uchumi wa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa watu wenye asili ya Afrika kimekuwa kiashirio cha Uchumi wa Marekani

    Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Trump kasema mpaka sasa Uchumi wa Marekani unafanya vyema je, yule niliyemsahau aliyesema kuwa Tanzania sasa ina Uchumi kuwazidi alizitoa wapi?

    Jamani ifike pahala sasa kama tunajijua kuwa ama tumelewa au tumelala nazo tusiwe tunakurupuka kwani tunaaibika!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

    Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi. Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo. Inafaa ieleweke kuwa 📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸 Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi...
  4. JamiiForums Tanzania Trump amtupia lawama Biden uchumi wa Marekani ukitegemewa kufanya vibaya!

    Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana kukwepa uwajibikaji na kutupa lawama kwa mtangulizi wake Biden!
  5. JamiiForums Tanzania Kiasi gani cha nguvu wanazo Wayahudi/Waisrael katika siasa na uchumi wa Marekani ?

    Naomba kujibiwa swali hili bila mihemko. Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ? Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani...
  6. JamiiForums Tanzania Projections 2075: Bado USA itakuwa na uchumi mkubwa

    Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion USD GDP, China litakuwa taifa la pili na GDP Yao itakuwa 44 trillion USD GDP na projection zinasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…