uchawi

  1. Jemima Mrembo

    Bila uchawi wa kurudisha basi reverse, Simba ingefungwa O-1O

    Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
  2. Son of Gamba

    Mpira wa miguu siyo uchawi, siyo porojo, wala siyo siasa bali ni Sayansi

    Wiki nzima timu ya Simba walilinda uwanja wa Taifa (Kwa Mkapa) kabla ya mechi yao na Raja Casablanca iliyofanyika jana jioni. Matokeo yake Simba wamechapwa mabao 3 kwa sufuri hapo hapo kwenye uwanja walioulinda kwa wiki nzima huku wakifanya ushirikina na imani za kishenzi za Kiswahili. Ifike...
  3. ChoiceVariable

    Katavi: Wanaume wamewasusia wanawake kushiriki mazishi ya watoto kutokana na imani za kishirikina

    Hamjambo? Wanaume wa kitongoji cha Namanyere kwenye mji mdogo wa Majimoto mkoa wa Katavi wamesusia wanawake kushiriki maziko ya watoto wanaofariki kwa madai kwamba vifo ni vya ushirikina unofanywa na wanawake. === Kwa utamaduni wa maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  4. Lycaon pictus

    Tukisema watu wanaamini uchawi sababu ya ujinga kuna watu wanabisha. Hebu soma kisa hiki uone jinsi walivyodili na magonjwa ya mlipuko

    Kupigana na maradhi mengine Ikiwa katika mji magonjwa yalizidi kwa watu mkubwa wa mji hupigisha ramli kusudi apate njia ya kuzuia magonjwa hayo yasizidi, pia apate kufahamu ni mambo gani yaletayo magonjwa mjini mwake. Mara nyingi waganga walikuwa wakiwaambia kuwa moto unaotumika mjini mwao...
  5. Masangutu

    Hivi Ulaya pia kuna wanga? Mlioishi ughaibuni mpite hapa

    Habari zenu wananzengo, natumai mnaendelea kupambana na mfumko wa bei?! Nisiwachoshe sana, nataka kujua hivi Ulaya pia kuna wanga kama huku kwetu? Hawa wanaorukia mabati na kukaba watu usiku, kifupi wanga nawachukia sana. Mlioishi ughaibuni naomba mpite hapa kutupa experience yenu juu ya...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Huu ni zaidi ya uchawi kwenye hii biashara ya huyu Ustadhi

    Twende kwenye mada direct! Kuna Ustadhi ana duka la samaki wabichi mtaa mmoja huku Dar. Kaweka vijana 2 wanauza. Sijui ni ndugu zake au ni wafanyakazi tu. Hili duka la samaki bei ni ya kawaida tu kama maduka mengine. Samaki wake na maduka mengine wapo pia. Cha ajabu anapanga foleni ya wateja...
  7. DR HAYA LAND

    Vijana huu ndo uchawi Uliopo Tanzania ebu kuwa makini.

    Baada ya kufanya utafiti , Nilichogundua ni kuwa Usipokuwa Makini unafungwa( Akili ) Na wakikufunga Akili basi Fahamu hapo wamekumaliza . Mimi nimejionea haya Mambo yaani uchawi huu Victim au muaathirika anakuwa hafahamu chochote. Na mara nyingi watu wa hivi hutumia Muda Mwingi kukosoa Maisha...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mke kwenda kujifungulia kijijini, huu ni uchawi

    Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna. Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la...
  9. DR SANTOS

    Mkasa: Jinsi nilivyofunzwa uchawi na mama yangu

    SEHEMU YA KWANZA. Nikiwa nimerudi kutoka shuleni nilikutana na mama nje ambaye alinambia tumepata mgeni ambaye atakua akitusaidia kazi za ndani yaani dada wa kazi, kutokana na uchovu na fimbo za siku hio hata sikua na hamu ya kutaka kujua zaidi kuhusu jambo hilo nilimjibu mama kwa kifupi...
  10. Crocodiletooth

    Utajiri unaohusisha mambo yoyote ya kishirikina ni ubinafsi na pigo kwa vizazi vyako

    "Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days! Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu...
  11. Ahmed Saidi

    Ambao hamuamini uchawi naomba mnieleze mambo haya hutokeaje?

    Habari wapendwa, Kwa tafsiri yangu ambayo sio rasmi, uchawi ni jambo ambalo huwezi kulielewa kwa akili ya kawaida lakini binadamu hulifanya jambo hilo na hata mtu anaelifanya huwenda hajui hutokea vipi. Jambo hili la uchawi pia haliwezi kuelezewa kisayansi kwasababu sio jambo linalofuata kanuni...
  12. Notorious thug

    Uchawi wa Yanga huu hapa mambo hadharani.!

    Naaam heri ya sikukuu za Krismasi na Maandalizi ya Mwaka Mpya 2023. Achana na mambo ya kulilia jezi nyeusi leo nakupa uchawi wa Yanga walioufanya kwa takribani mwaka mmoja Uchawi namba moja. AZIZ K -baada ya kuisumbua Simba walipokutana na Asec Mimosas...
  13. Reality of heaven

    Uchawi upo, wewe usiyeamini soma hapa

    Ripoti za roho Jumamosi, Februari 15, 2020 Peter Okandjo wa Kongo 1 Vita juu ya Watakatifu: Hadithi ya ndani ya aliyekuwa mchawi Sura ya Kwanza - Utangulizi Nataka niweke wazi kwamba ushuhuda huu hauhusu kumtukuza shetani. Ninashuhudia ili kuonyesha utukufu wa Mungu mbele ya Shetani. Nataka...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

    Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
  15. NetMaster

    Tunavyotoa msisitizo kwamba mbaki njia kuu ama kuchepuka kiakili muwe mnalewa, Huyu mwanamke karekodiwa akifanya limbwata

    Kama unajua kabisa mke wako katokea zile sehemu (zinajulikana) wanakosifika kwa mambo haya, tulia kwenye ndoa ufururahie utimamu wako, ukijidai mbishi na kuna akili za kuchepuka, akija kugundua unamwekea mazingira ya kumlazimisha akutulize. Kama ni michepuko usiparamie ovyo ovyo, piga research...
  16. Wakusoma 12

    Ama kweli uchawi upo, hivi kweli Kibu Denis ni wakupewa namba Simba?

    Nimekuwa nikifatilia namna ya uchezaji wa huyu bwana, hakika Hana uwezo wa kucheza hapo msimbazi. Jamaa ni mweupe mno kwenye maswala ya mpira na Kama siyo uchawi hakika hapati namba kwenye klabu yoyote ya mpira hapa nchini.
  17. She Quoted you

    Wasioamini Mungu au uchawi wanaelezeaje hii?

    I am genuinely curious. Hii mnaelezeaje msioamini Mungu au uchawi? Kiranga Scars
  18. The Burning Spear

    Wasukuma na uchawi ni pete na kidole

    Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao...
  19. matunduizi

    Watu wa dini wanashabikiaje mechi za kibongo ambazo huamini katika uchawi ili kupata matokeo?

    Wakuu najiuliza tu. Wachungaji na mashehe mashabiki Waumini na washiriki mashabiki. Kwa ulaya EPL,Laliga,etc ila futiboli la kibongo linapromote uchawi na ndumba. Ndio maana Kuna Hadi benchi la kiganga maarufu kama benchi la ufundi. Sasa ni Halali Kwa wasio na dini kuenzi tamaduni zetu za...
  20. M

    Ninavyomfahamu Mwinyi Zahera na uchawi wake mpirani

    Zahera ameisaidia Yanga kupata mafanikio kuliko mtu yoyote. Yule papaa ni mchawi. Kuna kipindi Yanga hawana hata hela ya kula ila timu inashinda anaenda kuwanunulia mihogo na juice ya jero. Baada ya kumfukuza kama mkurugenzi wa ufundi tutegemee Yanga kuyumba. Yule papaa ni mchawi wa soka la bongo
Back
Top Bottom