Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli?
Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
Moja, kuanzisha somo mahsusi la katiba na sheria kuanzia shule ya msingi na ngazi ya sekondari. Mabadiliko haya katika mtaala wa elimu yatachochea watu kujua sheria na umuhimu wa kuzitii na kufuata sheria katika maisha ya kila siku. Maudhui ya somo hilo ni katiba ya nchi na sheria zake. Ni...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema aliacha Kazi ya Udaktari kwa sababu Mshahara ulikuwa mdogo.
Dr Kigwangalla amesema Baada ya kuusotea Udaktari kwa miaka 18 alijikuta analipwa tsh 126,000 kama Mshahara huku Dereva wa TRA akilipiwa tsh 360,000.
Kigwangalla amesema akiwa Rais wa...
UKRISTO NI UDAKTARI BINGWA" KWAAJILI YA MAGONJWA SUGU NA WAGONJWA MAHUTUTI"
Anaandika, Robert Heriel
Yule Shahidi, Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Nami ni shahidi, mwonaji, Mtibeli ambaye ninayashudia haya. Wala sio kwaajili yangu Bali kwaajili yao watafuta Njia, Njia iliyochongwa na watangulizi...
Ni kawaida kwa marais wa Kiafrika kupewa udaktari wa heshima japo ni nadra kwa marais wa nchi za magharibi. ingawa rais Barak Obama anaweza kuvunja rekodi ya kuzipokea lakini asijiite dokta hata mara moja.
Je, ni kwanini? Je ni ile hali ya kutaka sifa, kutojiamini, kupenda ujiko bila kuusotea...
Wahitimu 15 kati 162 wa Chuo cha Tiba cha Mtakatifu Fransis, Ifakara, waliofutiwa shahada zao kwa kukiuka agizo la Seneti ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (Saut) wamesalimisha taarifa za matokeo kunusuru shahada zao.
Uamuzi wa wahitimu hao umekuja siku tatu tangu Seneti ya Saut kupitia kwa...
Mwaka 2018 wakati Tume ya Taifa ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ilipokuwa katika utaratibu wake wa ukaguzi wa vyuo vikuu Nchini ilibainika kuna vyuo ambavyo ama havikidhi vigezo au mazingira yake si salama kimasomo.
Uamuzi uliochukuliwa baada ya kubainika kutokidhi vigezo ilikuwa ni vyuo kufungwa...
Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku.
Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
Wakati kukiwa na mjadala kuhusu utolewaji wa shahada za udaktrari wa falsafa wa heshima (PhD), Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ametetea shahada kama hiyo aliyopewa Mwenyekiti kamati ya maridhiano Sheikh Alhadi Mussa Salum, akisema anastahili kuwa nayo.
Alhadi Mussa Salum aliyekuwa Sheikh mkuu...
USHAURI WA SPIKA BUNGENI KUHUSU UDAKTARI WA HESHIMA (PhD)
Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson ameshauri Taifa kufahamu utaratibu mzuri wa kutumika linapokuja suala la utoaji wa Degree za heshima kwa kuwa kuna wakati zinatolewa kama pipi na kutolewa kwa kila Mtu, jambo ambalo amesema halikubaliki...
Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya.
Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa...
Tujadiliane.
Mhitimu wa Stashahada ya Utabibu (miaka 2) na pengine aliye na uzoefu wa kazi, kwanini akienda kusoma Udaktari kamili (ngazi ya Shahada) asipunguziwe miaka ya masomo toka 5 kurudi chini?
Anapolazimika kusoma miaka 5 sawa na mhitimu wa kidato cha 6 ina maana mtaala wa kidato cha 6...
Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma.
Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo
Hureee vijana
Mbowe ana takribani miaka 60,
Ni age mate wa Hayati Magufuli, japo mmoja anaonekana kijana kuliko mwenzake,
Kwa umri wake na harakati zake za kisiasa hawezi kurudi darasani tena.
Na ikumbukwe yeye ni form six leaver ila ana akili na maarifa mengi kuliko maprofesa wengi tu waliojiingiza kwenye...
Kutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr.
Dkt. Mshana Jr
Dkt. Bujibuji
Dkt.Mwashambwa Lucas
Dkt.Mpwayungu
Dkt.sky cleist
Dkt. Kichwa kichafu
Dkt. To Yeye
Dkt. Kyambamasimbi
Dkt. Mayala
Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.
Ndio maana hatukusikia ‘Doctor Julius Nyerere’ japo alikuwa na doctorate za heshima zaidi ya sita.
Kwa mujibu wa wanataaluma na mapokeo ya vyuo vikuu duniani wale waliopewa doctorate za heshima hawapaswi kuitwa doctors kama wale waliosomea PhD.
Soma hapa:
Should Recipients of an Honorary...
====
Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu Hassan ni uamuzi sahihi sana kwa vigezo vingi pamoja na kwamba umekuja kwa kuchelewa,
Kawaida huwa kunakuwa na sababu mahususi inayoongoza ambayo kimsingi huwa 'legacy' ya Kiongozi husika...
Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the Humanities (RGGU)".
Huko kwenu mna Shahada za kimichongo, ujanja ujanja na speed kali!
Ni wakati wa...
Salaam Wakuu,
Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.
Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.