Umtama Mula
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 291
- 798
Daaa 😃😃😃😃Huna bando la kusikiliza kazi uchawa tu.
Amebambikiwa bill ya umeme na maji, kivipi mtu awe na malimbikizo ya deni la umeme na maji, umeme ni pre paid, maji ni post paid lakini usipolipa miezi mitatu mamlaka wanakukatia, hayo malimbikizo yamekujaje?
Nyie CCM ni mashetani 👿