udaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya. Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
  2. Billal Saadat

    Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

    Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
  3. S

    Mzee Warioba alieongoza Tume ya Katiba, ndio anastahili kupewa Udaktari wa Heshima

    Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani. Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango...
  4. GUSSIE

    Tuache siasa kwenye elimu ya Udaktari na Sheria. Jifunze kikwazo kilichopo Law School of Tanzania

    Waliosoma Law school na kufaulu watanielewa vizuri kwenye uzi huu. Tusirudie makosa ya kulazimisha watoto wote wa shule ya msingi hata wasiojua kusoma na kuandika wafaulu kilazima na kujiunga na sekondari. Matokeo yake tumeshaanza kuyaona, Hawa watoto hawawezi kushindana na watoto wa wakubwa...
  5. mama D

    Binti kamaliza form 6 na ndoto za kusomea udaktari kwa matokeo ya Division 1 ya 9; Physics C, Chemistry C, Biology C, Maths C, amekosa mkopo

    Habari za jioni wakuu mabibi na mabwana Huyu binti namfahamu tangu akiwa mtoto. Anatoka kwenye mazingira magumu kuliko ngumu wenyewe. Hamjui baba yake mzazi, hajawahi kumsikia wala kumuona. Mazingira ambayo mama yake hawezi kumiliki hata simu ya elfu20, hawezi lipa kodi vyumba2 vya elfu 60...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Hivi Kwa hii Ada ya Udaktari, watoto wa Masikini watatimiza ndoto zao kweli?

    Kwema Wakuu! Huwaga najiuliza ikiwa Ada ya kusomea Udaktari kwa mwaka ni zaidi ya Milioni Sita bila ya mkopo. Ukipewa Mkopo 100% yadaiwa Serikali itakulipia nusu yaani sio zaidi ya milioni tatu. Inamaana mwanafunzi atalipa sio pungufu ya Tsh. Milioni 3. Kwa miaka mifano hiyo ni zaidi ya Tsh...
  7. cupvich

    SoC02 Hospitali za Rufaa kuwaachia majukumu yote ya kitabibu wanafunzi wa udaktari pasipo usimamizi wa kutosha - chanzo cha vifo vingi

    UTANGULIZI Nikiwa wodini nauguza mgonjwa wangu katika moja ya hospitali kubwa ya Rufaa nchini, Nilimsikia daktari mmoja akitumia lugha ya kiingereza kuwaambia wanafunzi wanao somea udaktari ambao walikuwa wakitoa huduma kwa mgonjwa aliyekuwa kitanda cha pembeni na alicho mgonjwa wangu maneno...
  8. M

    KWELI Chuo kilichompa PhD Mbunge Musukuma ni cha kitapeli

    Inasikitisha sana tunapoona viongozi waandamizi wa nchi hasa wabunge wakikubali kununua cheap doctorates kutoka vyuo vya kitapeli (rogue colleges). Hiyo inakupa picha kwamba hawa viongozi wetu hawajui hata kuangalia authenticity wakati kila kitu kipo online. Kwanza hiki sio chuo maana hakina...
  9. Analogia Malenga

    Comedian Samuel Asubiojo asema Comedy inalipa kuliko udaktari

    Comedian wa Nigeria Samuel Asubiojo, ambaye ni daktari kwa taaluma amesema Comedy inalipa kuliko udaktari. Asubiojo ambaye ni maarufu kama Mama Ojo alisomea udaktari wa binaadamu nchini Ukraine mwaka 2012 hadi 2018 lakini hakuwahi kupractice taaluma hiyo tangu hapo. Kwa sasa anapata hela kwa...
  10. M

    Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    Inabidi tuseme wazi bila kupepesa macho!! Tatizo la Dr Koboko ni kuwa anaona kula kwa kadri ya urefu wa kamba ya udaktari tu haitoshi! anataka aunganishe na ile ya ufamasia!! Sababu yake ni kuwa eti kwa sababu anaweza kutoa dawa pharmacy bila mgonjwa kuwa na prescription Hataki mfamasia atoe...
  11. Northern Lights

    Nilikuwa na ndoto ya udaktari ila nimefeli Physics

    .
  12. sudybrainy

    Naomba udhamini wa masomo ya udaktari

    Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February...
  13. B

    Medical council of Tanganyika(MCT), acheni kuonea vijana wa wanaomaliza udaktari

    Kwanza nikiwa kama mzazi niwape pole sana mamia kwa maelfu wa vijana wanaomaliza udaktari katika vyuo mbalimbali hapa nchini,kwa sababu ni wahanga wakubwa wa hii kitu inaitwa MCT. Mchakato wa kumpata daktari unajulikana na ni mgumu sana kwani mtu kufikia kumaliza miaka mitano ya udaktari wa...
  14. einstein tesla

    Natafuta kazi yoyote au ufadhili wa masomo

    Mimi nina umri wa miaka 23 mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili Nipo dar-es-salaam Nimepitia jkt Nina ufaulu wa division I-9 Niko pia vizuri kwenye kutumia computer Nilikua naomba kazi yoyote itakayoniingizia pesa maana maisha yamekuwa magumu nimesimama masomo na pia changamoto ya ada...
  15. Kingsmann

    Fact Check: Chuo kilichompa udaktari wa heshima Mbunge Musukuma ni cha kitapeli, hakiko authentic

    Inasikitisha sana tunapoona viongozi waandamizi wa nchi hasa wabunge wakikubali kununua cheap doctorates kutoka vyuo vya kitapeli(rogue colleges). Hiyo inakupa picha kwamba hawa viongozi wetu hawajui hata kuangalia authenticity wakati kila kitu kipo online.Kwanza hiki sio chuo maana hakina...
  16. F

    Udaktari sio wito, madaktari mtaendelea kudharaulika

    Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito. Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na...
  17. Action and Reaction

    Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo! Yaaan madogo wangekuwa washachomoka! Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo...
  18. A

    PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  19. Meneja Wa Makampuni

    Mama yangu alinikataza kusomea Udaktari

    Katika mambo ambayo huwa siyasahau ni hili. Mama yangu ndugu zake kadhaa wamesomea udaktari. Na hata jina alilonipatia mimi nila baba yake ambaye mpaka sasa ni daktari. Lakini pia mara mimi baada ya kuzaliwa na kupatiwa jina hilo la huyo baba yake, nilianza kuitwa jina la utani Dokta, Dokta...
  20. Z

    Ushauri: Ana miaka 30 anataka kusoma degree ya udaktari. Anahofia umri wake umeenda sababu udaktari miaka mingi

    Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake ni kusoma anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpaka kuwa daktari bingwa.
Back
Top Bottom