Haya maisha bana, ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo.
Just imagine nina msala mahakamani halafu kila siku napigwa calender tu na wakati huo msala nimesababishiwa, yaani mimi ni ndo...