Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu.

Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”

"Juzi sisi tulipatwa na mkasa hapa kwenye uhuru wa kitaaluma kuna mwalimu alikamatwa kwa kutoa mfano... somo linaendana na kitu kinaitwa governance na maswala ya utawala hapa Tanzania basi akakamatwa akawekwa ndani".

"Mimi mahusiano yangu na huyu ni mwanataaluma mwenzetu na ameingia kwenye matatizo akiwa ni mwanataaluma. Kwa hiyo nimekuja kumuona na kumtia moyo kama mwanataaluma"

"Nawasihi na ninawaomba msizungumze kitu kwa sababu sielewi nini kinaniandaa msizungumze kitu mkipata nafasi naomba mumsaidie mke wangu".

Soma zaidi: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

View attachment 3650487
mkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒
 
Very sad
 
Polepole alikuwa na cheo kuliko wewe lakini kauawa
Sasa chukulia mfano wa watu hawa watatu:
Swali zuri kabisa

Na iwe fundisho kwa Wahadhiri uchwara
mkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒
Hawa wanafurahia kitu gani hasa. Wanafaidika vipi hawa na hali hii iliyopo sasa hivi nchini!

Kuichukia CHADEMA au viongozi wake ndiyo iwe sababu ya wao kuwa namna hii au kuna sababu gani hasa?

Hawa wanaipenda sana CCM kuliko Tanzania? Huyu Mhadhiri alijitangaza yeye mwenyewe kuwa anaifanyia kazi CHADEMA?

Sihitaji jibu lolote toka kwao, ndiyo sababu sikuwauliza wao wenyewe.
 
Wala hata wao hawajui wanachopigania
 
mkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒
Huna bando la kusikiliza kazi uchawa tu.

Amebambikiwa bill ya umeme na maji, kivipi mtu awe na malimbikizo ya deni la umeme na maji, umeme ni pre paid, maji ni post paid lakini usipolipa miezi mitatu mamlaka wanakukatia, hayo malimbikizo yamekujaje?

Nyie CCM ni mashetani 👿
 
Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu.

Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”

"Juzi sisi tulipatwa na mkasa hapa kwenye uhuru wa kitaaluma kuna mwalimu alikamatwa kwa kutoa mfano... somo linaendana na kitu kinaitwa governance na maswala ya utawala hapa Tanzania basi akakamatwa akawekwa ndani".

"Mimi mahusiano yangu na huyu ni mwanataaluma mwenzetu na ameingia kwenye matatizo akiwa ni mwanataaluma. Kwa hiyo nimekuja kumuona na kumtia moyo kama mwanataaluma"

"Nawasihi na ninawaomba msizungumze kitu kwa sababu sielewi nini kinaniandaa msizungumze kitu mkipata nafasi naomba mumsaidie mke wangu".

Soma zaidi: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

View attachment 3650487
Hebu Kwanza.

Huyu Mhadhiri kachomewa utambi na nani.
Mwanafunzi au kundi la wanafunzi waliokuwa darasani kwake?

Ni akina nani hawa. Vijana wa CCM, au waliohamasishwa kwa njia nyingine kufanya kazi hiyo?

Hii inaweza kuwa vita kubwa zaidi ya tunavyoitarajia kuwa.

Huenda kuna makundi maalum yanaanza kutushambulia bila yetu kujua adui yetu hasa ni nani; ni CCM pekee au kuna wengine wanaoitumia hiyo fursa?

Naanza kuwa na mashaka kwamba yanayoendelea hapa yanaweza kuwa ni zaidi ya Samia na Genge lake kuwakandamiza waTanzania.
 
Vijana wa Tisi na report zao za end of the day, daily.

Tisi kuwa na mahaba na kufanya kazi za CCM, madarasa yote chuo yana vijana wa tisi wengine huwepo chuoni miaka na miaka, that’s the best they can do, umbea umbea.

Njoo kwenye ujasusi wa kiuchumi hoiiii!
 
Huna bando la kusikiliza kazi uchawa tu.

Amebambikiwa bill ya umeme na maji, kivipi mtu awe na malimbikizo ya deni la umeme na maji, umeme ni pre paid, maji ni post paid lakini usipolipa miezi mitatu mamlaka wanakukatia, hayo malimbikizo yamekujaje?

Nyie CCM ni mashetani 👿
Very sad. Mtu atadaiwaje umeme. Hii ni zaidi ya kukomoana
 
Vijana wa Tisi na report zao za end of the day, daily.

Tisi kuwa na mahaba na kufanya kazi za CCM, madarasa yote chuo yana vijana wa tisi wengine huwepo chuoni miaka na miaka, that’s the best they can do, umbea umbea.

Njoo kwenye ujasusi wa kiuchumi hoiiii!
Ninakubali wazo lako.
Lakini hata katika hawa ni lazima kuna kiwango/mstari unaolazimika kufikiwa na taarifa husika kabla ya kupelekwa mbele.

Hili lililoniijia akilini ni kuwa kuna watu, hata kama ni wa hiyo TISS wana motisha/msukumo wa ziada unaowalazimisha wapelekee taarifa hata kama haitoshelezi kiwango cha kawaida ya kazi yao.

Hatuwezi kuwa na kundi linalowatafuta walengwa maalum kwa sababu hata zisizohusiana na kisiasa?. Lengo likiwa kuwabana watu fulani fulani, wa kundi fulani.
 
Wala hata wao hawajui wanachopigania
Mimi naanza kuwa na fikra mtambuka dhidi ya watu hawa.

Inawezekana kuna watu wamewatangazia waTanzania wenzao vita isiyo wazi. Wanaitumia tu fursa ya u-CCM kutimiza ajenda tofauti kabisa.

Fikra hizi zimeanza kunisumbua sasa akilini mwangu.

Nimeangalia mashahidi wa kesi ya Tundu Lissu; karibu wote wanaangukia upande mmoja. Hii ni kwa bahati mbaya au imetengenezwa kwa maksudi mazima!

Hata humu, mengi ya haya yasiyokuwa na akili,, ukiyafuatilia vizuri, yanaangukia huko huko kwenye kundi moja!

Hii ni hatari sana kama unapigana na adui usiyemjuwa.
 
Watanganyika imefika mahali kama tunangoja Malaika ashuke na Panga atupiganie!
Kama mhadhiri anaweza kukamatwa harafu Wahadhiri wengine wakaendelea kufundisha bila kuweka Chaki chini basi.
Sina hakika kama Wahadhiri wa Kenya wangekubali!
 
Back
Top Bottom