Gudmng
Tukamate hii kutoka kwa mwl Newton Gordian
“Ukweli ni kwamba mambo mengi tunayokwama na kushindwa kufanikiwa hayatokani na mapepo wala wachawi ila asilimia kubwa inatokana na kutokutii sauti ya Mungu na kutokufuata maagizo yake.
Kuna wakati wala wachawi hawahusiki wala mapepo ila ni...
Habari zenu wnanajamiii. Nimekuwa nikifikiri sana hivi kwanini dini zote zinatumia hofu kuhakisha uwepo wake?
Yaani ni hivi watu wanao amini kuwa Mungu yupo hawafanyi hivyo kwasababu wanapenda au wamechaguwa kuamini hivyo.
Wengi kama sio wote bila kujari dini zao wanaamini Mungu kwasababu...
Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza.
Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa kuwa mikoa/ Wilaya/ kata/ vijiji vyote tanzania vina Imani za Ushirikina/uchawi
Ndugu kama huo ndiyo ukweli kuwa Imani hizo za Ushirikina ziko maeneo yote nchini,
Swali langu kwanini baadhi ya Mikoa
imepiga hatua kubwa kimaendeleo na watu wake wamestawi...
Miaka ya 90 nilimpenda binti mmoja alinisumbua sana enzi hizo basi nakaona nimwendee kwa sheik wangu kunipa dawa ya kumvuta kuwa wangu bwana.
Nikaandikiwa makorokocho na dawa ya kupaka sehemu za siri.kweli bwana nikabahatika kumteka yule mtoto wa kike.
Uwezi amini yani mpaka leo ananisumbua...
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini...
Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
Mwanzoni wakati nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa siamini kabisa haya mambo lakini kadiri nilivyokuwa nakuwa ndio nikaanza kufahamu kuwa kweli uchawi upo, Na mtu akiamua kukuharibia au kukuchafua ndio imeisha hiyoo..uliishawahi kukutana Na mtu ambae Kila janga lazima yumo tena kwa babati mbaya...
tanzania ina watu wa ajabu sana . Yani ana matatizo kibao anawaza uchawi . List ya matatizo bodi ya ligi
1. Viwanja
2. Majukwaa
3. Wafadhili
4. 4k or hd coverage
5. App
6. Media coverage ya team zote
7. Match fixing
8.referees
9. Utilities.
10. Technology (var )
11. Laws on foreign players...
Swala la shetani na uchawi limepelekea watu kujipatia utajiri na mafanikio makubwa huku Africa.
Watu wamekuwa wakifanya mambo pasipo kutumia Akili na mwisho zigo la lawama wanamtupia shetani.
Ukianza kuhisi shetani anakuzuia kufanikiwa fahamu tu utapigwa hela muda sio mrefu.
Pia ukianza kuona...
Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani, michezo, sanaa, mziki, ajira, siasa, sokoni, madini, uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri.
Naeleza ili nilikuwa halmashauri moja yani swala la chai hakuna mtu anayetaka kupewa chai...
JE UNAJUA??
Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina??
Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina
Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa...
Muhimu: Nilipelekwa huko ikiwa ni siri ya mimi na ndugu yangu ambae alishafariki, sehem tuliyofikia siikumbuki wala sina mawasiliano yoyote ya huko.
Kuna kipindi mwaka 2014 niliamini nina mikosi na nuksi kwa kuonaa maisha yangu yana utata, ndugu yangu wa karibu niliekuwa nikimshirikisha kwenye...
Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1.
Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi.
Kigoma ina watu makini sana...
Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini?
Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini?
Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini?
Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.