udasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UDSM wafanya ubunifu wa gari la umeme

    1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa. 2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao. NB: Poleni wa-Tanganyika. **Wao mwaka mzima...
  2. Wanataaluma (UDASA) wamelala fo fo fo!

    Hivi Hawa jamaa wanajielewa kweli? Yaan wamelala kama vile makada. Nakumbuka Zama za Chachage palikua pa Moto kule Mlimani NB: Mikopo, Katiba Mpya zingeshachambuliwa na kutolewa maazimio. Ila Hawa hawawazi huko.
  3. Grano Caffe Vs UDASA Club

    Hizi ni sehemu za kujiburudisha kwa vinywaji/chakula kwenye compound moja hapo jijini Dar. Ila sehemu moja pamoja na kulisha wasomi wakubwa nchi hii mazingira ni hafifu (ikiwemo vyoo vyake). Sijui wasomi wetu wanakwama wapi? GRANO CAFFE
  4. Rais Samia on SabayaKakokoism UDSM

    Her Excellence, kindly be notified that there is no single Tanzanian University in the list of top 3,000 Universities in the World. UDSM used to be the best in Africa but now it is falling down at a light speed due to a wide spread of Sabayakokoism (Sabayaism + Kakokoism). Kindly suspend or...
  5. Uchaguzi 2020 UDASA yatoa tamko kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia Kanuni, Sheria, Katiba

    TAREHE: 19 SEPTEMBA 2020 Ndugu Wananchi na Wanahabari, Mnamo Tarehe 26 Agosti 2020, Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) ilitoa tamko ambalo pamoja na mambo mengine lilitoa rai kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia kanuni, sheria...
  6. Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…