uchawi

  1. Nyafwili

    Njombe: Wananchi Wagongwa Mihuri Kichawi Migongoni

    𝗪akazi wa wilaya ya ludewa mkoa wa njombe wamelalamika kugongwa 𝗠IHURI kimiujiza katika Maeneo ya mgongoni, huku wakielekeza tuhuma hizo kwa baadhi ya wazee wa kijiji cha kilima hewa. Wamelazimika kuitisha mkutano maalumu ili kujadili suala hilo ambapo wamesema, awali tatizo hilo liliripotiwa...
  2. GoldDhahabu

    Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  3. Manyanza

    Ufahamu uchawi

    Chakushangaza: #CHAKUSHANGAZA 📣📣📣📣📣📣📣 🗣️Wengi ukiwauliza uchawi ni nini watakuwa na tafsiri tofauti tofauti lakini hauna maana moja ya kuuelezea, 🫵uchawi umebeba maana nzima ya kuumbwa binadamu na ulimwengu kwa ujumla na ndio lango kuu linalotumika kuwaunganisha binadamu,mungu,majini,na hata...
  4. LIKUD

    USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  5. Kigoma Region Tanzania

    Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika tasnia ya uchawi

    Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza. Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na...
  6. Day 1 gongs

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO unaamini katika uchawi au utendaji kazi?

    Habari members, Huyu Mhandisi Nyamo-Hanga tangu amepokea kijiti toka kwa Maharage ameshindwa kuhaminisha umma wa Tanzania ya kwamba anafaa kuendelea kuikalia nafasi hiyo adhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa licha ya kupewa kipindi cha uangalizi cha miezi sita na Mh. Raisi Samia...
  7. Pang Fung Mi

    Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

    Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao. Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine. Ni hayo tu
  8. Majok majok

    Kweli uchawi upo kwenye mpira, awa Jwaneng walimfungaje Wydad? Licha ya kukutana pipa na mfuniko bado simba ni wale wale tofauti ni kocha tu!

    Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma! Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani! Mechi hii Simba alitakiwa ashinde...
  9. Leak

    Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  10. sky soldier

    Afrika ni uthibitisho kwamba Maendeleo yanategemea akili kuzidi uchawi, pamoja na ndumba zote hizi bado tupo nyuma sana

    Hasa kwa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara tulikojaa waafrika wenye skin tone nyeusi. Tena kuna makabila makubwa karibu kila familia ina mganga wake, hata hapa kwetu Tz lipo. Mambo mengi tunaamini ushirikina ndio suluhisho, mtu akiumwa anahisi karogwa, kwenye biashara mtu anaweka mikaa...
  11. KING MIDAS

    Nchi gani yenye uchawi mkali duniani?

    Kuna nchi ni mahiri duniani kwenye ulingo wa nguvu za giza. Licha ya kwamba Tanzania 🇹🇿 kuna maeneo na ngome konki kama Gamboshi, Pemba, Tanga, Sumbawanga, Nyamafuland nk lakini sisi si chochote wala lolote na uchawi wetu wa makaratasi. Huko kwingine kunatàjwa Haiti 🇭🇹, Santa Domingo, India...
  12. F

    Irone Dome - Uchawi wa mu-Israeli

    JF, Kuwekeza kwenye elimu na uvumbuzi ni kitu muhimu sana kwa Taifa lolote lile, leo hii katika mifumo dhabiti duniani ya kutunguaji makombola kama utayataja basi huwezi kuiacha The Irone Dome ya wa Israel. Mfumo huu imesaidia sana kuyatungua makombola zaidi ya 5,000 yaliyotumwa ndani ya...
  13. political monger senior

    Yanayojiri Lake Tanganyika; Mashujaa vs Azam FC. Uchawi watamalaki mnyama akichinjwa hadharani

    Kama aya ndio yanayoendelea uko Kigoma kwenye uwanja wa mashujaa niseme tu Azam FC leo kazi wanayo siyo kwa ushirikina huu[emoji15][emoji15].. SLOGAN YAO MPIRA KIDOGO UCHAWIMWINGI.
  14. mocoservices

    Ubaguzi, Uchawi na Ushirikina kikwazo cha maendeleo baadhi ya vijiji Tanzania

    Habari yako mwana jukwaa. Naandika uzi huu nikiwa Katikati ya Tanzania (kanda ya kati). Nimeishi hapa kwa miezi 4 sasa, kwa hiyo ninacho andika nina kifahamu vizuri kwa kushuhudia kwa macho yangu. Naishi kwenye mkoa wa 3 toka mwisho kwa umasikini nchini hapa, mkoa ambao elimu iko chini sana na...
  15. matunduizi

    Huu uchawi nilikuwa siujui hadi siku ya jumapili iliyopita

    Dunia inamengi. Kuna mshkaji wangu amefungua biashara mahala hapa jijini. Mambo yanaenda kasi na anafanikiwa kiasi kwamba aliowakuta wengine wanafikiria kufunga wengine wamepata presha kwa kuhofia hatma yao. Ghafla vita vikali vikaanza. Kama kawaida sisi watu wa dua huwa hatushindwi na...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

    Kazi unafanya lakini hutoboi Kusoma umesoma lakini huajiriwi Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless. Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi. Wachawi watu wabaya sana.
  17. Blender

    Uchawi vs akili

    Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa. Uchawi Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi. Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
  18. Kizibo

    Watalaamu wa uchawi, mitishamba na tiba asilia naombeni msaada wa kuelewa

    Heshima kwenu wakuu. Katika kutafuta maarifa huku na kule, nikapata RITUAL moja hivi kwenye website fulani. Hiyo ritual ina maelekezo katika vipengele 11. Katika hivyo vipengele 11 kuna ambavyo nashindwa kuelewa ndio nimekuja kuomba msaada kwenu watalaam wa mambo ya kiroho na watalaamu wa...
  19. Mhaya

    Shahada ya Uzamili ya Uchawi kutolewa chuoni Uingereza

    Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi. Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024...
  20. BARD AI

    Ushelisheli: Mtanzania awekwa Mahabusu akihusishwa kumsaidia Mpinzani kwenye masuala ya Uchawi

    Ni Patrick Herminie, kiongozi wa Chama cha United Seychelles ambaye ametajwa kuwa tishio kwa Rais Wavel Ramkalawan anayehifia kuondolewa Madarakani baada Herminie kuonesha nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Waendesha mashitaka wamesema jina la Herminie lilipatikana kwenye...
Back
Top Bottom