uchawi

  1. H

    MJADALA: Mafanikio kibiashara bila uchawi haiwezekani?

    "Oy babu Hauwezi shika milioni kumi au kutengeneza himaya Kubwa kibiashara bila kwenda KWA mganga kuchukua ndagu" Unamwona Fulani ako na kidonda kisichopona ... Mangi anae msukule ndani unaodondosha udenda ambao ni hela... Mpemba anayo majini ... Hizi ni baadhi ya kauli tinazokumbana nazo...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    “Aliyeko Juu Mngoje Chini!” Ni kauli ya kishetani iliyojaa uchawi ndani yake

    “Aliyeko Juu Mngoje Chini!” “Aliyeko juu mngoje chini”? Hii ni methali ya kipepo kabisa. Ambaye anaitendea kazi mithali hii ataendelea kubaki chini akiwasubiria walioko juu kiuchumi, walioko juu kielimu, walioko juu kiroho, walioko juu kiufahamu, washuke chini. Na wasiposhuka chini atafanya...
  3. Bushmamy

    Kilimanjaro: Kijana awakata mapanga na kuua mke na mume akiwatuhumu kwa uchawi

    Kijana mmoja mkoani Kilimanjaro, kutoka kijiji cha Manushi kati anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufanya mauaji ya baba yake mkubwa aitwae Mushi pamoja na mkewe. Mauaji hayo yametokea leo siku ya Jumanne majira ya saa kumi jioni baada ya kijana huyo kuvamia nyumbani kwa wanandoa...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Watanzania kuendelea kumtukuza Hayati Magufuli kama si uchawi basi tuseme nini?

    Habari za usiku wazee! Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Je, huu sio uchawi? Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na...
  5. Liverpool VPN

    Hakika Uchawi Upo: Nimeutumia kwenye Kesi yangu mahakamani na Nimeshinda

    Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi). NB:- Naleta uzi huu si kwa lengo la kutangaza biashara au vipi ila ni KUTOA USHUHUDA WA MAMBO YA DUNIA..!! FLACK BACK  Mwaka jana mwezi wa 4 nililetewa idea ya biashara na bosi fulani hivi wa huku...
  6. Ego is the Enemy

    Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

    Habari zenu, Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake. Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani. Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo. Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue. Kuna jamaa...
  7. sky soldier

    Sio Uchawi, hii ndio mbinu wanayotumia wakinga kuteka biashara kwa spidi kali na mfanikio makubwa, mbinu rahisi ambayo kabila lolote linaweza kutumia

    Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
  8. Expensive life

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Uchawi upo ndugu zangu. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga. Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona. Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
  9. sepema

    Ni kujiamini au ni uchawi? Wauaji walizurura na maiti kwenye gari hadi walipoamua kuitupa porini

    Heshima yenu wakuu. Miaka mingi nyuma mtu wangu wakaribu alinieleza kitu ambacho kiliniacha mdomo wazi. Ni hivi, yeye nawenzake walitoka safari flani ambayo ilibidi wapande gari. Wakati wapo barabarani wakajaribu kusimamisha pickup flani ambayo ilikubali kuwachukua kwani walikua wanelekea...
  10. E

    Kitabu cha "ushahidi kuwa Mungu hayupo na uchawi haupo" kiko njiani

    Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii. Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana...
  11. N

    Story za Masau Bwire kuhusu uchawi wa taifa stars

    By Masau Bwire More by this Author USHIRIKINA na uchawi katika soka la Tanzania kama siyo Afrika unafanyika karibu timu zote - iwe klabu au timu za Taifa ni kawaida wote wanaamini bila kujishughulisha no ni vigumu kumshinda mpinzani. Imefikia hatua katika klabu za soka uwezo wa wachezaji...
  12. Ckeys

    Sio uchawi ila ni vile uumbaji wa Mungu

    Kumbuka Milele Je! unajua kuwa kuna hali adimu inayoitwa hyperthymesia ambayo inaruhusu watu kukumbuka karibu kila undani moja ya maisha yao? Hiyo ni sawa…. kila mazungumzo, kila tarehe, kila mwingiliano... uliojikita katika kumbukumbu zao milele. Hivi sasa, kuna wastani wa watu 12-60...
  13. FRANCIS DA DON

    Akifanya mzungu inaitwa 'Teknolojia', akifanya Mwafrika inaitwa 'Uchawi', kwanini inakuwa hivi lakini?

    Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'. Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi. Ni kama wale waliosema Dunia haipo...
  14. N

    Kwanini wimbo wa Killy na Harmonize 'ni wewe' hautambi?

    Nawasalimu kwa jina la JMT! Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!! Melody nzuri, Mashairi mazuri, Beat poa kabisa ya kizamani na kisasa iliyotulia, Shooting ni njema kabisa...
  15. Mr Dudumizi

    Je, hili gonjwa lililompata mshikaji wetu ni karma au uchawi?

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ama baada ya salam naomba nijielekeze kwenye mada husika. Kuna rafiki yang mmoja anaitwa J (nimekatiza jina lake kwa sababu ya heshima na usalama wake). Sasa huyo J na yeye anamshikaji wake ambae walipanga nae nyumba 1 mitaa fulani (jina kapuni) J aliowa mwaka...
  16. Restless Hustler

    Hoja za waenda kwa waganga na wanaoutumaini uchawi

    Kwa kawaida Huwezi Kumlazimisha mtu kuamini kile unachokiamini au kuiacha njia anayoiona yeye ni sahihi alafu wewe umuambie amepote! Kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasikia wanaoenda kwa waganga na kutumainia nguvu za giza. Tukiwauliza wengi wao kwamba wanasema: 1. Mungu amesema nisaidie...
  17. and 300

    Tamthilia za Kibongo-Kugomba, Matusi, Uchawi & Kunyonyana

    Nikiwa home jioni unakuta familia inaangalia tamthilia za kibongo sijui "JUA KALI", LA FAMILIA" n.k yaan dakika 2 nyingi lazima usikie TUSI Kama sio KUNYONYANA NDIMI au mtu kageuka mbuzi (uchawi) hizo tamthilia hamnaga wahariri?
  18. L

    Wimbi la watoto kutoa shuhuda za kutisha zinazohusu uchawi wa kuua na kula nyama za watu

    Wanapendwa, Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam. Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na...
  19. M

    Video: Uchawi haupandi ndege, juju la Simba halikuzaa matunda Johanesburg

Back
Top Bottom