na binti yametamalaki Jijiji Dar es Salaam

    Kuna watu wanajiulizaga huko mitaani hivi hivi vibinti huwa vinabikiriwa na nani? Kademu tunakaona kuanzia kapo darasa la kwanza, kanamaliza Darasa la Saba kana miaka kumi na mbili au kumi na tatu dogo (15yrs) anakatokea kanamkubalia kanampa tunda, wanasanukiwa, kesi inafika Kwa wazazi...
  3. Determinantor

    Uchaguzi 2020 Vimbwanga Chaguzi za CCM: Baada ya Rushwa wahamia kwenye uchawi

    Chama dola kilichoshindwa kudhibiti rushwa hata kwa Wajumbe wake kimeibuka na mpango mkakati mpya wa kupata kura za Wajumbe kwa kutumia ndumba! Maelezo kamili haya haya kwenye attachment. Eti ndio CCM wanapiga kelele kudhibiti rushwa, wameshindwa rushwa wamehamia kwenye nyumba baada ya miaka...
  4. B

    Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Wadau, if you didn't believe uchawi is real, I've been a victim. What I've seen, and has been done to me by malicious people would anger any sane person. The good thing is that I got to realize who actually intended to hurt and destroy me. The problem ni how to replicate kitu nilifanyiwa. I'm...
  5. Mzukulu

    Mkiambiwa Uchawi (Ushirikina) Makao Makuu yake ni Barani Afrika muwe mnaelewa tafadhali

    Kirinyaga: 8 family members develop ‘strange illness’, sing loudly after stealing food. Kirinyaga: Watu Wanane wa Familia moja wamejikuta wakiugua Ugonjwa wa ajabu huku wakiimba kwa Sauti ya juu kabisa nyimbo mbalimbali za Wasanii tofauti tofauti barani Afrika na Marekani baada ya Kuiba Chakula...
  6. Roving Journalist

    Kinondoni, Dar: TAKUKURU inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Wilaya ya Kinondoni, inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa pamoja na kuanza kampeni za uchaguzi mkuu kabla ya muda.
  7. Sky Eclat

    Uchawi na nguvu za giza katika nchi za SADC pamoja na uwezo wa Mitume na Manabii

    Nilikutana na dada mmoja Mnigeria, katika maongezi nilimfahamisha kuwa mimi ninatoka Tanzania. Tulipozidi kuzoeana aliniambia kule kwenu kuna namba mbovu sana ya uchawi, nilimjibu kuliko nyinyi? Alisema sisi ni waropokaji tu lakini uchawi mnaujua nyinyi ila hamjitangazi. Alinipa hadith fupi...
  8. Baba Ndubwi

    Uchawi upo duniani na una nguvu kubwa,lakini aliyeumba vyote chini ya jua ndiye mwenye nguvu zaidi

    Wakuu naimani kwa pamoja tunaendelea kujikinga sisi na familia zetu dhidi ya COVID-19.Ni jukumu letu sote kujikinga,kuwakinga na kuwaelimisha wengine jinsi ya kujikinga. Moja kati ya visa vingi ambavyo nimewahi kukumbana navyo katika maisha ya kuteswa na kutaabishwa na wachawi kwa miaka zaidi...
  9. chuki

    Uchaguzi 2020 Bunda Mjini kumekucha viongozi wa CCM Wilaya waanza kushikana uchawi kwa sababu ya rushwa za Mwanza huduma

    "Mmoja amlima barua mwenzake ili makao makuu waingilie kati" barua imeambatanishwa. Hali inazidi kuwa tete Wilaya ya Bunda baada ya Viongozi wa CCM wilaya kushutumiana kula rushwa za Mtia Nia Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma. Viongozi hao wamefikia hatua mbaya ya kushutumiana na kuomba...
  10. hiram

    Ungekuwa mchawi ungechagua kipi?

    Hivi ungekuwa wewe ndiye MCHAWI uchague moja kati ya hivi: MOJA Ubuni teknolojia ya kufanya shamba lijilime, lijipalilie na lijivune PILI Ubuni teknolojia ya kufungua mlango wa mtu (ikiwemo wa geti) uingie chumbani umnyanyue bila huyo mtu kuamka ukamlimishe fasta fasta kisha umrudishe bila...
  11. LIKUD

    Ya Chid Benz, Tuhuma za Uchawi na marehemu Mzee Issa Ibn Sued

    Stay tuned. The whole story will come to you soon after " Aston Villa Vs Leicester City". Amkeni! Amkeni! Amkeni! Tumtazame Mbwana Samatta akifanya vitu vyake ndani ya Premier League. Halla Aston Villa
  12. LIKUD

    Tetesi: Chanzo cha beef kati ya Mr. Blue na Nyandu Tozi ni uchawi (Halal Badr ya Kihindi)

    Tetesi ambazo zimeenea mitaa ya Kinondoni na vitongoji vyake ni kwamba chanzo cha beef Kati ya Mr. Blue na Dogo Hamidu alias Nyandu Toz ni uchawi. Inasemekana Nyandu Toz kwa sababu anazo zijua mwenyewe alimsafiria Blue kwa waganga kwa lengo la kumsomea Halalu Badr maalumu ijulakanayo kama...
  13. Analogia Malenga

    Chuo kikuu India kufundisha madaktari masuala ya uchawi

    Chuo maarufu nchini India kimeanza kutoa kozi ya ngazi ya cheti kwa madaktari jinsi ya kutibu wagonjwa wanaopatwa mapepo au huyaona. kozi hiyo ya miezi sita katika chuo kikuu cha Banaras Hindu (BHU) kwa mji wa kaskazini wa Varasanasi, kozi hiyo itaanza mwezi Januari. Na pia kozi hiyo itakua...
  14. LIKUD

    Sababu za kiroho kwanini uganga na uchawi wake siku hizi hauna nguvu kama.ilivyo kuwa zamani.

    Kwenye kamusi yangu, neno mganga linatokana na neno "kuganga" yaani.kubahatisha..Kwa hiyo mganga NI mtu.anae bahatisha.bahatisha tu yani Hana uhakika na.kile anacho kifanya. So unapokuwa na tatizo serious halafu ukaenda kwa.mganga ili akusaidie Basi jua unapeleka shida yako kwa.mtu ambae Hana...
  15. GENTAMYCINE

    Tetesi kutoka kwa mmoja wa wanaKamati ya Ufundi/ Uchawi wa ''Jangwani FC'' zinasema ya hivi

    Kumbe ile ajali ya basi lile la mashabiki wa Yanga SC wakati wakiwa safarini kwenda Mwanza kulitakiwa wengi wao watangulie mbele ya haki ili ushindi uweze kupatikana jana, ila Mwenyezi Mungu hakutaka kukubaliana na huo ''Upopoma'' na badala yake ''akawaadhibu'' sasa kwa kufungwa. Kazi ipo...
  16. K

    Waganga/ Wachawi Congo waiombea nchi yao. Je, wana nguvu yoyote?

    Nilika naangalia kwenye youtube nikakutana na Video ambayo imegishangaza sana nikaona basi nishirikishe wana JF na kusikia maoni yao Na video yenyewe hii hapa Je? kuna nguvu yoyote ndani ya jitihada Zao?
  17. Mwiyuzi

    Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

    Enzi zile nasoma shule ya msingi kulikuwa na vijana waliokuwa wakija shule kwa ajili ya mazingombwe. Walikuwa wakifika shuleni mara kwa mara kwa ajili ya maonyesho hayo. Walikuwa wakipewa kibali na mwl mkuu/mwl wa michezo pamoja na kupewa darasa la kufanyia mazingambwe yao kama ukumbi. Pia...
Back
Top Bottom