Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Sijasoma shule za Kata mimi umri sawa na baba yako Mzazi ninachokumbuka nilichanga 30,000 ili ijengwe kwenye kata ninayoishiKumbe umuhimu ni bank account? Hizi shule za kata ni hasara
Sijasoma shule za Kata mimi umri sawa na baba yako Mzazi ninachokumbuka nilichanga 30,000 ili ijengwe kwenye kata ninayoishiKumbe umuhimu ni bank account? Hizi shule za kata ni hasara
Kama huwezi kusaidia, Kaa kimya.mkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒
Hapana haijawahi kufika hivi toka tumepewa uhuru na wakoloni Mwalimu na harakati zake hakuwahi kuingilia mijadala ya elimu za juu hasa ( chuo kikuu enzi hizo maana kilikuwa kimoja) kina Sitta (RiP) spika, wamebishana sana na mwalimu mpka wanaitwa ikulu kuelezea shida zao wakadai hawapati tena mkate wenye siagi kama zamani waliishia kutandikwa viboko licha ya kuwa na hoja, mijadala ndio chanzo cha fikra hatuwezi wote kuwaza mawazo sawa hilo haliwezekani mkubali mkatae. Kwanini zama hizi ndio zimekuwa za kukandamiza uhuru wa kujieleza mwalimu alinusurika mapinduzu mara 4 zama hizi maelfu wameuwawa kisa maandamano na bdo wanapea watu kila uchao kesi za ugaidi hili ajabu jingineNa iwe fundisho kwa Wahadhiri uchwara
Tuna hali mbaya kuliko tunavyofikiri tusione wanasheria wanapambana kote nchini kuwanasua wenye mashtaka hasa ya kisiasa (Pro-bono) wanaelewa kinyume na hapo watafia jela maana wadharimu hutumia vyombo kama polisi na mahakama kukandamiza sauti zote kutia hofu ili wengine waogope ajabu kelele ndio zinaongezeka, napenyezewa kuwa mkakati maalumu kwamba huandikishwi pale unapofikishwa na hayo ni maelekezo hivyo utatafutwa miaka huonekani kwenye vitabu vyao, rejea kesi ya Mbowe na walinzi wake wale ex- cdos nchi watu wanajiamulia watakavyoWatanganyika imefika mahali kama tunangoja Malaika ashuke na Panga atupiganie!
Kama mhadhiri anaweza kukamatwa harafu Wahadhiri wengine wakaendelea kufundisha bila kuweka Chaki chini basi.
Sina hakika kama Wahadhiri wa Kenya wangekubali!
ok.Kama huwezi kusaidia, Kaa kimya.
Inaelekea hata kusoma kilichoandikwa hujui. Hopeless kabisa
Mkuu njaa. Labda tuje na suruhisho ni nini kifanyike ikiwa mrija utakatwa.Watanganyika imefika mahali kama tunangoja Malaika ashuke na Panga atupiganie!
Kama mhadhiri anaweza kukamatwa harafu Wahadhiri wengine wakaendelea kufundisha bila kuweka Chaki chini basi.
Sina hakika kama Wahadhiri wa Kenya wangekubali!
Si baada ya kuanza kuitukana serikali..Polepole alikuwa na cheo kuliko wewe lakini kauawa
Unaweza uchafu tuSwali zuri kabisa
Wewe ni zao la shule ya kata kwasababu hakuna mzee mwenye akili za panzi kama weweSijasoma shule za Kata mimi umri sawa na baba yako Mzazi ninachokumbuka nilichanga 30,000 ili ijengwe kwenye kata ninayoishi
Mama yako nimecheza naye kombolelaWewe ni zao la shule ya kata kwasababu hakuna mzee mwenye akili za panzi kama wewe
Wakati huo haujavunja ungoMama yako nimecheza naye kombolela
Hii post imenikumbusha methali ya "Kwa muoga kulienda kicheko na kwa shujaa kulienda kilio"!Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu.
Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”
"Juzi sisi tulipatwa na mkasa hapa kwenye uhuru wa kitaaluma kuna mwalimu alikamatwa kwa kutoa mfano... somo linaendana na kitu kinaitwa governance na maswala ya utawala hapa Tanzania basi akakamatwa akawekwa ndani".
"Mimi mahusiano yangu na huyu ni mwanataaluma mwenzetu na ameingia kwenye matatizo akiwa ni mwanataaluma. Kwa hiyo nimekuja kumuona na kumtia moyo kama mwanataaluma"
"Nawasihi na ninawaomba msizungumze kitu kwa sababu sielewi nini kinaniandaa msizungumze kitu mkipata nafasi naomba mumsaidie mke wangu".
Soma zaidi: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
View attachment 3650487
Kipindi hicho Tayari nimeshaanza kutoa shahawaWakati huo haujavunja ungo
Nakumbuka wakati huko chini mchanga unakuingiaKipindi hicho Tayari nimeshaanza kutoa shahawa
Kitu gani kinaendelea huko Tanzania????
Hiyo iko wazi sana,ndo kinachofanyika kwa sasaMimi naanza kuwa na fikra mtambuka dhidi ya watu hawa.
Inawezekana kuna watu wamewatangazia waTanzania wenzao vita isiyo wazi. Wanaitumia tu fursa ya u-CCM kutimiza ajenda tofauti kabisa.
Fikra hizi zimeanza kunisumbua sasa akilini mwangu.
Nimeangalia mashahidi wa kesi ya Tundu Lissu; karibu wote wanaangukia upande mmoja. Hii ni kwa bahati mbaya au imetengenezwa kwa maksudi mazima!
Hata humu, mengi ya haya yasiyokuwa na akili,, ukiyafuatilia vizuri, yanaangukia huko huko kwenye kundi moja!
Hii ni hatari sana kama unapigana na adui usiyemjuwa.
Huo mgongo😋Kitu gani kinaendelea huko Tanzania????
Sasa kwa nini tusiokubali ujinga huu tusiwe wawazi, tuseme kuwa hapa siyo CCM inayotuvuruga; bali ni hawa waliochukuwa hiyo CCM na kuitumia kutuvuruga.Hiyo iko wazi sana,ndo kinachofanyika kwa sasa