Katika akili yangu sijawahi kuamini uwepo wa uchawi
Lakini kila nikijaribu kukumbuka baadhi ya matukio mbali mbali ambayo nimewahi kushuudia na kuona katika maisha yangu kunanifanya niwe na maswali mengi juu ya imani hii
Mwaka 2014 kuna brother fulani ambaye tulikuwa tunaishi naye village moja...
Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa.
Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili yangu.
Nianzie mwaka 2017 nilipojiunga na chuo kikuu maarufu sana hapa nchini. First year semester ya...
Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi.
Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
Habari zenu,
Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.
Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .
Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na...
Wakuu habari za usiku huu.Pasipokuchosha nijikite katika mada.Tuongeleapo uchawi twalenga matumizi ya madawa ama vitabu maalum(grimoires) ikihusisha manuizo na kudhuru watu wengine kimiujiza.
Tabia hii haukubaliki katika jamii nyingi,zipo jamii zilifanikiwa kukemea tabia hii kwa nguvu na hivyo...
Haki ya nani, utajiri una siri kubwa sana wakuu, imagine unapewa masharti ya aina hii, serious?
Kumbe hizi v8, harrier, prado, Toyota, jeep ndo zinapatikana kwa haya madudu?
Habari za Muda huu wanaJF,
Kuna kitu napenda kufahamu kuhusu UCHAWI WA MONDESTA. Origin yake niwapi na pia unatumia majini ya chuma ulete au?
Nauliza hivyo maana huku mtaani kwetu asilimia 70 ya kaya wamejiunga na hiyo kitu na wanaitangaza kabisaa wazi wazi na imekua kama fashion mitaani...
Moja kwa moja kwenye mada husika
Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikirishi zilikua...
Haya maisha bana, ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo.
Just imagine nina msala mahakamani halafu kila siku napigwa calender tu na wakati huo msala nimesababishiwa, yaani mimi ni ndo...
Ndugu zangu Watanzania,
Maneno hayo yamesemwa na Mwamba wa kaskazini Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.siku ya jana ya jumapili pale alipopewa nafasi ya kuzungumza na kusalimu katika kanisa la kiinjili la Kilutheli Tanzania Dayosisi ya kaskazini kati.katika...
Hapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi, kuvunjiwa nazi mlangoni, kuchinjiwa ndege sijui vyote hivi haviwapati kamwe.
Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina (Shiriki)
Kwanza unatakiwa ujue wakati Mungu anamuumba mtu hapa duniani haikuwa kazi yake au...
Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina (Shiriki)
Kwanza unatakiwa ujue wakati Mungu anamuumba mtu hapa duniani haikuwa kazi yake au...
Utasikia mtu au watu wanasema "uchawi wa mzungu huo"- hapa wanamaana ya mashine au aina Fulani ya teknolojia!.
Nianze taratibu kabla sijasema ninacho kuelewa.
Niruhusu mjadala kwanza Kisha baadaya ya kupata mitazamo ya watu na uelewa wa watu juu "kwani neno Uchawi kimewekewa hapa"? .
Karibu!
Naongea na wewe kaka tuliyekutana Katoro enzi za usichana wangu! Mbona ghafla sana? (GaFRA mno).
Nakujua vema ndani na nje, na tulipokutana ukaniahidi utaenda CHINA kupasuliwa kojoleo ili walinenepeshe kwa mbolea za kisasa.
Show zako zilikuwa za kitoto sana, nikikohoa inachomoka. Nilikuwa...
Huu msemo nineukuta kigoma hapa maeneno ya ujiji, nilienda kutembelea njia za watumwa, Livingstone n.k nimeambiwa story ya mzee mmoja aliekuaa anaitwa juma njemba huyu jamaa nasikia alikua noma gwijii, akikwambia leo jioni haifiki ujue umeenda hivyo wala hakuna mjadala, lakini alikua hakupi...
Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea...
Kipindi fulani, nikiwa ninafanyia shughuli zangu maeneo ya machimbo ya dhahabu, nilifahamiana na kijana mmoja kutoka mkoani Kigoma. Alikuwa anafanya vibarua machimboni.
Kuna wakati alinifuata kwa ajili ya kuniomba ushauri. Aliniambia kuwa alikuja machimboni kama njia ya kumtoroka babu yake...
with manara records of abuse. this the lowest yanga have gone.
bad decision by the board and members.
this is bad. we don't need uneducated fools in this modern era of football.
Making 10 steps forward and 8 steps back. Manara will tarnish the Yanga brand immediately he is outed. They...
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.
Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi
Nitaleta mrejesho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.